Who created the universe?
Who told you spirit is something, you just assumed, don't you? When darwin say you came from monkey, is it proven or hearsay? Who was there for those millions of years recording data of evolution?Without the use of a told story books, CAN YOU VERIFY THE EXISTENCE OF SOMETHING LIKE SPIRIT? is it practically proven, or another certain hearsay story told by someone cleverer than you, in order to brainwash you,
ukinijibu hapo nitakupa swali la msingi kuhusu hizo spirit
Only a dumb person will say and or fail to distinguish between eyewitness and hearsayHapo hata wewe umethibitisha kwamba Luke aliandika Hearsy na si kitu alicho-eye witness, sijui umejichanganya au ndio umeanza kuukubali uhalisia.
universe is not a something you can create from nothing, i think even heaven is a part of universe, So who t be credited for the creation of universe? The one outside of universe must had created it, Who? The one created it must be using it!!
COMPLICATED?
THE UNIVERSE WA PRESENT BEFORE GOD STARTED CREATION,
Umewahi sikia andiko likisema mungu akaumba giza?
kwa nini lipo? LIMETOKA WAPI GIZA? someone created it, WHO?
Only a dumb person will say and or fail to distinguish between eyewitness and hearsay
OF COURSE YES, HE WAS THERE, what book are you reading young man? In fact Dr. Luke was one of the 70 sent by Jesushebu Ishmael acha UPOTOFU unataka kusema Luke alimaanisha kwamba aliyaona alotenda yesu, halafu akasubiri asimuliwe ndipo aandike, hebu itazame tarehe ya kuzaliwa Luke, kisha fananisha na kipindi alichoondoka Yesu (mwana wa mungu?) duniani? kuna tofauti ya zaidi ya miaka 120, au yuda naye aliishi miaka 967 kama methusela?
Matthew a brother of Jame as well was there. In fact he was a tax collector.ikumbukwe life expectance ya wayahudi wa enzi ya utawala wa roma ilikuwa si zaidi ya miaka 56 kwa wanaume na miaka 64 kwa wanawake,
When was Jesus born and please give me the date.Je unajua wote wenye birthday sawa na yesu (somewhere in august) waliuawa kwa amri ya Herode? na hapo kuna utata pia, Mauaji makubwa kama haya ya watoto wachanga, hayako katika historia au maandishi yoyote ya kirumi, zaidi ya hearsay za someone creative who created the bible and all the negative outcomes like these miserable life black people experience in this era called civilized!
Christianity is not a religion. You are once again wrong. I am not into religion neither will I be, in contrast, I preach Jesus Christ.Sijui nikueleze kwa lugha ipi upate kukikubali unachokiogopa, au nawe una faida na hii biashara ya dini?
Who was Dr. Luke addressing in the Gospel according to Luke? It seems you have no idea who was Dr. Luke addressing.Luke 1:1-2
"Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu kama walivyotuhadithia wale waliookuwa mashahidiwenye kuyaona na watumishi wa lile neno tokea mwanzo" (genuine copy n paste)
It is you who have refused to comprehend Matthew, Mark, John and Luke.Hivi Ishmael ni uvivu wa kufikiri au ni opium ya Yesu? Huoni kilichoandikwa hapo,
Nope it doesn't say what you are trying to construe.RED = watu wengi wamefanya editing, (printing?), drag n drop, pindisha zawazisha, yote hubebwa na neno tia mikono
Who was Dr. Luke talking and or addressing? Without knowing the audience, you will never know why he said that.Blue = maana ya neno tunga ni buni. au tengeneza kitu kipya ambacho hakikuwepo kabla
Still you are not answering my question. Where is the evidence of the earth evolving from nothing? Umehadithiwa tu au kusoma hadith kwenye vitabu vya darwin.Purple = Ndipo ambapo hutaki kupaona, HADITHIWA ina maana gani kwako?
Hayo madai ya marehemu darwin kuwa weye umeotkea Mjusi ingawa hakuna aliye kuwepo na kutpa ushahid wa data alizo kuwa anarekod kwa hiyo miaka bilioni nk. Ni hadith tu za kusadikika kuwa wewe ulikuwa Mjusi.kama ni kweli wewe unasema unatimiza matakwa ya biblia yenu, hakika unatakiwa kujiuliza tena, ni safari ya mamba kwako ilhal wewe bado ni mjusi!
Bisha kwa ushahidi, mimi nina kitabu cha Matthew aliye kuwepo wakati wa Yesu. Luke aliye kuwepo wakati wa Yesu. Mark aliye kuwepo wakati wa Yesu. Wewe huna kitu wala ushahidi wa kusaidia madai kuwa ulikuwa Mjusi.UNAWEZAJE KUDANGANYA KWA WAZI HIVI?
You can google that. By the way, the gosple is not only written by Luke, mbona unawakimbia Matthew, Mark na John. Tel me is there contradiction between them. Ukisha maliza, niletee ushahid wa data za evolution nani alicollect kwa miaka hiyo ya mamilioni.Kama hata hujui ni karne ipi Luke lizaliwa na kuandika hayo, kipi wakijua kuhusu biblia na yesu?
Luke anamwandikia Mtukufu Theofilo, je katika timeline ya warumi Theofilo ni lini alikuwa mtukufu?
Bogus argumentenzi ya yesu, au miongo mingi baada ya yesu?
We have more than Luke, your argument is slippery slope. Ask Matthew, ask Mark and don't forget John, why are you scared of them?Luke anasema amehadithiwa, wewe unasema alikuwepo, NANI MUONGO? WEWE AU YEYE?
Kwa hiyo unataka kushindana naye?
Watu wa zamani walipata kumjua Mungu kupitia mafunuo mbalimbali ambayo kwa pamoja yalikusanywa na kuunda hiki tunachokiita dini
Shida iliyojitokeza ni kwamba wapo watu ambao walipewa maufunuo ambayo hayakutokana na Mungu na ndio hao hao waliokuja kusababisha mgawanyiko huu mkubwa wa kidini tulionao.
Wengine waliokwisha pokea mafunuo ya kweli ya Mungu waliyakaidi na kuyageuzageuza na hatimaye yakaja kuonekana kwamba hayakutokana na Mungu.
I don't use Wiki for my research. Find this book Epiphanius, Haer., 51, 11short history of Luke (saint?)
His earliest notice is in Paul's Epistle to Philemon-Philemon 1:24. He is also mentioned in Colossians 4:14 and 2Timothy 4:11, two works commonly ascribed to Paul. The next earliest account of Luke is in the Anti-Marcionite Prologue to the Gospel of Luke, a document once thought to date to the 2nd century, but which has more recently been dated to the later 4th century. Helmut Koester, however, claims that the following part-the only part preserved in the original Greek
source Luke the Evangelist - Wikipedia, the free encyclopedia
cc Ishmael
Aisee pole sana, tatizo unamtafuta Mungu katika njia isiyo sawa.Nishindane na kitu ambacho hakipo?
Aisee pole sana, tatizo unamtafuta Mungu katika njia isiyo sawa.
Nakusoma vyema mkuu.
Check underline hapo!!!
Ikiwa uislamu huujui umejuaje ukiristo ni dini bora?
Kwa uelewa wangu ili mtu ajue kitu fulani ni sahihi ni lazima awe na sababu kwanini vitu vyengine si sahihi. Sijui umenielewa hapo?
Ikiwa umesoma tu imani moja ni nini kinakufanya useme/uamini imani uliyoisoma (infact uliosomeshwa) ni sahihi kuliko hizo imani nyengine?