gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,026
Nakazia atupe uo ukakasi tu ukakasue APA ...UKAKASI NDO TUNAUTAKA TUJIFUNZE MKUU
Nakazia atupe uo ukakasi tu ukakasue APA ...UKAKASI NDO TUNAUTAKA TUJIFUNZE MKUU
Nahic hukumuelewa,wao kwa wao (mabinti) wanatunziana siri,ila yeye amapewa siri za mama mchungaji anachowaambia hao mabint kipind cha kukaa naoMkuu kwenya namba 3 unasema "Wana umoja wa kutunziana siri"
Kisha kwenye namba 11 unasema " Binti mmoja aliniibia siri"
Hapo kama sijaelewa!
Pia kama wewe umeibiwa siri basi si ajabu kuna wenzako kama wewe nao pia waliibiwa siri na kuambiwa,so hapo hakuna cha umoja wa kutunziana siri kabisa!
Hapa yeye amestuka kwa sababu kundi hili linaaminika kuwa ni la wacha mungu tofauti na makahabaSipingani na mleta uzi ila ni jamii gani au kundi gani lisilokua na wanawake wenye tabia tajwa hapo juu?
AiseeeeeeUkiona binti anapenda sana kushinda kanisani basi ujue kuna ajenda kubwa sana ya siri inaendelea "usije ukaingia kwenye mtego ukaoa binti wa kilokole"
Huko ni kukufuru MunguWanasema yesu anaumba upya hata kama bikra ilitolewa bwana anaumba basi bikra inarudi uupyaaaaaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nashangaa mleta mada kuongozwa na hisia kwani mtu kuwa mlokole ndo unakuwa huna hisia au hafanyi mambo mengine ya kibinadamu!Sipingani na mleta uzi ila ni jamii gani au kundi gani lisilokua na wanawake wenye tabia tajwa hapo juu?
Nakuunga mkono mkuu, labda ataona mikono ya wengi.UKAKASI NDO TUNAUTAKA TUJIFUNZE MKUU
Blasphemy.Wanasema yesu anaumba upya hata kama bikra ilitolewa bwana anaumba basi bikra inarudi uupyaaaaaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nafikiri ingebidi iandikwe kuwa, pengine hao wasichana wametambua hawako perfect ndio maana wameenda makanisani lengo likiwa ni kubadilika.Hapa yeye amestuka kwa sababu kundi hili linaaminika kuwa ni la wacha mungu tofauti na makahaba
Watu wanasahau kuwa wale ni binadamu pia.Nashangaa mleta mada kuongozwa na hisia kwani mtu kuwa mlokole ndo unakuwa huna hisia au hafanyi mambo mengine ya kibinadamu!
I agree with you sasa utamlinganisha anayehudhuria ibada na mtu wa club, though no one is perfect, mengine mapungufu ya kibinadamu, tena mtu kumrudia muumba anahtaji pongeziNafikiri ingebidi iandikwe kuwa, pengine hao wasichana wametambua hawako perfect ndio maana wameenda makanisani lengo likiwa ni kubadilika.
Ndo wengi twapenda Ku judge na lengo la ibada ni kutubu dhambi zetu, sasa kwenda ibadani hakukuondolei udhaifu wa kibinadamu, mi hats mchungaji akifanya jambo simhukumu, maana yeye sio malaika, roho huokoka ila miili I dhaifu, ndo mana Yesu aliomba kikombe kimuepuke, maana roho ilikuwa radhi ila mwili dhaifu.Watu wanasahau kuwa wale ni binadamu pia.
Pengine mapungufu yao ndio yamewafanya wakamgeukia Mungu, wakiamini kuna siku watabadilika ...
Itakuwa uyo 11 ni spy au (jasusi) wakeMkuu kwenya namba 3 unasema "Wana umoja wa kutunziana siri"
Kisha kwenye namba 11 unasema " Binti mmoja aliniibia siri"
Hapo kama sijaelewa!
Pia kama wewe umeibiwa siri basi si ajabu kuna wenzako kama wewe nao pia waliibiwa siri na kuambiwa,so hapo hakuna cha umoja wa kutunziana siri kabisa!