Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
- Thread starter
-
- #281
Kuna shutuma yoyote hapoVipi pumzi imeisha...!?[emoji3]
Nataka ukatae shutuma zangu kwa hoja nije na level 2 [emoji39]
Kumbe najadili na ma ATHEISTUkweli gani mpya..!? mpaka iniume...!
Sijaona hoja mpaka niipinge
Zaidi ya masimulizi ya mang'amung'amu ya Njozi aliyoota mtu kweusi uko
Wewe unaangaika nayo 2018 unaona ni unabii [emoji14]
Nishakujibu kuwa ni maluweluwe yanayotokana na njaa ndani ya gerezaKuna shutuma yoyote hapo
Sinimewauliza maswali humu kupinga kuwa upapa sio MNYAMA mekimbia mnaleta matusi
Na ingekuwa uyo Mungu anaeleweka kwa kitabu kama hichoKumbe najadili na ma ATHEIST
Kama hauamini hata uwepo Wa MUNGU , HUAMINI BIBLIA , utajadili nini na mimi?
Wewe subir siku unapokata pumzi , NDIO UTAELEWA
Kazi ipo🙂🙂🙂 Kama Sauli/Paulo alokolewa naamini hata wewe utaokolewa kwa Neeama ya MunguNishakujibu kuwa ni maluweluwe yanayotokana na njaa ndani ya gereza
Huoni hata kufananisha wanyama alikuwa anashindwa..!
Mara nyoka mwenye pembe saba_ mara kiumbe mfano wa chui naye ana pembe_mara mwanakondoo mwenye pembe mbili_mara kondoo huyo huyo kapata kibali cha kufungua miuri... Ovyooo
Kuielewa Njozi hiyo lazima ujitoe akili
Najua kuyakata maji mwenye_ sina haja ya msaadaKazi ipo🙂🙂🙂 Kama Sauli/Paulo alokolewa naamini hata wewe utaokolewa kwa Neeama ya Mungu
Unahitaji maombi , wewe unatatizo kubwa sana ,ila hujijui kama inatatizoNa ingekuwa uyo Mungu anaeleweka kwa kitabu kama hicho
Sidhani kama kungekuwa na mkristo
Mkuu Mimi Nakuonea Huruma Sana kwa kuwa umeuvika Ubongo wako Wingi la mafundsho ya Ellen Basi Ngoj nikuache maana Yohana Anasema Mwanamke Kahaba ni Mji ww unasema Ni Kanisa inabid watu wanaoptia uzi huu wang'amue tu wenyewe wAfuate unayosema ww au YohanaMFAHAMU KAHABA MKUU WA UFUNUO 17
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17
anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].
Asema hivi yule Nabii: “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.”
Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18. Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao], mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,”
kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo. Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.View attachment 928353
Kweli wewe biblia huijuiMkuu Mimi Nakuonea Huruma Sana kwa kuwa umeuvika Ubongo wako Wingi la mafundsho ya Ellen Basi Ngoj nikuache maana Yohana Anasema Mwanamke Kahaba ni Mji ww unasema Ni Kanisa inabid watu wanaoptia uzi huu wang'amue tu wenyewe wAfuate unayosema ww au Yohana
UNGEANZA KUJIONEA HURUMA WEWE AMBAYE UMEPOTEA , MAANA INAONESHA BIBLIA HUSOMI ILA UNASOMEWAMkuu Mimi Nakuonea Huruma Sana kwa kuwa umeuvika Ubongo wako Wingi la mafundsho ya Ellen Basi Ngoj nikuache maana Yohana Anasema Mwanamke Kahaba ni Mji ww unasema Ni Kanisa inabid watu wanaoptia uzi huu wang'amue tu wenyewe wAfuate unayosema ww au Yohana
Biblia nzimaWasabato hujenga msingi wao kwenye kitabu cha ufunuo
Haha,Mimi sina hata kaubavu ka kushindana,ila huyu mnyama anaeongelewa anataka kushindana na Mungu,kama vile ana,test vile,,,ila ATAJUA -HAJUI, !!!!!Hata wewe unaweza kuwa ndiye mnyama anayeongelewa.
Wewe pia waweza shindana na Mungu kama hulifuati Neno lake inavyopasika.Haha,Mimi sina hata kaubavu ka kushindana,ila huyu mnyama anaeongelewa anataka kushindana na Mungu,kama vile ana,test vile,,,ila ATAJUA -HAJUI, !!!!!
Hivi mtu akikuonya na kukuambia kuwa unakosea kuasi amr za Mungu, unakosea kuabudu masanamu, anakuwa amekuhukumu?Wewe pia waweza shindana na Mungu kama hulifuati Neno lake inavyopasika.
Wengi mnatoa macho kuonesha vibanzi kwenye macho ya wengine huku mkiacha maboliti kwenye macho yenu.
Neno la Mungu linasema wazi kabisa kuwa, kila mtu amefanya dhambi mbele za Mungu na anahitaji msamaha wake ili aweze kuurithi ufalme wa Mbingu.
Linasisitiza pia kuwa Mtakatifu ni Mungu peke yake.
Sisi tuna washaanga baadhi yenu mnaojiona ni wadilifu sana na Watakatifu na kujipa haki ya kuhukumu wengine hali ya kuwa Neno linawaonya mara nyingi kuto jivika vazi la ujaji mbele za Mungu.
Mmeyasahau kabisa maboriti katika macho yenu na kuanza kurukia vibanzi kwenye mboni za wenzenu.
Huyo Anaye abudu sanamu ni nani ?Hivi mtu akikuonya na kukuambia kuwa unakosea kuasi amr za Mungu, unakosea kuabudu masanamu, anakuwa amekuhukumu?
Au hujui maana ya kuhukumu
Angalia reference zako. Source ni Msabato, should I say more? Why don't you seek an alternative source so that you make comparisons? Umeshikiwa akili kwani?
Unamaanisha mtu wa darasa la saba hatakiwi kujua Imani yake na kuilezea kwa wasioijua?Unatarajia elimu yako ambayo effectively ni sawa na ya darasa la saba la shule za siku hizi uelewe concept inayostahili angalau uwe na effective education of at least a proper diploma?
Your intellectual capacity is simply too low to comprehend what am presenting here. Kawatafute wachungaji wako wakutafsirie (na utafute mchungaji at least mwenye degree ya theology) maana wewe hutaelewa kitu. HUNA UWEZO HUO KUELEWA NILICHOANDIKA HAPA!
Most likely na wewe ni mmoja wa wale sabato masalia mliokaa airport mnasubiri muujiza wa kwenda "kuhubiri" Ulaya bila passport, viza wala nauli.
Ciao!
Here is a quote about Constantine that comes from the web site shown below:
" History readily records that Constantine was a sun-worshiper. In one decree he declared, "On the venerable Day of the Sun let the magistrates and people residing in cities rest, and let all workshops be closed" (March 7, 321). He made this decree in honor of the sun after his supposed conversion to Christianity! Constantine, even after his "conversion," remained a pagan"
History records that Constantine was baptized just prior to his death. Many people doubt that he was truly converted.
You can read more about him at: http://www.marytruth.com/home/constantine-cover-up-and-sun-worship
Another web site ( https://www.allaboutjesuschrist.org/emperor-constantine-faq.htm ) says " He worshipped the pantheon of Roman gods as all his predecessors had done and especially the Roman sun god, Sol".
You can also read more about Constantine on Wikipedia: https://en.wikipedia.org/wiki/Religious_policies_of_Constantine_I
I hope these articles are helpful. May the Eternal God guide you into all truth,