We ni punguani na abinuwas kama jina lako,pspf hakuwepo muislamu na akamkabithi Adam au akili zako za sembe anadhani wote tunavuta sembe na ufirauniumevuta bangi nini? carina alikosolowe kwa sababu ya uraia wake. yaelekea hujui chochote. wewe nenda kalewe pombe tu yatosha.
Ni ukweli kajaza ndg za mkewe na huyo DHRA nae kajaza ndg zake ni manyangau wale mbona sie huko pemba hatutakiwi idiotEndelea kudhani, Na wa Kisarawe ana maanisha nini? [Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe]. Between Line hayo maneno Unadhani yanamaanisha nini? Ubaguzi ubaguzi tu
Idiot yourself celinawetu , nakumbuka uzi wako na furaha yako iliodumu masaa matano, what went wrong celinawetu , celina wako alikurupuka? By the way Ukitaka kuajiriwa pemba peleka tu application yako ktk kampuni yoyote unayoijua iliopo pemba. Fishing expeditionNi ukweli kajaza ndg za mkewe na huyo DHRA nae kajaza ndg zake ni manyangau wale mbona sie huko pemba hatutakiwi idiot
Idiot yourself celinawetu , nakumbuka uzi wako na furaha yako iliodumu masaa matano, what went wrong celinawetu , celina wako alikurupuka? By the way Ukitaka kuajiriwa pemba peleka tu application yako ktk kampuni yoyote unayoijua iliopo pemba. Fishing expedition
TTCL nako kama msikiti.
Idiot yourself celinawetu , nakumbuka uzi wako na furaha yako iliodumu masaa matano, what went wrong celinawetu , celina wako alikurupuka? By the way Ukitaka kuajiriwa pemba peleka tu application yako ktk kampuni yoyote unayoijua iliopo pemba. Fishing expedition
mentality mnayo nyie mnaoona hata kuswali wa Dr. Dau ni tatizo. kama ni wakirsto wafanyakazi wa NSSF wamejaa kila kuna ya nchi hii. nani hajui hilo? au nitajie japo mkoa mmoja wenye wafanyakazi wengi waislam kwenye ofisi za NSSF kuliko wakirsto japokuwa sisi ni wengi kama taifa? mbona nyie mnabeba mpaka mabibilia kwenye ofisi za umma wala sisi hatuongelei hayo? mbona mlikuwa mkitumia mpaka pesa za umma kwenye sherehe zenu za kidini na sisi hatukuliongelea? nani alikuwa haoni wakati wa kirsmas na pasaka mapambo ya kidini yakiwa yamejaa kila aina ya ofisi za umma tena kwa garama zetu sote? ulishawahi kuyaona mapambo ya maulidi au Idd kwenye ofisi za umma? tena kwa garama za umma? kwa staili naamini ipo siku yaja.hakuna aliyeongelea Kubong'oa hapa....Tunaongelea Mentality
mentality mnayo nyie mnaoona hata kuswali wa Dr. Dau ni tatizo. kama ni wakirsto wafanyakazi wa NSSF wamejaa kila kuna ya nchi hii. nani hajui hilo? au nitajie japo mkoa mmoja weenye wafanyakazi wengi waislam kwenye ofisi za NSSF kuliko wakirsto japo sisi ni wengi kama taifa? mbona nyie mnabeba mpaka mabibilia kwenye ofisi za umma wala sisi hatuongelei hayo? mbona mlikuwa mkitumia mpaka pesa za umma kwenye sherehe zenu za kidini na sisi hatukuliongelea? nani alikuwa haoni wakati wa kirsmas na pasaka mapambo ya kidini yakiwa yamejaa kila aina ya ofisi za umma tena kwa garama zetu sote? ulishawahi kuyaona mapambo ya maulidi au Idd kwenye ofisi za umma? tena kwa garama za umma? kwa staili naamini ipo siku yaja.
ewe punguwani, nenda kasome tena nilichokoment ndo uje tena kuchangia. yaelekea akili zako ni bora ya za nzi.We ni punguani na abinuwas kama jina lako,pspf hakuwepo muislamu na akamkabithi Adam au akili zako za sembe anadhani wote tunavuta sembe na ufirauni
naona unasepa mada kiaina fulani. nimekuelewa. nchi yetu sote hii. sisi hatuna shida kabisa na nyie kufanya ibada zenu, na iwe hivyo kwenu pia.Chama cha CCM ni chama cha kikristo...hama
Mdini mkubwa wewe na sisi tukianza kiweka nafac za uteuz wa magufuli utakaa hapa bwege ww
Mwenye data ya mashirika mengine atuwekee hapa tufanye comparison shirika lipi hasa kuna udini! KUNA MTU ASHAWAHI KUZI- UPLOAD HUMU
usipanic broutakuwa mjinga wewe kama sio mpumbavu. hivi unajua waajiriwa wa dini mbalimbali waliopo kwenye hayo mashirika yote? au umekuja kuhara tu humu. funga hilo bakuli lako.
Mkuu Nepotism ni kitu kibaya popote pale, Lakini usisahau kuwa hakuna kigezo mahali popote kiachosema kuwa utaajiriwa kama mkristo au muislamu au kabila fulani!! Huo ni upendeleo unaofanywa na baadhi ya watu katika kuakikisha kuwa kundi fulani linaweka watu wenye maslahi nao. Lakini usisahau kuwa hakuna sehemu yoyote nimetetea huo ujinga. Nimejaribu kuainisha ukubwa wa tatizo na changamoto wanazopata wateuliwa katika kukidhi haja za waliowateua.