Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

"Achana na ushamba wa kutaja majina ya watu hapa, huyo rafiki yako yuko tayari kuthibitisha hayo unayoyasema?, utashitakiwa kwa defamation mbumbumbu we"




Hahahahahaha......sasa huyo mtajwa unaona jina kubwa wewe kenge kweli anatajwa mzee wa msoga atakuwa huyo mbeba box
 


najivunia utanzania wangu. bravo!
 
Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
Nenda wewe ukaajiriwe Pemba/Unguja halafu uje hapa utueleze..
 
Kwani Ugomvi wote huu wa nini?, Subirini mtu kutoka kanisani, apewe nafasi pale maisha yaendelee!
Hivi najiuliza laiti Kikwete angeunda baraza la Mawaziri lenye waislamu wengi kuliko Wakiristo au Makatibu wakuu Waislamu wengi kuliko Wakiristo nchi hii ingetawalika kweli?

Lakini hayo yakifanywa Vice versa na watawala wengine, Wote kimyaaaa this time wanasema eti "kwani tunachagua dini ya mtu au weledi na uchapakazi wake?"
 
Huyu jamaa mbaguzi.

Ninanukuu "Dr amejaza hadi wapemba"

Sasa mkuu mpemba sio mtanzania?

Wewe ulitakiwa ulete evidence kwamba kuna Mpemba pale idara fulani ameingia kimagumashi hana vyeti. Kuna muislam pale ni Director amepewa kwa upendeleo.

Bado naona hamna evidence ni kulialia tu!
 
We mgalatia una matatizo makubwa.

Hapa mleta mada kumshambulia Dau kwa dini yake wala sio kwa utendaji wake.
Hivi unaona sawa mleta mada kuhoji kwanini wapemba waajiriwe na nssf???

Kwani wapemba sio watanzania???

Kwa chuki zenu ndio mmefanya nchi yetu iwe nyuma mpaka leo, mnawabagua waislam halafu mkipewa nafasi hakuna la maana mnalo fanya.

Tangu nchi hii ipate uhuru nyie ndio mnaoongoza kwa kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, mmeifanyia nini cha maana nchi yetu???


Zaidi ya kuiba na kudhulumu???

Halafu ndio wakwanza mnapiga vita kila muislam anae pata nafasi serekalini tena bila sababu za msingi.

Tutakula na nyie sahani moja mpaka kieleweke. Mambo ya kusema waislam hawajasoma ni zamani, sio sasa.

Ni mapambano mwanzo mwisho mpaka muelewe hii nchi sio mali yenu pekeyenu bali kila Mtanzania ana haki sawa bila kujali dini, kabila, jinsia au rangi yake. Nyambaffff.
 


Unaweza kupendelewa kuwa Mkurugenzi wa NSSF AU PPF lakini huwezi kupewa ukurugenzi wa Muhimbili AU viwango AU mkemia mkuu Kama wewe Sio bingwa kwenye fani husika ......na Kama mjuanyo hizo kozi ngumu watu wanazikimbia......huwezi fananisha na pdh ..inayotokana na BBa AU Bcom ,MBA etc ..
 

DAH UMEMALIZA, WENYE HUSUDA WAMEKAA, NA WAJE NA NYUSUDA ZAIDI TUWAONE
 
Sasa ndio umeandika nini hapa?

Hii inahusiana nini na WAKRISTO kupewa UONGOZI wa Nyanja Karibu ZOTE nchini?

Nyie ndio mtakaotuletea Umwagaji wa Damu hii nchi.
Endeleeni kuimaliza hii nchi.
 


DAH..!! mkuu tuwekee japo picha wa huo uwanja wake huko kigamboni.


Hilo la mshahara utuwekee ushahidi walau tujiridhishe.

hilo la kumkodia ndege mwanae ndege ukituweke ushahidi utakuwa umeitendea haki elimu yako.
 
Duh,, umesomeka mzee kumbe hali ilikuwa ni JIPU,,la ukweli huyo mzee.

Sasa ipite timu ya kuwakagua hao Wapemba wke tuone kama wana sifa za kuwa hapo.
 
W
Acha uongo wa namna hiyo,unafikiri utaishi milele dunia hii? Unashuhudia uongo wa namna hiyo ili ufurahishe jamaa zako
Wallah mungu anajua huu ukeweli ningekuwa na sm yake ningekupa na pia wengine tulosoma nao pia walipata kazi tena wengi wao vihiyo darasani
 
Nenda wewe ukaajiriwe Pemba/Unguja halafu uje hapa utueleze..
Lol !! Kwa Imani yako, Geuza shavu la pili !!, au is it fair to you ubaya uurudishe kwa ubaya? by the way Wapemba ni Watanzania wana haki ya kuajiriwa popote pale katika hii Jamhuri ya Muungano wa Tz.
 
Huyu hata huo Ubalozi avuliwe, maana hamna namna Sasa, kwa uzo huu, hastahili heshima!
 
Mkuu hata asingeeleza mazuri ya Dau bado angekuwa sawa tu sema ameeleza hayo kidini tu na sio kiutendaji. Narudia Dau ni binadamu anaweza kufanya makosa kama mtu yeyote na sina sababu ya kumtetea kwa mapungufu yake. Shida hapa ni kuwa kila mahali ni udini wa dau ndio tatizo na sio uwezo wake.
 


Tatizo NSSF it was a deliberate move, bila ya kuzingatia vigezo Na masharti, hapo ndipo jipu lilipoivia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…