Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Acha kuamini kila kitu jishughulishe kufikiri.Nssf kila mwaka ongezeko la wanachama linazidi kukua ukilinganisha na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii ambayo iko taabani.huduma bora na ubunifu wa dr dau ndio umechangia shirika kuaminika kila uchwao.

Mjinga Huyo,eti usalama wa taifa wafanyie kazi upuuzi alioleta mleta mada,,,,kwanza inatakiwa mleta mada akamatwe ahojiwe na ubaguzi wake
 
Mjinga Huyo,eti usalama wa taifa wafanyie kazi upuuzi alioleta mleta mada,,,,kwanza inatakiwa mleta mada akamatwe ahojiwe na ubaguzi wake
Haswa,watu kama hawa si wakuwaacha kabisa.wanaweza kuhatarisha amani ya nchi japo watz tunaishi kwa amani hii ya kuvumiliana.
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.
Haitoshi yeye kuondoka tu, ameacha uharibifu. Sasa hizo nafasi za kazi alizotengeneza bila mahitaji, unafikiri hata akija nani atazifutaje kirahisi bila gharama?
 
We huna lolote umetumwa tu umtetee dau,mwandishi anamaliza kwa kuomba special audit hiyo ndyo itaeleza ukweli wote hakuna uongo hata kidogo hapo
Nimtetee kwani ana kesi ya kujibu? Nimtetee ili niokoe nini wakati keshaondolewa NSSF na kupewa ubalozi?

Nimeongea facts, ktk mifuko ya hifadhi NSSF ndio mfuko pekee wenye mtaji Mkubwa na assets za uhakika kuliko mifuko yote!!

Unajua hali zinazoikabili PPF na PSPF? Unafahamu PSPF now inashindwa kulipa mafao kwa wakati? Mbona haisemwi popote? Kwanini hakuna kelele juu ya mifuko hii iliyo ktk kundi la kifo?
 
Hii kama ni kweli...KUANZIA SASA NAAMINI KUNA WATU WANAKATA MAJINA YA KIISLAMU KWENYE UFAULU WA MITIHANI.
 
Kama una ushahid uuweke hapa ili kila mtu auone

Lakin kuishia kusema kuhusu udini bila kuweka takwimu za namba ya staffs Nssf kwa majina na dini zao tukajua ni kina nan weengi haina tija

We alwys know that nyinyi waimba kwaya mmejazana sana huko serikalin na infact hizo ajira bila shaka mnapeana huko makanisani kwenye ibada zenu...

Thats why mpo na uzoefu huo wa kusema haraka haraka kuwa Dr Dau Alhajj His Excellecy Ambassodor alikua anatoa ajira kwa upendeleo.

Vip mnaiongelea Nssf na kuyaacha mashirika mengine ambayo wala kitimoto wamejazana?

Huko nako vip si mnapeana ajira makanisani?
 
Patamu hapo..
Chuzi limepata mpishi....
Lets wait and see to where this circus shall end!!!!!!!!!
Kule Tanga wanaliita 'Chuzi la Tope' maana linawekwa nazi tu....bila maji hata tone!....Kwahiyo linakuwa zito sana!!
 
My pop corn is gone? Whither MODs........

mj.png
 
Wewe kichwa box uliefeli kimaisha

Thats why nakuambiaga tokea long time sana kuwa wewe huna unalolijua.

Ni empty handed kama yule muimba kwaya mwenzako gwajima.

Hiv nan anaweza kusimama mbele ya kadamnasi leo hii na kusema kwamba Nssf Inafanya uwekezaji usio na tija?

Eti Nssf inashindwa kulipa wanachama wake mafao?

Eti Nssf inashindwa kulipa wafanyakaz wke mishahara?

Nan anaeweza kuamin upuuz kama huo kama siyo watu mufilisi wa akili wenye sampuli kama hii ya kwako wewe?

Vip una nafas gan hiv sasa chadema?

Maana yule checkbob mwenzako na mshirika wako Yericko Keshapandishwa kizimban hiv sasa kwa tabia kama hiz za kupiga piga ramli mambo msiyoyajua.

Jiangalie maskin wa akili na kipato wewe.

Maisha si lele mama.

Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
 
Na wew huna akili kabisa unakaa na kuwaza uislam na waislam hiv fanyeni analysis kabla ya kuongea wabaguzi wakubwa nyie umeenda kuangalia NSSF kulivyo na ufanisi wake au mnaongea tu bila fact
 
Nimtetee kwani ana kesi ya kujibu? Nimtetee ili niokoe nini wakati keshaondolewa NSSF na kupewa ubalozi?

