Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

Kwa hisani ya Malisa GJ

Kwa wasioelewa yanayoendelea kuhusu Masele. Ni kwamba Masele ni Makamu wa kwanza Rais wa bunge la Afrika (PAP). Hivi karibuni ameingia kwenye mgogoro na Rais wa bunge hilo Bw.Roger Nkodo Dang raia wa Cameroon. Masele anamtuhumu Dang kwa ubadhirifu wa pesa za bunge hilo, hivyo ameunda kamati ya kumchunguza.

Dang amekasirishwa na uamuzi huo na anaona Masele anafanya mbinu za kumuondoa ili yeye akalie kiti cha Urais wa bunge hilo. Kwahiyo Dang ameamua kumng'oa Masele kwenye nafasi yake ili yeye aweze kuwa 'safe'.
_
Dang amempigia Spika Ndugai kumuomba amuite Masele nchini ili yeye aweze kusurvive. Na Spika Ndugai leo kwa jazba amemsimamisha Masele ubunge wake na kuagiza arudi nchini haraka kwa kile alichokiita mambo ya hovyo. Lengo la Spika ni kumuokoa Rais 'fisadi' wa bunge la Afrika, Roger Dang. Yani Ndugai anatumika kwenye mgogoro usiomhusu.

Leo Masele ameliambia bunge la Afrika kwamba hatarudi nchini kwa agizo la Spika kama alivyoamriwa. Amesema Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amemruhusu aendelee na shughuli zake za bunge la Afrika (PAP).
_
Amesema Rais wa bunge hilo Roger Nkodo Dang hataweza kumng'oa kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Rais kwa sababu hakuteuliwa, bali alichaguliwa na wabunge wa bunge hilo. Amesema na kushangiliwa na wabunge hao.

Nafikiri mmeelewa sasa. Maana wengine mlishaanza kumuwazia jiwe.!View attachment 1100051
Jiwe ana damu ya kunguni, nilishaanza kumhusisha yeye. wakati mwingine jiwe tunamuonea
 
Sasa km wewe ulidhani ni mh Rais ni yako na umeshushuka vibaya sana.
 
Masele ameponzwa na tamaa ya kuwa Rais wa PAP kwa maana nyingine Ngamia anataka kuingia mzima mzima kwenye hema!
Kwani ni vibaya kuupata urais wa PAP kama nafasi imejitokeza?

Unaona ni sahihi hayo mambo anayofanya huyo mcameron??
 
Aaaah! Sawa nimepata connection kuwa kumbe zile meseji za President toka kwa Mhe. Masele zilikuwa zinatumwa kwa Rais wa Bunge la Africa - huenda Job anafikiri kuwa Masele alikuwa nazituma kwa JPM kumbe sivyo!

Masele simama hapo hapo
 
Sasa km wewe ulidhani ni mh Rais ni yako na umeshushuka vibaya sana.
JItahidi kuwa unasoma post vizuri na kuielewa kabla ya kutoa mapovu, mbona mtoa post kaeleza vizuri tu. Praise team mna tatizo moja la kutojipa muda wa kuelewa jambo kabla ya kulijibu hali inayowafanya muonekane kuwa ni mazuzu
 
Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?

Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
ndugayi ni jipu
 
Kuna kitu sijaelewa, yaani mtanzania Job Ndugai ameamua kumhujumu mtanzania mwenzie ili kumtetea mkameruni katika bunge la Afrika?

Ana bifu gani hilo na Masele?

Yaani kwamba amehongwa na mkameruni? Spika wa bunge la Tanzania ana njaa kiasi cha kuhongwa na mtu wa nje ili kumhujumu mbunge mwenzie ili kumtetea mtu wa nje? Mkuu nakuamini haya mambo una uelewa nayo sana, wewe unahisi kuna nini hapa?
Habari ndo iyo Spika anatumika apa bila kujua.
Raisi wa PAP ana skendo mpaka za kunyanyasa watu kijinsia pale .Masele ndo anakomaa nazo pia.
All the best Masele tetea wanyonge uko PAP
 
Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?

Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba

Afu we mzeeee, hahahaha, kafutari pale kwa msomali kariakoo, bili juu yangu
 
Safi mkuu kwa kuniongezea taaluma. Mimi nilisikia mgogoro wao Masele & Dung ni huyu rais kudhalilisha wafanyakazi wa kike kingono. Waafrika tunakwama hapohapo kila siku ila bado hatupagundui.
Raisi wa PAP naona nae kaangukia pale mahala k.............Ile kitu so acha watu na hekima zao huangukia pale mahala
 
Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?

Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba

Nlidhani kama yanahusu mamlaka ya Spika wetu huku labda kuna kanuni za natural justice, kwamba TUHUMA zinafanyiwa kazi kwa mujibu wa taratibu na PALE inapobidi kuchukua hatua zaidi, hatua zinachukuliwa ipasavyo. Au? Hukumu kabla ya due process?
 
Kwa hisani ya Malisa GJ

Kwa wasioelewa yanayoendelea kuhusu Masele. Ni kwamba Masele ni Makamu wa kwanza Rais wa bunge la Afrika (PAP). Hivi karibuni ameingia kwenye mgogoro na Rais wa bunge hilo Bw.Roger Nkodo Dang raia wa Cameroon. Masele anamtuhumu Dang kwa ubadhirifu wa pesa za bunge hilo, hivyo ameunda kamati ya kumchunguza.

Dang amekasirishwa na uamuzi huo na anaona Masele anafanya mbinu za kumuondoa ili yeye akalie kiti cha Urais wa bunge hilo. Kwahiyo Dang ameamua kumng'oa Masele kwenye nafasi yake ili yeye aweze kuwa 'safe'.
_
Dang amempigia Spika Ndugai kumuomba amuite Masele nchini ili yeye aweze kusurvive. Na Spika Ndugai leo kwa jazba amemsimamisha Masele ubunge wake na kuagiza arudi nchini haraka kwa kile alichokiita mambo ya hovyo. Lengo la Spika ni kumuokoa Rais 'fisadi' wa bunge la Afrika, Roger Dang. Yani Ndugai anatumika kwenye mgogoro usiomhusu.

Leo Masele ameliambia bunge la Afrika kwamba hatarudi nchini kwa agizo la Spika kama alivyoamriwa. Amesema Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amemruhusu aendelee na shughuli zake za bunge la Afrika (PAP).
_
Amesema Rais wa bunge hilo Roger Nkodo Dang hataweza kumng'oa kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Rais kwa sababu hakuteuliwa, bali alichaguliwa na wabunge wa bunge hilo. Amesema na kushangiliwa na wabunge hao.

Nafikiri mmeelewa sasa. Maana wengine mlishaanza kumuwazia jiwe.!View attachment 1100051
Hapo ndipo napozidi kumfahamu mtukufu Supika wetu... tangia fimbo hadi fukuzafukuza.... something wrong somewhere...
 
Back
Top Bottom