Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

nice2 ni zito. Na hii ni style yake ya kuandika. Na kwamba nice2 ni zito sisi tulijua siku nyingi. Wewe ndo unajua leo? any way, cha msingi hapa tumwombe apone. Period. We need you, kaka.

Ludewa,
I've never been Zitto ila nimepost email kutoka kwa Zitto. Maelezo niliyokuwa nimeyatanguliza kueleza kwamba email hii imetoka kwa Zitto sielewi kwanini yaliondoka moderator aliporekebisha font, naamini ni kwa bahati mbaya labda, ila nimeyaweka tena.
Naomba usipotoshe watu. Nilikuwa nikicomment JF wakati ambao Zitto yuko mahututi a/khan na Muhimbili, how can you say that I am Zitto? Ninachojua Zitto yumo humu jamvini na anatumia jina lake halisi.
 
wewe na akina nani mnaojua kuwa nice2 ni zitto, sitaki kusadikishwa kuwa uzi huu kauandika zitto. Atumie id yake tunayoifahamu.
 
Jogi,
Mimi ndiye niliyeanzisha uzi huu kwa ku share email iliyoandikwa na Zitto, kwa bahati mbaya (niaminivyo) maneno ya utangulizi (ambayo sasa nimeyaweka tena) yaliondolewa na moderator alipo edit font style.
 
Ludewa,
I've never been Zitto ila nimepost email kutoka kwa Zitto. Maelezo niliyokuwa nimeyatanguliza kueleza kwamba email hii imetoka kwa Zitto sielewi kwanini yaliondoka moderator aliporekebisha font, naamini ni kwa bahati mbaya labda, ila nimeyaweka tena.
Naomba usipotoshe watu. Nilikuwa nikicomment JF wakati ambao Zitto yuko mahututi a/khan na Muhimbili, how can you say that I am Zitto? Ninachojua Zitto yumo humu jamvini na anatumia jina lake halisi.

maandishi unayodai ni e-mail ya zito yana mapungufu, anaposema ndugu zangu, haimlengi mtu mmoja, kama aliweza kukuandikia e-mail, hauoni ni rahisi kupost jf kuliko kukupelekea wewe e-mail inayosema, ndugu zangu, angesema ndugu yangu! alikuandikia wewe.
 
nice2 ni zito. Na hii ni style yake ya kuandika. Na kwamba nice2 ni zito sisi tulijua siku nyingi. Wewe ndo unajua leo? any way, cha msingi hapa tumwombe apone. Period. We need you, kaka.

So what is that big problem if Nice2 is Zitto?

You people like to create non issue from non issue. We are all anonymous and no one should point fingers on the other for using a fake identity.

It is against JF's rules to identify ID name against someones real name.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
maandishi unayodai ni e-mail ya zito yana mapungufu, anaposema ndugu zangu, haimlengi mtu mmoja, kama aliweza kukuandikia e-mail, hauoni ni rahisi kupost jf kuliko kukupelekea wewe e-mail inayosema, ndugu zangu, angesema ndugu yangu! alikuandikia wewe.

Sikulazimishi kuamini kama hautaki kuamini, ila niliona ni vyema tu kufafanua nilipofikiria imeeleweka tofauti. Sijasema popote kama ameniandikia mimi binafsi, ukisoma kwa makini utagundua ni 'forum' ya watu. Sipo hapa kubishana but rather nia yangu ilikuwa njema kabisaa kujulisha wana JF hali ya Zitto.
 
Acha Umasaburi wa kimagamba hapa,
Kwani Nice 2 hawezi kupoke email kutoka kwa Zito??
Unajuaje labda Zito kawatumia watu wengi anaofahamiana nao akiwemo Nice 2??
We unawajua ndugu zake zito WOTE aliowataja kiasi kwamba ukatae kua Nice 2 hajatumiwa email na Zito?
Hata kama alikua kwenye critical situation, kwani hawezi kuita hata ndugu akamsaidia kuandika?
Funguka akili, we amini kilichoandikwa hapa,
Tupo wengine tulioiona hiyo email live tukashindwa tu kuiweka kwa sababu recipient mnmoja wetu wa hiyo email kashaiweka hapa.
Pia kama ni Zito, tayari ana ID yake ya jina lake hapa, si angeitumia tu.
Huu umasaburi wa kimagamba utatu-cost sana,
 
pia ni kweli mtu aweza kuandika na kudai ametumiwa! kama masaburi ni tusi basi MWENYEWEEEE!
 
Pole sana Zitto,na Inshallah Mungu akupe heri upone na urudi kazini kuendelea na harakati za mabadiliko Tanzania. Sahihisho moja tuu, sinusitis surgery ya kiwango cha juu inapatikana KCMC Moshi Arusha Tanzania na kwa bei ya laki tatu fast track na 90,000 kawaida. Ila inawezekana India ni bora zaidi kwa viongozi maana KCMC ni nzuri kwa walalahoi
 
Watu waliishaanza kukata tamaa wakidhani Mkullo amekupolonium lakini sasa tuko very happy baada ya feedback. Kweli kila mwana CDM amewatanguliza wananchi mbele na Mh Zitto ni kielelezo. Mungu atakujalia, utapona na hoja ya CHC utaendelea nayo tu. Inabidi na Mwakyembe atoe taarifa nzuri kama hii kurudisha matumaini kwa wana Kyela.
 
