Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,647
Viongozi wa Tz wametoka Kwenye mstari,spika kama nikweli anatumika ajitafakari
👏👏👏Spika hana dola PM akisema ujue Rais amekubaliana nae sasa Spika alije akaingia mgogoro na wenye mamlaka
Aaaah! Sawa nimepata connection kuwa kumbe zile meseji za President toka kwa Mhe. Masele zilikuwa zinatumwa kwa Rais wa Bunge la Africa - huenda Job anafikiri kuwa Masele alikuwa nazituma kwa JPM kumbe sivyo!
Masele simama hapo hapo
Waziri mkuuWaziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?
Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Hahaaaa !! mkuu habari ya dom? Ntakuja na totoz nikuungishe kiepe kuku.Ndugai=Ndu-Guy chutama upepo upite
Huyo jamaa kamsingizia PM kwa mujibu wa Speaker hakuna mawasiliano yeyote aloyafanya na waziri mkuu hivyo sio kweli kwamba PM kamruhusu kutokurejea nyumbani, hayo yalisemwa tena mbele ya PM.Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?
Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Karibu sana mkuHahaaaa !! mkuu habari ya dom? Ntakuja na totoz nikuungishe kiepe kuku.
Ukimpata ni-tagHahaaaa !! mkuu habari ya dom? Ntakuja na totoz nikuungishe kiepe kuku.
Kauli ngumu sana hii! Teh teh 😀😀😀Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Ndugai inafaa ateuliwe KUWA Jaji Mkuu.
Anapenda sana kufanya kazi ya Uhakimu.
Ya kuhukumu hukumu WATU.
HATA bila ya kutafakari KWA Kina.
Kumdhohifisha Masele ni Kuidhohofisha nchi ya Tanzania katika nyanja za KIMATAIFA
Wee bana wewewe oohhoooo nani tena huyo mwenye D.M a.ka sugarcaneNdugai Anawafanya wenye "Diabetes Melitus" waonekane Wendawazimu.
Ndugai kanyea Kambi we unasema Bandari ya Bagamoyo ni Bora kuliko stegler gorge.Upande wa Pili wamemchoka Huyo PM ni maelekezo ya Mzee Baba.Masele ataendelea kumnyoosha kwa mwogozo kutoka whitehouse Karibu na wavuvi.