Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

mkuu umefunguka ya moyoni kabisa inawezekana ndivyo ulivyofunzwa au ndio ukristo unavyofundisha juu ya waislam Tz na dunia kwa ujumla. povu lako kali lenye harufu halijaonesha kama una walau chembe ya kumjuwa Mungu. inaonesha ni mtu unaepanik kwa kwa ishu ndogo sana kama kuna mtu kasema Ukristo sio dini we muwekee andiko tu ambalo linaonesha kuwa hiyo ni dini ya mungu aamini au asiamni kazi kwake ila maneno ulioyotoa bila kumpa andiko haitomsaidia.
ugaidi unaltwa na Americans kimkakati tu ili kutimiza new world order. pia hata Mauaji ya kimbali Rwanda yalichochewa na Kanisa plus media huko CAR nako anti baraka sio waislam wale. jitafakari mkuu acha chuki za kupitiliza Watz ni ndugu
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
Sasa wewe unaamini au unajilazimisha kuamini kwa kuhofia adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri mungu anataka kupendwa na kuheshimiwa na siyo kuogopwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio janga, watu 1.4bn useme janga... kweli wana macho lakini hawataona,masikio hawatasikia, utakufa wewe na uislam unakua kila mwaka, na ndio dini inayokua sana duniani kwa sasa
Halafu hapo hapo unaamini vitabu vyake vinavyokuambia watakaoenda kwa mungu ni wachache na wale watakaoenda njia mbaya ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.

Hapo mwisho amemalizia vizuri
The kingdom of god is within n not without

Haya madini yana wainslave ndugu zetu na wamewanya mazombii..
 
Hahaha
Wameumba mungu kwenye akili zao, alafu wanasema mungu ndio kawaumba.

Ukiwauliza kuwa wana wazazi wao waliowazaa wanakujibu ndio huku wanasema wameumbwa na mungu. Dah! Hii sio BANGI ni nini?
 
Jamaa Walikuwa wanajua kabisa Dini zao ni za uongo
So wakajiwekea defense mechanism mapema ili andapo watatokea watu wakuzipinga Dini zao za uongo ---ionekane kwamba huyo Mungu wa bandia Alisha toa tahadhari mapema
ilinenwa zanma hizi watatokea watu wenye mqwazo km haya na huu ni ushahidi kuw nnaloliamini ni la kweli maana lilitabili hatq uwepo wa watu km ww mleta mada
 
Umesema vyema kabisa
 
Umesema vyema kabisa mkuu
 
Haha
 
Exactly kabisa
 
Hahaha
 
I believe that, there’s a power who puts us here in this planet [emoji289] and we are calling him GOD.
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa

Unachanganya kati ya Mungu na Imani.

Uislam sio Mungu wala ukiristu sio Mungu. Learn the difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…