Get well soon Hon.Kabwe Zitto Zuberi.Your potentiality is still of great importance to our nation.Nice2 achana na watu wanaopenda kubishana.Kwao Zittophobiasis haijali uhai wa Zitto.
 
Sikulazimishi kuamini kama hautaki kuamini, ila niliona ni vyema tu kufafanua nilipofikiria imeeleweka tofauti. Sijasema popote kama ameniandikia mimi binafsi, ukisoma kwa makini utagundua ni 'forum' ya watu. Sipo hapa kubishana but rather nia yangu ilikuwa njema kabisaa kujulisha wana JF hali ya Zitto.

kamwe sitagombana na nia njema yako, ni rahisi kugundua mkanganyiko kwenye hayo mawasiliano yenu, patanisha kichwa cha habari, muktadha na maudhui ya taarifa yako, utagundua pamoja na mambo mengine, huo haukua mjadala bali ni taarifa kwa yeyote atakayehusika, haijakaa kiripoti, kwani wewe ulipaswa kuiripoti taarifa, nisaidie ni paragrafu gani inalingania mjadala, taarifa inaonyesha wazi kuwa mtoa taarifa ni mzima (hajafa) vipi tena ajadili kuwa yeye ni mzima kana kwamba anakanusha uvumi kuwa amekufa.
 
Nice2 asante sana kwa kutujulisha juu ya Mhe. Zitto

Ukweli, Mhe. Zitto ni kipenzi cha watanzania tulio wengi wazee kwa vijana na hata watoto. Mhe. Zitto, ugua pole na Mwenyezi Mungu akupatie afya njema ili urudi nchini haraka uendeleze mapambano wewe na wapinganaji wengine. Hii nchi inaporwa kwa kasi ya ajabu, hivyo Kijana kama Mhe. Zitto ni chachu na role model wa vijana...............
 
maandishi unayodai ni e-mail ya zito yana mapungufu, anaposema ndugu zangu, haimlengi mtu mmoja, kama aliweza kukuandikia e-mail, hauoni ni rahisi kupost jf kuliko kukupelekea wewe e-mail inayosema, ndugu zangu, angesema ndugu yangu! alikuandikia wewe.

Hiyo email aliandika kwa watu wengi kwa hiyo ilikuwa ni sahihi kusema 'ndugu zangu'. Hivi siku hizi kwa nini watu hatuwaaminiani kiasi hicho, au ndiyo ile ukiamua na nyoka inabidi uzikimbie hata nyasi? Angekuwa na sababu gani kutumia pseudo name wakati amajisajili kwa jina halisi?
 
Sikulazimishi kuamini kama hautaki kuamini, ila niliona ni vyema tu kufafanua nilipofikiria imeeleweka tofauti. Sijasema popote kama ameniandikia mimi binafsi, ukisoma kwa makini utagundua ni 'forum' ya watu. Sipo hapa kubishana but rather nia yangu ilikuwa njema kabisaa kujulisha wana JF hali ya Zitto.

Kama ndivyo wewe ni jamaa wa karibu na zitto unasema nini Kuhusu tuhuma zitto aliondoka nchini akiwa amechanganyikiwa hivyo kupelekwa india kwa matibabu zaidi kwani hata muhimbili operation mnayosema kaenda kufanyiwa india inafanyika vizuri?? Zitto ni mtu wa Media sana kwani asinge wasalimia waandishi wa Habari na kuwaomba watu wamuombee mbona baba wa taifa alisema??? Acheni kuficha ficha bana sema yote. hayo sio maneno ya zitto imeandikwa kwa kauli taarifa na makosa yanayo onyesha ni mtu wapembeni ameandika ni mengi. Zitto pole Mtanzania Mwenzangu tutakumbuka ujasiri wako.
 
Hiyo email aliandika kwa watu wengi kwa hiyo ilikuwa ni sahihi kusema 'ndugu zangu'. Hivi siku hizi kwa nini watu hatuwaaminiani kiasi hicho, au ndiyo ile ukiamua na nyoka inabidi uzikimbie hata nyasi? Angekuwa na sababu gani kutumia pseudo name wakati amajisajili kwa jina halisi?

mkuu asante kwa ufafanuzi, bado naona kuna tatizo la kisarufi, unaweza kuwatumia watu wengi e-mail moja kwa pamoja, kwa kuwa endreader wa hiyo e-mail hawatakuwa group, ukizingatia huo sii mjadala, hatimaye hiyo barua pepe itasomwa na mtu mmoja mmoja. hivyo anapoandika ,ndugu zangu, mahala pa ,ndugu yangu, analeta shaka. na vipengele vingine ukivisomama mstari kwa mstari lazima utauliza, aliwatumia taarifa na kuwashukuru wanamageuko, jf pole nyiiingi, wengine mpaka unabii wanatoa, tunaingia ukumbini bila mwaliko!!!!
 
hapa ndipo huwa namkubali Zitto. anatoa habari wakati muafaka na si kuwaaacha watu waanze kubuni. Zitto ni mwanasiasa wa kisasa anajua information is power. amejitofautisha na wanasiasa wengine ambao wako India ambao sisi ndio tunawalipia gharama za zmatibabu lakini hatujui wanaumwa nini! Big up ZZK

Jamani yaani Agakhan hawawezi kubaini malaria wakati ndipo panapotegemewa? Twafwa
 
Back
Top Bottom