Nimeongea facts, ktk mifuko ya hifadhi NSSF ndio mfuko pekee wenye mtaji Mkubwa na assets za uhakika kuliko mifuko yote

Unajua hali zinazoikabili PPF na PSPF? Unafahamu PSPF now inashindwa kulipa mafao kwa wakati? Mbona haisemwi popote? Kwanini hakuna kelele juu ya mifuko hii iliyo ktk kundi la kifo?

Lusungo.

Tatizo hapo siyo Nssf.

Huyo jamaa anajua fika uhalisia na uimara wa Nssf na kazi kubwa ambayo Dr Dau kaifanya.

Ila Tatizo hapo ni kwamba anaona kuna Barakashia na Hijjab nyiingi sana kitu ambacho yeye kinamkera sana.

Sijui tatizo ni nin waislam kufanya kaz hapo

Mbona mashirika mengine meengi wamejaa wakristo kila idara na hujaskia waislam wakisema kuwa ajira hizo wanapeana makanisani?

Na hata waislam wakihoj jibu wanalopewa ni kwamba hatuna shule.

Waambie jamaa waache. Chuki
 
ni ninyi hawa hawa ambao mlipiga kelele kuwa caren wangwe hafai kuajiriwa NSSF kwa sababu ana asili ya uganda. sasa iweje kwa wapemba ionekane ni sawa? double standard ya kiwango cha juu sana. wapemba wanakubalika kwa sababu? ila hao hao tena ukienda kule kwao nao wanasema kuna wabara na wapemba so wabara wasipate ardhi.

Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Mwana Diplomacy huwa anachanganua mambo kabla kuchangia ..yaani umeshindwa kumsoma mtela mda kuwa ni mdini na mkabila baadae unaleta habari za nondo? Kamanda umechemka sana usiwe fuata mkumbo unajiharibia professional yako.
 
Nachoshindwa kuelewa mtu ameshaachia ngazi.bado anaandamwa.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Yani we ndio kipofu kabisa na madini mkubwa.

Kuna ushahidi gani wa kuita hii ni nondo? Sikushangai ndio maana unaendelea kutumika kwasababu haujitambui
 
Wewe ni mdini mwenye chuki binafsi zidi ya uislamu na self interest hapo NSSF. Taarifa za kuaminika ni kwamba waimba kwaya mmejazana hapo NSSF Ila ajira zikitolewa kwa waislamu mnalalamika. Mmeacha mashirika ambayo yana uozo Wa kupindukia lakini mmeng'ang'ana kumshambulia Dr Dau na watumishi waislamu sababu tuu ya Imani yao.
Mazoea yatawashinda, dunia ya leo tofauti na ile mliozoea, waislamu Wa nchi hii washachoshwa na tabia za watu kama wewe ambazo zinalipeleka hili taifa pabaya.
 
Lusungo.

Tatizo hapo siyo Nssf.

Huyo jamaa anajua fika uhalisia na uimara wa Nssf na kazi kubwa ambayo Dr Dau kaifanya.

Ila Tatizo hapo ni kwamba anaona kuna Barakashia na Hijjab nyiingi sana kitu ambacho yeye kinamkera sana.

Sijui tatizo ni nin waislam kufanya kaz hapo

Mbona mashirika mengine meengi wamejaa wakristo kila idara na hujaskia waislam wakisema kuwa ajira hizo wanapeana makanisani?

Na hata waislam wakihoj jibu wanalopewa ni kwamba hatuna shule.

Waambie jamaa waache. Chuki
Ndio maana nikaamua kuweka ukweli...

Nimeshangaa sijasikia kelele wa kutumbuliwa jipu kwa mfuko wa serikali kuu wa PSPF ambao upo mbioni kufilisika!!
 
Huyo mtoa mada tena anasema ni mfanyakaz basi atuwekee list ya wafanyakaz wenzake hapo Nssf kwa kigezo cha dini kisha tuangalie baina ya waislam na wakristo nan ni weengi?

Kisha baada ya hapo tuhamie kwenye mashirika mengine na ngaz zoote za serikali tuangalie baina ya waislam na wakristo nan ni wengi.

Kisha tuanzie hapo kuangalia mziz wa fitina

Unajua waimba kwaya msije mkajisahau mkadhan hii nchi ni hati miliki ya kanisa hilo mlitambue.

Miaka yoote mmejazana huko serikalin hakuna cha maana mnachofanya zaid ya kulitia taifa kwenye umaskin kwa wizi na ufisadi
 
Ya Dr.Dau yaishe sasa...he is no longer there.tusonge na mengine....haya ya udini sasa too much mpaka yanatia kichefuchefu.We stop it now.
 
Back
Top Bottom