Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
- Thread starter
-
- #241
Bas mtu wa kwanza kukashifu atakuwa Mungu mwenyeweKusoma biblia na kutafasri/ knowledgeable vitu viwili tofauti. Ukifanikiwa kusoma somo la ATR (African traditional religion) inaweza kukusaidia kidogo. Tatizo la wasabato badala ya kuhuburi neno/ injili wao wako busy kukashifu imani za wengine. Na ukiona dhehebu/ mtu fulani anakashifu imani ya mwingine tambua mapema ana taarifa za kutosha na nirahisi kurubuniwa.
Wewe hebu kaa pembeni ,unaulizwa maswali
Unaleta link ,huu mjadala haukufai
Wewe jamaa toka day one niligundua una uhaba wa kulijua neno, halafu unataka mashindano, ukishindwa unaanza matusiMatendo ya Mitume 11 : 26 inasema kuwa Wakristo wa Kwanza walijitambulisha kwa mara ya kwanza, katika Mji wa Antiokia, baada ya Yesu Kristo kupaa mbinguni.
Huko nyuma Ukristo haukuwepo kulikuwa na Uyahudi.
Sasa ninyi mnaojiita wa SDA mmetokea wapi ?
Nani aliye wanzisha na lini ?
Wewe bhana hujui kitu, umekazana eti mnayama ni UISLAMU,In other words; what am writing is too much for your limited understanding capabilities.
Wewe bhana hujui kitu, umekazana eti mnayama ni UISLAMU,
Unaulizwa aya ya Kwanza ufunuo 13:1 inahusikaje hujui,
Mnyama anakaa juu ya vilima 7
Je uislamu unakaaje juu ya vilima 7 hujui
Umebaki.kutoa mipasho tu,Unatarajia elimu yako ambayo effectively ni sawa na ya darasa la saba la shule za siku hizi uelewe concept inayostahili angalau uwe na effective education of at least a proper diploma?
Your intellectual capacity is simply too low to comprehend what am presenting here. Kawatafute wachungaji wako wakutafsirie (na utafute mchungaji at least mwenye degree ya theology) maana wewe hutaelewa kitu. HUNA UWEZO HUO KUELEWA NILICHOANDIKA HAPA!
Most likely na wewe ni mmoja wa wale sabato masalia mliokaa airport mnasubiri muujiza wa kwenda "kuhubiri" Ulaya bila passport, viza wala nauli.
Ciao!
Hebu funguka ,au tueleze ALAMA YA MNYAMA NI NINIKuna city ni figurative soma na ulielewe neno lots na maudhui yake usilete doctrine zako mwenyewe
Umebaki.kutoa mipasho tu,
Maswali huna uwezo wa kuyajibu
Unhejibu ningeamini una akili timamu,
Siku ya tatu hii ,unakimbia maswali
Ni her huyo atakaye kwenda kuhubir bila paspot kuliko wewe ambaye unafata na kuabudu mapokeo ya upapa
Ukiamini utaokolewa kwayo,
Nadhan umejitambua kuwa wewe ni mweupe, wiki nzima unaulizwa maswali yamekuwa mwiba kwako,
Hahaa hizo post umejibu nini ,Kama hujui kusoma ni kosa langu mie? Posts zangu namba 187 na 197 zote kabisa hujaambulia kitu! Umeishia kudai nimeweka link na pdf, poor you! Hebu onyesha pdf (au link yeyote iliyopo kwenye hizo posts mbili). UKIONYESHA file lolote pdf au otherwise mimi naingia usabato kesho.
Endelea na usabato wako masalia. You have heard my last (unless uki-respond kwenye hizo posts mbili tu - maana vitabu huna uwezo wa kuvisoma).
Hahaa hizo post umejibu nini ,
Jibu maswali siku ya tatu hii unakimbikimbia
Hivi ulidhani kudandia mada ,ulijua Rahis tu,You are in my ignore list as of now. I can't be bothered by an imbecile like you.
