Ukweli kuhusu baadhi ya mabinti wa kilokole

Ukweli kuhusu baadhi ya mabinti wa kilokole

Mzee ni kweli wanao bisha waache ....ila mimi nimeiona binti mlokole kutoa mimba kwa sababu jamaa mwingine kamuahidi ndoa na alivyo sikia ndoa cha kwanza binti kumpeleka jamaa kwa mchungaji wao [emoji1][emoji1][emoji1] , binti kauza hadi simu ake ili kumpa jamaa hela ya kwenda kumnunulia pete .... pia ni walevi hatari ila ukiwaona wanaenda ibadani utakataa


Naona kuna mtu hapo juu kajaribu kuwatetea kwa points uchwara japo kuna mbuzi baadhi zimempa credit lakini ukweli ni kwamba huyuu jamaa hajui kutofautisha makusanyiko na lengo.


Ukijua nini dhumuni la kuwa na mikusanyiko ya kimadhehebu na nini mikusanyiko ya michezo na vingine utagundua kuwa mtu ambaye anajiita kaokoka anatakiwa awaje na ambaye hajaokoka awaje.


Mimi naonaga mkono hoja kuwa asilimia kubwa ya vijana wanao sema wameokoka ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine kwa sababu nimeona na ninaishi nao
 
Asilimia kubwa ya ulichokiandika ni ukweli. Juzi nimetoka kupiga chini binti wa kilokolekwa sababu hizi hizi
 
Back
Top Bottom