Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Mm sijuh ila je shirika before Dr na baada ya Dr wapi limepiga hatua wengi tunazungumza udini ila shirika lina malengo yake
Baada ya dau rate of cash flow increase,decreases at at a highly decreasing rate
 
Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
Nadhani mleta uzi amemaanisha waliokithiri ... read btwn the lines utaelewa.
 
Udini
 
UDINI +UDINI+UDINI.
WADANGANYIKA WANAZIDI KUKEKETWA NA KUTAFUNWA NA CHUKI ZA UDIN.
AMKENI WADANGANYIKA NCHI HII NI WATU ZAIDI YA DINI MOJA,
KAMA HAMUWAPENDI WA DINI NYENGINE TAFUTENI KAZI KWENYE NYUMBA ZENU ZA IBADA MAKHABITHI NYIE
 
P

Pspf si alikuwepo mujahidina na akamkabithi mujahidina Adam mayingu tena mtu wa IT na ndo anamaliza kabisa,alipoteuliwa mama Carina wangwe Nssf mlipiga kelele ooh kasoma IT hawezi kukaimu mbona huko pspf hamsemi,
umevuta bangi nini? carina alikosolowe kwa sababu ya uraia wake. yaelekea hujui chochote. wewe nenda kalewe pombe tu yatosha.
 
Ndorobo weweeeee

Udini sio kuwa na idadi kubwa ya watu wa dini Fulani katika shirika hilo

Ila udini ni mentality inayojengwa na menejiment kuwa kama we si wa dini yetu basi hapa huna nafasi

Mashirika mengine haiku hivo...ilikuwa by default
utakuwa mjinga wewe kama sio mpumbavu. hivi unajua waajiriwa wa dini mbalimbali waliopo kwenye hayo mashirika yote? au umekuja kuhara tu humu. funga hilo bakuli lako.
 
Data mnazo nyie sisi tutazipateje si mmekalia viti vyote na information zote mnazo,utuwekee ajira zote zilizofanyika 2005-2015 ndo tufanyie kazi
kwa hiyo hapa unatulisha pumba tu bila ya kuwa na ushahidi wowote? mna matatizo sana nyie...
 
mpumbavu sana wewe....unajibu kitu usichokielewa
dis-freeland tuletee hiyo idadi ya waislam walioajiriwa huko NSSF na mashirika mengine kama hujakimbia humu kwa aibu. nawashangaa sana nyie jamaa. popote utakapoenda kwenye ofisi za NSSF wamejaa wakirsto kuliko waislam. tumia akili hata kama udini unakusumbua.
 
mkuu hao jamaa kwa fitna hawajambo, ndo maana sasa hivi wako bize mtandaoni kumchafua huyo jamaa. nakuambia kwa jinsi wanavyomchukia kama kweli huyo jamaa angekuwa mwizi siku nyingi sana angekuwa tayari keshatumbuliwa. huyo jamaa amepokea shirika likiwa mahututi leo hii ni miongoni mwa mashirika ya hifadhi za jamii bora kabisa katika nchi za dunia ya 3. ndo maana sasa hivi hawana cha kumshitaki wamebaki kumchafua humu. tatizo ni DINI YAKE TU.
 

huelewi...Huwezi kuhitimisha kuna udini kwa kuhesabu idadi ya wakristo na waislamu kwenye ofisi Fulani....Udini ni Mentality ambayo iko displayed na board na senior management team..Mfano Pioneer wa 50/50 bwana dau alivyokuwa anafanya...Ongeeni basi na wafanyakazi wa kawaida wa NSSF mtapata majibu
 
Tatizo kubwa ni kwamba Magufuli anashughulikia wezi na hashughulikii wizi wenyewe.
Bila wizi hakuna wezi, na bila ya kuwako kilichoibwa hakuna wizi, sasa kwanini kilichoibwa kisirudishwe?
Magu alikuwa Wizara ya ujenzi, anajua vizuri sana wizi mkubwa wa kuongezwa gharama za ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Na hata Kijazi aliondolewa Ujenzi na kutupwa Ubalozi wa India kwa sababu ya kukomalia gharama za daraja.
Unamtoa Dau na Sefue na utuachia mzigo wa wizi wao.

Ova
 
ninawatu nawajua wanafanya kazi pale NSSF. nitawauliza.
lakini usisahau kwa mkiristo kumuona muislam hata akiswali tu anafikiri hilo shirika limesilimishwa. hiyo ni mentality tu mliyonayo nyie wakirsto. nadhani mnatakiwa kubadilika. kuswali kwa muislam ni kutekeleza ibada yake ambako kwa vyovyote vile hakukuathiri wewe kama mkiristo. mbona nyie mnaenda makanisani na wala hutushughulishwi na ibada zenu?. kwa nini iwe nongwa kwa muislam kuswali? mnaathirika nini kwa kuswali kwake? haya tunayaona hata huku kwenye jamii za kawaida. badilikeni.
 

hakuna aliyeongelea Kubong'oa hapa....Tunaongelea Mentality
 
Tatizo Dau waliomfikisha hapa ni wapambe halafu kwenye matatizo wanamuacha peke yake hajui kipi cha kufanya aiseee
 
hakuna point za maana hapa Zaidi ya mihemko ya kibaguzi tu
 
Nadhani mleta uzi amemaanisha waliokithiri ... read btwn the lines utaelewa.

Endelea kudhani, Na wa Kisarawe ana maanisha nini? [Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe]. Between Line hayo maneno Unadhani yanamaanisha nini? Ubaguzi ubaguzi tu
 


NIMEKUELEWA SANA.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Mahaba ya dini ni upofu wa akili

Mtoa mada ungeuficha ujinga wako unaemuongelea mtu ameshatoka
Hivi maisha ni kwenye ajira tu! Hebu tuambie wafanya biashara wakubwa kina nani. Nilikuwa nnafuta spea Za kimeo changu du inaonekana upande wa pili wapo zaidi kibiashara na upande mwingine kwenye AJIRA. Ndo maana upande moja ni wachache kwenye ajira lkn wengi kwenye biashara. Inategemea umewekeza wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…