We center nenda chadema blog utayaona...chura Wa kijani weKwani Makene hawezi kuandika mpaka umwakilishe ww?
Huo ni umbea, mtu unakuja kuhu nakusema fulani anasema ........, we nani mpaka akutume kuleta habari?
Kupoteza viti haina sababu yoyote ikiwa ushindi bado ni wa CCM. hata ligi kuu timu inatyochukua taji kupoteza baadhi ya mechi lakini wakichukua kikombe huwezi kusema wamechukua kikombe lakini sisi tuliwafunga!.. Haya ndio yale yale ya Kizenji - Kufungwa twafungwa lakini chenga twawala!...ila hivyo viti vya upinzani vilichukuliwa kutoka ccm. so upinzani walipiga hatua kubwa serikali za mitaa na ccm walipoteza. huo ndio ukweli
Wananchi gani waloipokea habari hii kama sio nyie watu wa mitandao, JF na Chadema?.. Mlisema haya haya mlipounda UKAWA mkapigwa bao la wazi kabisa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM wakapata zaidi ya asilimia 80, bado mkadai namba zenu bora zaidi ya mwaka 2009. Kuna siri ama kitu kilichopokelewa kama UKAWA wakati wa Serikali za Mitaa mbona hamkushinda?