Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Hii nchi ni maskini. Hayo maendeleo mnayaongelea siyaoni hata Dar sembuse Kaskazini! Tembeni dunia mgundue jinsi mnavyojitambia ujinga.
Jitahidini kwaambia kina Lipumba warudi wakaendeleze makwaoMkuu sisi nakubaliana na ww kwa namna moja au Nyingine ila kuna vitu havikuwa ndan Ya uwezo wetu ndo mana tupo pale
1.swala la biashara kumbuka kuwa Fundikira alikuwa na Ngome Tofauti na Milambo na kushirikiana na waarab Fundikira na wale waarab wakanyang'anya Milambo utawala wote wa ile biashara hvYo kwa muda mrefu zile biashara zilikuwepo ila ni kwa waarab ambao ndio mpk leo wameshikiria uchumi wa ule mkoa
2.Shule kama Tabora BoYs na Girls hz zilikuwa zinapokea watoto wa machief tu....HiVYo hazikuwa na Impact kubwa na Jamii iliYokuwa inazizinguuka .......
KILICHOTUA mpk leo Tupo pale ni Kujielewa kwa kina Kasangatumbo,Kaselabantu na n.k pamoja na mizizi Ya uislam iliYowekwa na waarabu HvYo Tabora ikaonekana kama mahali Pakujenga mno ushawish wa kichama kuliko Maendeleo Ndo mana mpk Leo mtaji wa CCM.Tabora haujapata kuonekana ....lakini kingine ni hawa wanyamwez wenzetu wenye asili Ya asia wana Tabia Ya kufanYa watu wavivu kila ambapo wao wapo na wao Kubaki ndio Wamiliki wa nyanja Kuu za kiuchumi .......
Ushirikina Nao unanafasi Yake maana Wasomi wengi nawajua wapo Humu mjini hawataki kurudi Tabora walisha kuwa wazaramo na walio vuka Boda ndo kabisaaa ....Reli Ya kati ikaja itimisha ...
Aisee Africans tuna safari ndefu sana ya maendeleo ko majengo ndo kipimo cha maendeleo..inasikitisha![]()
Inajieleza
![]()
Hapa ni Arusha .(Kaskazini)
![]()
Oooh Kaskazini,kaskazini,
SOMENI HAMTAKI
Mkuu hapo NYuma hali ilikuwa MbaYa zaidi atleast sasa hv mambo Yamebadirika kidogo Ndo mtu anaweza kurudi akafanYa kitu cha maana Mzee Kwezi alijarib kujenga hospital urambo pale pigwa sana zengwe mpk sasa sijui hata kama lile gofu liliiisha mzee wangu Kapuya kasumbua sana na HaYati Sitta ....wasomi wakirud kama mzee wangu karavina ni kuchukua UBunge tu na kurud mjini .....WilaYan mpk pale Tabora mkoani uchumi upo kwa waTan zetu Waha na wanYamwez wa asili Ya Asia sisi Tupo busY na vilinge vYa kahawa na kulima Tumbaku ....inauma sana MindSet Ya wanYamwez jambo now alhamdullilah inabadirikaJitahidini kwaambia kina Lipumba warudi wakaendeleze makwao
Jana nilienda Monduli na kukuta Lowassa amehamasisha ujenzi wa Ghorofa moja ya hospitali ya Monduli
Miaka ya nyuma hospitali ilikuwa hovyo.
Sasa hapo utasema ni CCM imejenga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
inamaana hujui kuwa moja kati ya indicator za poverty ni poor housing conditions ......joingeze bablai..Aisee Africans tuna safari ndefu sana ya maendeleo ko majengo ndo kipimo cha maendeleo..inasikitisha
Kweli mkuu kurudishwa na maroli ni noma heri kidogo chetu kikubwa cha mafisadi lakini familia ni hiyohiyo!Hivi kwani wanabrashi viatu buree.....au unataka wakawe ombaomba kama hao wa kanda ya kati northeners hatutaki kurudishwa kaskazini kwa malori hatutaki kumsumbua paul makonda.......
in short hatutaki ujinga sisi!!...
Moja ya chuo kizurokizaikizuri cha elimu dr wilbroad kleruu alikuwa mchagaost: 19043586 said:Ok, hiyo nikuwa siifahamu. Chuo kimejengwa kwa msaada wa Denmark miaka ya 70. Mwenye jina Dr Klerruu kweli alikuwa mchaga.?
Nimekubali uchambuzi wako lakn hapo ulipowashambulia watu kwa dini yao ndio umeonyesha kua ni mpuuzi wa kiwango cha lami maana hao wanaolalamika Kaskazini kupendelewa sio waislam tu bali wapo wanadini nyingine wengi kutoka mikoa mbalimbali wanaolialia na sio waislam
Lipumba kwao moshi pale Tabora kwa bibi yake!Jitahidini kwaambia kina Lipumba warudi wakaendeleze makwao
Jana nilienda Monduli na kukuta Lowassa amehamasisha ujenzi wa Ghorofa moja ya hospitali ya Monduli
Miaka ya nyuma hospitali ilikuwa hovyo.
Sasa hapo utasema ni CCM imejenga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
Ndio ni Kipimo.Aisee Africans tuna safari ndefu sana ya maendeleo ko majengo ndo kipimo cha maendeleo..inasikitisha
Nini Shemeji,Mwalimu mwenyewe aliona nyumba ya mtu akauliza kile ni kiwanda gani?Mkuu naona Ngosha anaijua siri hii maana ni kama vile anawapotezea.Wachaga noma kwa shemeji tu jasho lilitutoka sembuse mkaskazi mwenzao laigwanan tungeisha aisee!!!
Hapana mkuu,Hii mada ni ya kibaguzi,tukianza hivyi tutaishia pabaya
Kitilya,Mramba,Mbowe...mfano..
Wasiwasi wako tu jombaHii mada ni ya kibaguzi,tukianza hivyi tutaishia pabaya
Walitangulia kusomea wizi ama kuongeza maarifawalitangulia kwenda shule mkuu lazima wawepo!
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!
Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.
Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.
Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900
SASA TUKIACHA ERA HIYO:
Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)
Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-
1) KUJALI ELIMU
Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k
Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU
Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904
Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.
Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.
- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.
* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.
Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.
Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.
* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.
Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.
2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI
Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.
(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)
3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA
Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.
Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.
Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)
Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.
Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.
Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
hawa watu wa kaskazini wana ubinafsi sana. ni wachapakazi na wanapenda sana kuendeleza kwao. wanapenda kujenga kwao na hata mtu akipewa uwaziri anahakikisha kila mradi wa maana anapeleka kwao. hii ndio sababu kwao kumeendelea tofauti na kwa wagogo au wafipa nk.. mimi naamini siku mchaga akipewa urais.. atahamishia ikulu kaskazini..Wakati wakifanya hayo mlikuwa wapi?
Halafu mwenzio keshasema kuwa Pinda alijenga uwanja wa ndege mzuri sana huko katavi.
Mbona hamueleweki?
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app