dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
hahahahaa mmefanya kazi ya nzuri kuandaa hii kazi. lakini tatizo kubwa na la wazi kabisa ni kwamba HAMJASOMA. kumbukeni wote wenye hizo nafasi hapo wameenda shule ipasavyo. na hizo nafasi zinahitaji watu walioenda shule ipasavyo sio shule ya kufika form 6 tu. nikisema shule namaanisha shule.. elimu ya Ahera ndio inawaponza mnasahau elimu DUNIA.
Kwa sababu amepost CV kitu ambacho hakihusiani na topic iliyo mezaniMbona umeuliza kwa hasira hivi? Pumua kwanza halafu usome tena. Au ulitegemea awe na elimu ya madrasa tu?
Kwa Dr. Dau kuwa na hisia za udini au kuamini kuwa 'waislamu wamedhulumiwa' hilo halina mjadala. Ni mmoja wa watu walioshirikiana na Prof. Njozi wakati wote wapo UDSM kuandika kile kitabu pendwa cha wenzetu 'Mwembechai Killings'. Humo, Njozi kamshukuru Dr. Dau kwa mchango wake.
Hivyo kama anatuhumiwa kwa udini, mimi sishangai. Maana anayotuhumiwa kuyatenda, ndiyo yanayolalamikiwa kwenye hicho kitabu pendwa.
Chadema ipendekeze wapemba wote wafukuzwe kwenye ilo shirika maana sio RAIA wa tz,hawana haki yakuajiriwa km asemavyo mleta mada kwa kusapotiwa na kina Ben saa nne
Mnamzungumzia Dau yupi?
Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?
Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?
Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?
Dau yupi huyo?[/QUOT
Kunywa kahawa kuna tafauti gani na kukaa baa na kucheza pool kwa masaa? Uhuru wa nchi hii ulitokea vijiwe vya kahawa
Na wewe ulipataje kazi kama siyo kupitia vigango vya Kanisa.Kitambo kipindi nipo chuo kuna jamaa yangu alikuwa UDBS aliniambia anasubiria kumaliza chuo yeye anao uhakika wa kazi Nssf sababu Jamaa yake Haruna Mbeyu na Dau Mabest kwahiyo tabu Hana kweli jamaa amemaliza ndani ya mwezi mmoja tu akapata kazi Nssf...kwenye hii thread nimejifunza kitu
Wakristo hawako hivi kabisa, kumbuka hata marehemu Malima alikuwa hivi hivi na mzee 1 aliyekuwa pale Sumatra alitokea tazara!Na wewe ulipataje kazi kama siyo kupitia vigango vya Kanisa.
Na wewe ulipataje kazi kama siyo kupitia vigango vya Kanisa.
Nenda kasome kitabu hicho. Wengi wenu hamjakisoma, ila mnapenda kusimuliana habari za kitabu hicho. Mimi sipingi kwamba mauaji na matumizi ya nguvu kupita kiasi havikutokea. Nina mtazamo tofauti pale ambapo suala moja limejumuisha tuhuma nyingi ( ambazo hakuna anayeweza kuthibitisha) kuwa ndio ukweli wa mambo.Hayo ya “Mwembechai Killings” kwani ni uongo hayakutokea?
Usiende mbali hapa kilimani street ada estate, karibu na leaders club kuna yale majengo yaliyokuwa TZR club baadae ikanunuliwa na NSSF na kuwapangisha Tanzania Heart Institute baadae wakatimuliwa. Yale majengo sasa yana muda mrefu hayana wapangaji na yako kwenye prime area ya jiji la Dar. Hizo ni pesa za wanachama zimekaa tu.Hili la majengo hapa Arusha ni jambo la kweli kabisa yapo majengo mawili moja lipo mkabala round about Kaloleni halina wapangaji 95% na lingine lipo mkabala na Christ church halina wapangaji kabisa yaani hadi unashangaa hizi fedha zetu zinavyochezewa.
I salute you for the great comment, wakati mwingine mtu aje na statistics na physical or tangible evidence then at least tunaweza kuanzia pale. Inasikitisha tena bila kufikiri kama great thinker mtu anakuja kutueleza kuwa "akaanza kuajiri wenzetu" so inaimply hali ilikuwa mbaya sana kwa hao "wenzetu" before, ok, ngoja tuone mwisho wake, kwani sasa hivi si ameshakuja wa kanisani? Maisha yataenda vizuri, na kama hawana vigezo hao "wenzetu" watoeni muweke wenye vigezo na fanyeni idara zote kuanzia hapo, TRA, BOT na kwingineko, mchana mwema, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrikahayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.