mayraclara
Member
- Oct 6, 2018
- 20
- 6
Umejua kunichekesha
I agree with you sasa utamlinganisha anayehudhuria ibada na mtu wa club, though no one is perfect, mengine mapungufu ya kibinadamu, tena mtu kumrudia muumba anahtaji pongezi
Tupo pamoja, tumefanana mtazamo.Ndo wengi twapenda Ku judge na lengo la ibada ni kutubu dhambi zetu, sasa kwenda ibadani hakukuondolei udhaifu wa kibinadamu, mi hats mchungaji akifanya jambo simhukumu, maana yeye sio malaika, roho huokoka ila miili I dhaifu, ndo mana Yesu aliomba kikombe kimuepuke, maana roho ilikuwa radhi ila mwili dhaifu.
Sure I agree with you.Tupo pamoja, tumefanana mtazamo.
Umenena ila kama nakufahamu mbagaili waonekane wana heshima unakuta binti kajivika manguo kuanzia usoni mpaka miguuni utazani anaenda kujilipua
Ok cool, keep on the good opinion of your fellow women.Sure I agree with you.
Utafiti wako ni kweli mkuu lakini ukweli huu sio kwa mabinti wa kilokole tu karibia kila dhehebu linaguswa.Awali ya yote naomba kuweka katika kumbukumbu za jukwaa hili kuwa, mosi, uchambuzi huu haujalenga kubeza, kukejeli ama kudhalilisha imani za watu. Pili uchambuzi huu hauwahusu mabinti wote wa kilokole bali na baadhi ya wengi wao na si wote wapo hivi.
Pia nikiri kuwa, madhehebu ya dini zote yakiwemo ya walokole yana misingi na mafundisho mazuri. Hoja nitakazotoa zimetokana na mimi kuwa na mahusiano na binti wa dhehebu mojawapo kati ya haya madhehebu ya wanaojiita walokole. Na kupitia kuwa na huyu binti nilipata interaction ya kufahamiana nao wengi kwani ilibidi niingie kwenye makundi yao ya WhatsApp, nihudhurie events zao, nipate mialiko ya binafsi kuwa nawatembelea mmoja mmoja na pia nilipata wasaa wa kujenga nao urafiki wa karibu ambapo kuna vitu ambavyo wanavipenda na wanavifanya kwa siri watu wa nje hamtavijua kwa kuogopa kuchafua makanisa yao ila wao kwa wao wanafnya na wanajuana.
Findings;
1. Asilimia kubwa ya mabinti walioingia kwa utashi wao huku familia zao zipo madhehebu mengine ni wahanga wa matatizo kama KUTOKUOLEWA, UGUMU WA MAISHA na U-SINGLE MOTHER.
2. Kwaya na mikesha ni kichaka cha maovu kwani mle kwenye kwaya kuna couple kila mtu na wake ila kama wewe mpenzi wako yupo huko na wewe husali huko hutajua.
3. Wana umoja katika kutunziana siri sana.
4. Wengi wao wanawinda kuolewa kwani katika jamii imezoeleka kuwa mabinti wacha Mungu wanafaa kwa kuoa. Wengi hujivisha ulokole ili wapate kuolewa. Ndio maana kule kuna ndoa nyingi sana; haupiti mwezi bila ndoa.
5. Wana uasili wa ubishi na kulazimisha anachotaka yeye ndo kiwe. Ukimpinga mtaishia kugombana au kuachana.
6. Kauli ya mchungaji ni sheria. Hata akipigiwa simu usiku na mchungaji ataenda na ukimzuia mmeachana.
7. Kutokana na mfumo wao wa kuabudu sauti zao ni kavu na wanaongea kama cherehani. Mkiwa mnajadili kitu anaongea kama anakukemea.
8. Wengi wao hawadumu katika mahusiano hasa pale anapokuwa na mtu ambaye sio mlokole.
9. Si wasikivu na wenye heshima. Na mara zote hujiona wako sahihi katika kila wanachokiwaza.
10. Waalimu wa kwaya hutafuna sana wanakwaya kipindi wakiwa wageni.
11. Wana mafundisho yao ambayo wanakaa na mama mchungaji. Huko kuna sumu nilizisikia kutoka kwa binti mmoja alipoamua kuniibia hizo siri. Kwakweli yana ukakasi kuyataja hapa.
