Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)


Nahisi kama ulikuwa unaabudu yule mungu aliyetaka tuwe watumwa tuuu...
 

freemanson
 
Last edited by a moderator:
uislamu umeleta amani,upendo,ustaarabu,haki,maelewano ktk jamii,usawa,umekemea rushwa,ufisadi,uzinifu,mauaji,umekataza maovu yote na kuamrisha kutenda mema.

Siungi mkono mtoa mada, ila huo uislamu unaouongelea ww sijui wa nchi gani, kwakuwa nchi za kiislamu ndo kwanza hazina hizo sifa unazosema uislamu umeleta yani...! amani,upendo,usawa,maelewano labda hiyo nchi mpya
 
Mkuu sasa kama mwili umeshakufa maumivu yanaongezekea wapi? Hebu naomba ufafanuzi kidogo hapo.

Cc. aretasludovick
Hizi ni imani. Imani SIO sayansi kwamba ukiwa na theory unaweza kuprove. Iman ukiaambiwa mwanamke alibeba mimba bila kukutana na mtu mume (kisayansi na kibaiolojia haiwezekani) hutakiwi kuhoji unatakiwa KUAMINI
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni imani. Imani SIO sayansi kwamba ukiwa na theory unaweza kuprove. Iman ukiaambiwa mwanamke alibeba mimba bila kukutana na mtu mume (kisayansi na kibaiolojia haiwezekani) hutakiwi kuhoji unatakiwa KUAMINI


Mi sitaki kuamini nataka kuelewa.
 
Mi sitaki kuamini nataka kuelewa.
Sasa hiyo sio imani tena ni sayansi.. Mi mkristo kwa mfano.. Ukiambiwa yesu alifufuka natakiwa nielewe sayansi ya kufufuka ikoje? Ama alitembea juu ya maji hapo sayansi yake ni kuwa alivaa maboya ya kuogelea? Ama kina daniel walitupwa kwenye pango la simba na hawakuguswa hao Simba walipigwa sindano ya ganzi kwanza? ama kwa dini za kimila mababu kutambika na mvua zikanyesha.. Umeona ukitaka kuelewa haitakuwa imani tena itakuwa ni theories unazitolea maelezo…
 
"Alie post hii kitu akili anazo lakini hazifanyi kazi Yake,
Naweza kukwambia kwamba ushahidi pekee kwa Watu kama ww ni
1. Ukiwa na shida nzito ni lazima utamrudia m/mungu yan utake usitake lazima utaomba msaada kutoka kwake.
Hivyo basi mm binafsi nnakuombea upate mtihan walau mmoja tu mzito, ili upate kumtukuza , na kumnyenyeka alie kuumba, puuz ww
 
Mi siamini hivyo nahitaji kuelewa tu
 
haya mambo ya dini huwa siyaamini ila Imani yangu inaamini kuwa kuna mwuumbaji , ..
 
Wengine wanasema subiri mpaka uingie kaburini ndo utajua kama Mungu yupo au la. Vpi kuhusu wahindu wanao choma moto wafu wao? Wa Tibet wanaolisha ndege pori wafu wao au baadhi ya jamii za America kusini wanao tupa kwenye mito wafu wao. Kama Mungu yupo inabidi tumjue tukiwa hai sio mpaka tufe.
 
Nimejaribu kufuatilia hoja za mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine. hoja hii ya mtoa Mada inawapoteza watu wengi wenye uvivu wa kufikir inashangaza sana MTU anajenga hoja het kama mungu yupo yy katokea wapi au kaumbwa na nan. hapa wanakusudia kama hatuna majibu ya maswali haya maana YAKE mungu hayupo. hoja kama hiz ni dhaifu sana. hivi ikiwa tutawauliza chanzo cha mwanaadamu ni nn. ikiwa hatuna jibu ndio tuseme mwanaadam hayupo. hivyo kutumia hoja ya kwa vile mungu hajulikan hasili YAKE ndio kusema mungu hayupo. basi watu mwenye hoja kama hii wasiishie hapo tu wanatakiwa pia wakatae uwepo wa dunia kwan ni nan aneajua hilo tufe lililo pasuka ikatokea dunia lilitokea wap je kama hatujui tukatae pia uwepo wa dunia. ktk maswal haya kuna kitu cha kujifunza (1)lazima tukir upeo wa ufahamu wetu ni mdogo hivyo so kila swal tunalojiuliza lazima tupate jibu ndio tusadikishe usahh wake.(2)kila binaadam mwenye akil lazima akir ameumbwa na mungu kwan tokea ilipotamkwa kauli hii kwamba yy mwenye mungu ndie aliye tuumba maelfu ya miaka imekatika hakuna yeyote aliekuja na nazaria nyingine. wanaopinga mpaka SASA hawajakuja na jibu mbadala.ninazo hoja nying za kuthibitisha uwepo wa mungu nitakuja na Mada ya kuthibitisha uwepo wa mungu
 
Last edited:
Kwan maana ya elimu nn Mkuu?
 
freemanson
Napataga shida sana Mkuu ktk hili unakuta MTU ametokaje ya ndoa yake kisha anaenda kwa baba mchungaji anamwambia baba mchungaji nmetenda dhambi naomba toba. Baba mchungaji anamwabia umesamehewa dhambi zako. Hv km tunamuam mungu yupo na ndiye Mkuu Wa ulimwengu na anayepaswa kuabudiwa na kuombwa msamaha kwa makosa yote sasa baba mchungaji anasamehee watu zambi zao kama nan?
 
Napataga shida sana ktk hili unakuta MTU ametokaje ya ndoa yake kisha anaenda kwa baba mchungaji anamwambia baba mchungaji nmetenda dhambi naomba toba. Baba mchungaji anamwabia umesamehewa dhambi zako. Hv km tunamuam mungu yupo na ndiye Mkuu Wa ulimwengu na anayepaswa kuabudiwa na kuombwa msamaha kwa makosa yote sasa baba mchungaji anasamehee watu zambi zao kama nan?
 

Kwani Dhambi ni nini Mkuu?Au unaweza kunifafanulia na Mimi nifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…