Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

Pole sana mkuu. Kwa kweli Agakhan si ya kuaminika kabisa. Karibuni tu rafiki yangu kaenda kufanyiwa operation ya mguu, amekwenda kwa miguu yake, wakamkosea kwenye operation na imebidi mguu ukatwe baada ya kuharibika. Sasa ni mlemavu wa maisha.
 
Kiliwezekana kwa Zitto kwa nini kwa lissu imekuwa ni abra kadabra??
 
Aghakhan hawawezi ku-detect Malaria!!!! Aghakhan hawawezi ku-detect Sinusitis!!! Aghakhan wana thermometers za homa tu!!!

Aghakhan!!!...
Agha Khan Tanzania vs Agha Khan Nairobi
 
Back
Top Bottom