Mwisho kabisa napenda tu kuweka sawa hili suala. Dini zote zina misingi na mafundisho mazuri. Inapotokea waamini wake wanaitumia misingi hiyo vibaya wanatengeneza vitabia ambavyo lazima jamii itavi-associate na dini/dhehebu husika.
Nitakuwa tu always na good opinion no matter what? Huyu mleta Uzi kapigwa kibuti na mlokole kwani mlokole ndo mwili aushikwi na ashki nyingine jamani.Ok cool, keep on the good opinion of your fellow women.
Kwa mujibu ya mleta uzi, hawa wadada 'walokole' huwa wanatoka na wakaka 'walokole', nnasubiria uzi mwingine wa kusema tabia za wakaka 'walokole', hahahahah
Great observation indeed. Umedadavua vzuri sana be blessedUtafiti wako ni kweli mkuu lakini ukweli huu sio kwa mabinti wa kilokole tu karibia kila dhehebu linaguswa.
1. Kila mkusanyiko wa vijana wa kike na kiume asilimia kubwa uasherati na mahusiano ya kingono huwa hayakosi.
2. Asilimia kubwa ya mabinti wa kitanzania wanatokea kwenye familia masikini na wengi wanakabiliwa na changamoto ya kutokuolewa... (kuna idadi kubwa za mimba za kwanza kuliko ndoa)
3. Kila kwenye mikusanyiko ya dini wakiwepo vijana wa kike na wakiume huwa pia kuna vita ya kiroho dhidi ya uovu na wema. Wanaofanya maovu hawakosi tu na ndio maana unasikia mpaka viongozi wa madhehebu wanalawiti watoto.
Hivyo basi mikesha makanisai huwa ni vita hiyo.
4. Kila mtu huwa ni mbishi kwenye imani yake hata kama atapewa kila vidhibitisho juu ya anachokiamini. Mabinti wa kirokole wana misimamo juu ya yale wanayofundishwa.(Haijarishi kwa imani zingine ni mabaya)
5. Wachungaji wa kilokole wana maamuzi ambayo kikatiba wanaweza kuamua na yakawa ya mwisho kulingana na uongozi wao. Ila suala la kuita mke wa mtu usiku ni uhuni tu kwa baadhi ya wachungaji hawa na si wote. Halafu kumbuka kuna baadhi ya madhehebu viongozi ndio watoa maamuzi ya mwisho hata kama biblia itapingana nao.
6.Ni vizuri kila mtu akaoa mtu wa imani yake na dhehebu lake muendane lasivyo mtazidi kulaumu kila siku.
7. Asilimia kubwa kila mtu anapenda kuoa mcha Mungu. Kila mtu anaamua kwenda kanisani kwa sababu yaje binafsi...JE NI KIPI BORA UENDE KANISANI ILI UPATE MKE AU UENDE BAA UPATE MME.
MWISHO: Si wote waniitao BWANA BWANA watarithi UZIMA wa milele.
NAWAPENDA SANA MABINTI WA KILOKOLE.
Asante.Great observation indeed. Umedadavua vzuri sana be blessed
hata me nakujua unaitwa MSILOMBOUmenena ila kama nakufahamu mbaga
Mkuu bila shaka wewe ni mpenzi wa tamthiliya ya sultan?Wanasema yesu anaumba upya hata kama bikra ilitolewa bwana anaumba basi bikra inarudi uupyaaaaaaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu eti ni usiku sana?Mkuu bila shaka wewe ni mpenzi wa tamthiliya ya sultan?
hahahahahaNitakuwa tu always na good opinion no matter what? Huyu mleta Uzi kapigwa kibuti na mlokole kwani mlokole ndo mwili aushikwi na ashki nyingine jamani.
Ahahaha aaaaaah aiseee Sfy sanahata me nakujua unaitwa MSILOMBO
Kwasababu ya comment, ama jina langu?Mkuu bila shaka wewe ni mpenzi wa tamthiliya ya sultan?
Utafiti wako ni kweli mkuu lakini ukweli huu sio kwa mabinti wa kilokole tu karibia kila dhehebu linaguswa.