Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Another useless thread wewe unayejiita mfanyakazi wa nssf uliyekuwepo wakati wa mkulo mwongo kabisa unataka kusema nini wakati wa mkulo hata karatasi za kuprint zilikuwa ni shida pale ofisi za NPF leo hii unadai eti unalinganisha baina ya Mkulo na Dau. Shida yenu udini unawasumbua kinawauma sana kuona waislamu wapo wapo mnatamani waislamu wabakie wafagia barabara na wauza maandazi . Hamuoni udini uliojaa maeneo mbali mbali katika taasisi mbali mbali ila nyie macho yamewatoka NSSF kisa mnaona hamuwezi kushindana katika mazingira sawa mshazoea upendeleo. Punguzeni udini hatujengi nchi mtasababisha tu chuki isiyokuwa na tija kwa taifa fanya kazi ujenge nchi yako. JF imekuwa ya hovyo sana siku hizi hata mtu unaona uvivu kusoma.....
 

Ni hatari sana kuelezea hisia zako kwa tuhuma nzito kama hizi bila kuonyesha ushahidi kisayansi. Ungetoa data kwa mfano upande wa dini X kuna % y na upande wa dini Q kuna % z kunanzia apewe madaraka ya ukurugenzi.Na kwa kulinganisha hizo % tunaona kunamabadiliko kadha wa kadha e.g. financially, economicaly, socially n.k. Halafu ungeonyesha kuwa shirika halijakua au limedidimia, therefore Dr. Dau kwa udini wake ameingizia hasara taifa hili.
Kwa jinsi ulivyoeleza haueleweki zaidi watu wanakuona wewe ndio mdini na mtu hatari kwa jamii yetu. Anyway, haya ya udini tunasafari ndefu sana kuondokana nayo. Dawa ni kuwatengenezea maroboti ili yafanye kazi nanyi mle bata ili msiwe mnabishana wa dini hii au dini ile.

Kwa sisi ambao hatupo humo NSSF, kujengwa kwa daraja tunaona kutakua na manufaa manake litatumika na wadini zote japo hatujui analysis ilifanywaje mpaka kufikia uwamuzi wa uwekezaji.Otherwise serikali ingepaswa kukopa pesa e.g. world bank kwa ajili kufanya hiyo kazi. Labda utueleze kwa nini mradi wa daraja la kigamboni haukua sahihi na nini kingefanyika kama mbadala while considering time value of money for the investment.AU ungesama jamaa kapiga ngapi kwenye mradi. Lakini kama pesa iliyokadiriwa imetumika na kufuata sheria hata kama halina faida lakini litatumika kwa mawasiliano kati ya upande A na B.
 
Mbona yule aliyejenga nyumba Mchechu mnasema nyumba kamaliza ila haziuziki?? Mbona yeye hamsemi investment ya leo tutaiona kesho?? Au kwakuwa yeye mkristo

Duuuuuu hali ni mbaya sana jamani, chuki hadi magegoni. Dau mmoja watu wanajamba cheche utafikiri wapo milioni 10. kesho mkisikia kuna Dau mwingine kapewa TANESCO haki ya nani mbuzi katoliki hatalika.

Kwa ninavyoona mimi huko mbele ya safari nchii hii itakuja kuwa ba vurugu kushinda nchi zote za afrika mashariki na hili litatokan na serikali itatumia nguvu nyingi kulikandamiza kundi moja wakati vurugu hizo zikianza na kundi hili litaona sasa halina refa wa haki, hapo tanzania itakuwa imepotea na hakuna atakae salimika.

Msije fikiri haya yanayotokea kwingine hapa kwetu hayawezekani, yatawezekana sisi tuendelee kupalia mkaa moto ushike kasi, na huko kwenye vyombo vya usalama nako pia kutavurugika, wapo walioshika dini zao barabara iwe wakirsto au waislamu, itafikia muda hawatakubali ''wenzao'' wadhulumiwe bila sababu, hilo likitokea ndio itakuwa kilele cha vurugu kama ilivyo kwengineko.

inawezekana kuna baadhi ya maeneo waislamu hawapewi nafasi kwa kuogopa kwamba itakapofika wakati wakuambiwa sasa tunaanza chinjachinja isiyo na sababu, damu na maji ya dini yao itawashinda na hawatakubali kuwasaliti ndugu zao, basi ndipo hapo hawatapewa vyeo vyakueleweka ili siri zisijulikane na ikibidi hawatausika kwenye maamuzi kwani hawatakuwa na vyeo vya ngazi hizo.

