Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

Tatizo la Ndugai ni maamuzi ya kukurupuka bila kufanya uchunguzi. Kama Masele ana makosa, Spika angetakiwa kumchunguza na kumchukulia hatua za busara sio kuropoka hadharani, akichemka kama issue ya CAG anaishia kuishi kwa aibu!
 
"Mheshimiwa Masele fanya kaziii,Masele endelea kupiga kazi haiwezekani urudi nasema endelea kufanya kazi huko unatuwakilisha vyema na Tanzania inazidi kujulikana zaidi"
 
Ngoja atandikwe BAKORA alafu tuone hiyo sentenso kama ina mashiko maana msingi wa yeye kuwa Makamu wa Rais wa PAP ume-originate from bunge la tanzania!
Bunge la Tanzania siyo Ndugai. Na hakuna wakati wowote ambapo Bunge au kamati zake zimeazimia Masele arudi. Ndugai ni aibu ya Taifa
 
Mkubwa ni Spika na ndiyo maana jina la Waziri Mkuu huwa linaletwa kwenye ka mfuko ka Lambo ili athibitishwe na Bunge!
Na mgombea wa nafasi ya Spika, jina lake linapitishwa na kamati kuu ambako Ndugai siyo mjumbe
 
Kuna kitu sijaelewa, yaani mtanzania Job Ndugai ameamua kumhujumu mtanzania mwenzie ili kumtetea mkameruni katika bunge la Afrika?

Ana bifu gani hilo na Masele?

Yaani kwamba amehongwa na mkameruni? Spika wa bunge la Tanzania ana njaa kiasi cha kuhongwa na mtu wa nje ili kumhujumu mbunge mwenzie ili kumtetea mtu wa nje? Mkuu nakuamini haya mambo una uelewa nayo sana, wewe unahisi kuna nini hapa?

haha...yani katika hili ndio tumapata matumizi sagihi ya "... anatumika na MABEBERU"
 
Bunge la Tanzania siyo Ndugai. Na hakuna wakati wowote ambapo Bunge au kamati zake zimeazimia Masele arudi. Ndugai ni aibu ya Taifa
Maazimio ya bunge yana mipaka yake, mengine yanafanywa na spika kwa kuongozwa na kanuni!
 
Kwani Lisu & Co wanapoamua kuichafua tanzania wana bifu gani na watanzania!

Mkuu sio kuwa serekali ya ccm na ccm ndio wanao mchafua Lisu, na kuchafua taaswira ya nchi kwa kuachia vitendo viovu vya watu kutekwa,kumiminiwa risasi mchana kweuoe. Kuuwawa watu na miili kutupwa kwenye fukwe za bahari, kunyooshea watu bastola mchana kweupe, pamoja na kuvamia ofisiza media kwa watu wenye silaha.
 
duh !
niemamin kuwa hizi spika za wireless ni shida kwel, yan zenyewe zina dunda tu haijalishi sauti ni ya redio ya jiran au ya mmiliki wake.
 
Back
Top Bottom