Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
- Thread starter
-
- #261
Hahahha wewe jamaa akili yako fupi sana, yaan unipime kwa kingereza mimi?Hapana. Naelewa Kiswahili tena vizuri tu. Ila nahitaji uandike kwa Kiingereza ili nipime uelewa wako (maana reference nyingi ni za Kiingereza). Nakuruhusu utumie hata wiki moja.
SDA IN THE BIBLE PROPHECYHapana hujajibu swali langu nililo kuuliza.
Naomba aya inayo watambulisha
Seventh Day Adventist kwenye biblia.
Hapana hujajibu swali langu nililo kuuliza.
Naomba aya inayo watambulisha
Seventh Day Adventist kwenye biblia.
Asante,Jamaa yangu; tuachane na hii masalia maana haijielewi hii kitu (angekuwa mtu angeelewa anachoambiwa). We are probably communicating with a robot that has no thinking ability.
ACHA UONGO, LETA USHAHID AU MANENO AMBAYO UPAPA UMESINGIZIWA LETA HAPA ,TUTAKUTHIBITISHIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nabaki kuwa mwangalizi tu nawalindia Amani maanamsabato yupo Radhi kutunga uongo wowote kumhusu Papa ila Aweza mtetea muislam ....ila kuhusu 666 Wote mnaofundshwa ni fulan basi mpo shimoni Mnatakiwa mkasome Lugha asili ya kitabu chaBiblia ili muone Ellen Avyowaingza chaka.............. Nawapongeza Waislam Kwa kuwa Quran Yao inaelewekaKwaLugha Asilia Ivo hawakhitilifian sana. Japo na pamoja na. Hayo Wanatakiwa Wampate. bwana Yesu ili Wawe na. uhakika. Na Usafir wakuelekea Mbingun
😂😂😂😂 Mimi nabaki kuwa mwangalizi tu nawalindia Amani maanamsabato yupo Radhi kutunga uongo wowote kumhusu Papa ila Aweza mtetea muislam ....ila kuhusu 666 Wote mnaofundshwa ni fulan basi mpo shimoni Mnatakiwa mkasome Lugha asili ya kitabu chaBiblia ili muone Ellen Avyowaingza chaka.............. Nawapongeza Waislam Kwa kuwa Quran Yao inaelewekaKwaLugha Asilia Ivo hawakhitilifian sana. Japo na pamoja na. Hayo Wanatakiwa Wampate. bwana Yesu ili Wawe na. uhakika. Na Usafir wakuelekea Mbingun
Mimi Sina mda wa kubishana na Msabato Maana Kwanza Ameambiwa Mbinguni kuna Wasabato ...ihali Biblia inasema Wako Watakatifu tu Wala si wakatoliki waislam wala walokole..ACHA UONGO, LETA USHAHID AU MANENO AMBAYO UPAPA UMESINGIZIWA LETA HAPA ,TUTAKUTHIBITISHIA
NA USICHOKIJUA UISLAMU NI.DHEHEBU LA UKATOLIKI
MKIAMBIWA UKWELI MNAKIMBILIA MMETUKANWA, MIMI NASEMA BASI
MUNGU ndie wa kwanza kuwatukana
...
inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu; Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani, “Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).View attachment 928078
Hujui.kitu zaidi UMEMEZESHWA UONGO, NINGEKUONA UNA AKILI UNGEKUJA NA MAANDIKOMimi Sina mda wa kubishana na Msabato Maana Kwanza Ameambiwa Mbinguni kuna Wasabato ...ihali Biblia inasema Wako Watakatifu tu Wala si wakatoliki waislam wala walokole..
Huo mda wa kushindana na mtu anaeshadia Uongo Sinaa. ila usipofungua Akili utakufa kwa kuendelea kutetea uongo wa Ellen na Kanisa lake.
Wengi Wamekufa na walitegemea kushuhudia uongo wa Ellen Kutmia ingawa hawakujua kuwa ni uongo basi watoto wao walirithi na kuendeleza utetez huo wauingo naww ivoivo utakufa na watoto wako wakija usabatoni watakufa kwa kuendelea kutetea uongo wa ellen hadi Yesu Atakaporud atawakuta Wapo Wanaoendelea kuutetea.
Kuhusu Uisla kuwa Ukatoliki huo ni umama mtu kumladhimisha Akubali ivo! Maana huna ushahid wowote ...muislam Anatumia Quran Na Mkatolik Anatumia Biblia.
Hakuna dhiki Kuu zaidi Ya walioipitia Mitume stop!
Hakuna Mnyama Wa 666 Zaidi Ya yule aliewatesa mitume Stop!
Hakuna Kahaba mkuu Zaidi ya mji wa zaman wa Yerusalem stoo!
Yote niliyoyaandka hapa nimetoa kweny maandko sema kumbe hata Biblia husomi hadi upewe Namba za Vesers na Aya ...basi sema andko gani unataka hapo nikuleteHujui.kitu zaidi UMEMEZESHWA UONGO, NINGEKUONA UNA AKILI UNGEKUJA NA MAANDIKO
Eti umetoa kwenye biblia ,Yote niliyoyaandka hapa nimetoa kweny maandko sema kumbe hata Biblia husomi hadi upewe Namba za Vesers na Aya ...basi sema andko gani unataka hapo nikulete
Itakuwa maandiko ya katekisimu ya papaYote niliyoyaandka hapa nimetoa kweny maandko sema kumbe hata Biblia husomi hadi upewe Namba za Vesers na Aya ...basi sema andko gani unataka hapo nikulete
Shida yako ni moja tuMFAHAMU KAHABA MKUU WA UFUNUO 17
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17
anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].
Asema hivi yule Nabii: “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.”
Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18. Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao], mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,”
kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo. Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.View attachment 928353
Mkiambiwa ukweli mnaumiaShida yako ni moja tu
Mahaba ya kidini yamevuka mpaka na upofu umekuzonga
Ukweli gani mpya..!? mpaka iniume...!Mkiambiwa ukweli mnaumia
Sijaona hoja mpaka niipingeNipinge kwa hoja ,mimi sinaga mahaba kwenye dini, mimi natwanga tu
Ninyi ni wa ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzifanya ,yeye alikuwa muongo toka mwanzoUkweli gani mpya..!? mpaka iniume...!
Sijaona hoja mpaka niipinge
Zaidi ya masimulizi ya mang'amung'amu ya Njozi aliyoota mtu kweusi uko
Wewe unaangaika nayo 2018 unaona ni unabii [emoji14]
Hujielewi weweNinyi ni wa ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzifanya ,yeye alikuwa muongo toka mwanzo
Vipi pumzi imeisha...!?[emoji3]Mkiambiwa ukweli mnaumia
Nipinge kwa hoja ,mimi sinaga mahaba kwenye dini, mimi natwanga tu