Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Masele for speaker 2020 JMT
cag anadunda tu, angeagana na nyonga kwanza kabla ya kuruka juuTatizo la Ndugai ni maamuzi ya kukurupuka bila kufanya uchunguzi. Kama Masele ana makosa, Spika angetakiwa kumchunguza na kumchukulia hatua za busara sio kuropoka hadharani, akichemka kama issue ya CAG anaishia kuishi kwa aibu!