sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.