Nchi tutaimaliza sisi wenyewe kwa kudhani mm bora kuliko yule, mm ninashule huyu ana madrasa.
 
Yesu kasikiaa kilioo chakoo

Day tumempaa ubalozi Wa kigamboni. Huku tukimpangia sehemu nyingine
 
Mkuu.

Umeongea kwa hekima sana.

Siku zoote hawa waimba kwaya tokea enz za nyerere walishajiona kuwa wao ndio wenye hati miliki ya nchi hii eti kwa kuwa wana shule.

Na Islamophobia imewaganda kias kwamba wakimuona muislam kwenye hayo maofisi basi wanadhan kaenda kuwalipua na mabomu...wanakosa aman kabisa.

Ni chuki tuh zimewajaaa...

U know christians in this country they forgot that the heroes who fought for the freedom of this country majority were muslims

And when our grandfathers fought for the liberation their grands were collabaroting with those white cockroaches...our fathers didnt intend to build islamic country in those liberation struggles...infact they were fighting with true African nationalism..

But guess what whats happening now.

Hawa jamaa ambao wazee wao walikua wanawakumbatia wale mabwana zao leo wanataka kujiaminisha kuwa nchi hii first class citizen ni wao tuh waimba kwaya kitu ambacho sicho.

Nchi hii haiwez kuwa hati miliki ya kanisa..

Waende wakasome history vizuri
 
Huyo nguchiro Kama kweli anaweza mfanya kazi wa Nssf basi ni kipimo tosha cha namna gan majority ya hawa jamaa walivyo vihiyo.

Kama anafanya kaz huko na anashindwa kujua status ya shirika lake kuanzia lilipotoka na wapi lilipo na strategies zinazohusu mission a visions za hilo shirika basi kwa kweli ni kihiyo aliekwisha kazi.
 
Wana weweseka !! Cha kushangaza wamempata JPM na bado hawajiamini.
 
Kwa kifupi NSSF imekuwa ikitoa contract mara mbili mbili kwa mradi mmoja na ku-inflate actual figures.Ile kamati ya PAC ili-overlook hili shirika,sijui kwanini
 
Tatizo muinjilist wewe huna akili.

Swali ninalo kuuliza mimi ni simple tuh.

Sisi sawa hatujasoma na huko serikalin weengi karibia asilimia 97 ni nyinyi.

Sasa kwa miaka yoote hiyo mmelifanyia nin taifa hili mbona mmezid kulitia umaskin tuh kwa wizi na ufisadi?
 
Kwa kifupi NSSF imekuwa ikitoa contract mara mbili mbili kwa mradi mmoja na ku-inflate actual figures.Ile kamati ya PAC ili-overlook hili shirika,sijui kwanini

Lete ushahid.

Yani kisa wewe umeongea tuh then tuamin unachokisema?

Af why always Nssf tuh?

Pension funds ziko nyingi tuh why Nssf

Mti wenye matunda daima ndiyo hupigwa mawe
 
Ungeweka balance sheet ya Mkulo na ya Dau halafu tukalinganisha vinginevyo uinaonekana nimjinga fulani hivi !
 
Acha kuleta stori za abunuasi hapa.
Dini ya utamaduni umeianzisha wewe?
Unafahamu maana ya Dini kwanza?

Zipo zile za mababu wa zamani za kuzunguka Moto uchi. Au na wewe ni mmoja wao.


Ha! Ha! Ha!

I know myself.....

I am away from egocentric. .....

Basi sawa ilikuwa ni fikra tu si lazima ufuate endelea hapo ulipo it is very okay son
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
kaombe ubalozi wa nyumba kumi ale karibu na makao makuu ya chadomo, maana huna kitu huko !
 
Lete ushahid.

Yani kisa wewe umeongea tuh then tuamin unachokisema?

Af why always Nssf tuh?

Pension funds ziko nyingi tuh why Nssf

Mti wenye matunda daima ndiyo hupigwa mawe
Tunapiga kelele kwasababu hiki shirika limetafuna billions of shillings kwa miradi ambayo Hata hawakufanya due diligence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…