Wewe mjamaa una shida kwelikweli.Wewe jamaa toka day one niligundua una uhaba wa kulijua neno, halafu unataka mashindano, ukishindwa unaanza matusi
Hao wakristo unaosema walianzia Antiokia bado
Biblia inatuambia walifanya IBADA SIKU YA SABATO
IBADA YA JUMAPILI IMELETWA NA UPAPA
SASA MIMI NAKUPA UTHIBITISHO WA BIBLIA
Yakobo, kiongozi wa kwanza wa kanisa lile la mwanzo, aliandika maneno haya kuhusu zile Amri kumi:
"Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Maana yule yule aliyesema: "USIZINI, "alisema pia" "USIUE." Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria" - (Yakobo 2:10, 11).
Luka, tabibu na mwinjilisti katika kanisa lile la kwanza, anatoa taarifa hii.
"Siku ya Sabato tukatoka nje ya mji, tukaenda kando ya mto, ambapo tulidhani kuwa mahali pa kusali. Tuliketi, tukiongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo" - (Matendo 16:13).
Kitabu cha Matendo cha Agano Jipya kinataja mara 84 ilipotunzwa. Sabato hiyo na wafuasi wa Kristo, zote hizo zilikuwa zikitunzwa zaidi ya miaka 14 baada ya ufufuo wa Yesu: Sabato 2 pale Antiokia (Matendo 13:14,42,44); 1 pale Filipi (Matendo 16:13), 3 pale Thesalonike (Matendo 17:2,3), Sabato 78 pale Korintho (Matendo 18:4,11).
Yohana, wa mwisho kufa miongoni mwa wale mitume kumi na wawili, aliitunza Sabato. Aliandika hivi:
"Siku ya Bwana nilikuwa katika Roho" - (Ufunuo 1:10).
Kulingana na maneno ya Yesu, siku ya Bwana ni Sabato:
"Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato" - (Mathayo 12:8).
Uchunguzi wa ushahidi wa maandiko unaoonyesha wazi kwamba wale mitume hawakufanya jaribio lolote la kuibadili siku ya Mungu ya mapumziko kutoka siku ya saba kwenda ile siku ya kwanza ya juma. Agano jipya, linaitaja siku hiyo ya kwanza ya juma mara nane tu. Katika mifano hiyo yote hakuna ambapo siku ya kwanza ya juma inatajwa kuwa ni takatifu, wala hata kudokezwa kuwa tunapaswa kuitenga kama siku ya ibada. Uchunguzi uliofanywa kwa makini sana wa hayo mafungu manane yanayoitaja siku ya kwanza ya juma huonyesha matukio haya yaliyotokea Jumapili:
(1) Wanawake walikwenda kaburini siku ile ya kwanza ya juma (Mathayo 28:1).
(2) "Hata Sabato ilipokwisha" wanawake wakaanza tena kufanya shughuli zao za kidunia katika siku ile ya kwanza ya juma (Marko 16:1,2).
(3) Yesu alimtokea kwanza Mariamu Magdalena mapema siku ile kwanza ya juma (Marko 16:9).
(4) Wafuasi wa Yesu walianza tena kufanya shughuli zao katika ile siku ya kwanza juma (Luka 24:1).
(5) Mariamu alikwenda kwenye kaburi lile la Yesu na kulikuta kaburi liko tupu katika ile siku ya kwanza (Yohana 20:1).
(6) Wanafunzi wale walikusanyika mahali pamoja "kwa hofu ya Wayahudi" (si kwa ajili ya kuendesha ibada ) Katika ile siku ya kwanza ya juma (Yohana 20:19).
(7) Paulo aliwaomba washiriki wa kanisa kufanya mahesabu ya fedha zao walizopata katika ile siku ya kwanza ya juma, na "kuweka kando kiasi fulani cha fedha" kwa ajili ya maskini kule Yerusalemu (I Wakorintho 16:1,2). Kifungu hicho hakitaji mkutano wowote wa dini ambao ulifanyika.
(8) Katika Matendo 20:7 Luka anaongea habari za hotuba (mahubiri) ya Paulo aliyoitoa katika ile siku ya kwanza ya juma wakati wa mkutano ule wa kuagana ambao haukutazamiwa kufanyika. Kusema kweli, Paulo alihubiri kila siku, na mitume wale walimega mkate kila siku (Matendo 2:46).
Hakuna hata moja kati ya mafungu hayo linalodokeza ya kwamba wale mitume waliazimu kuacha kuitunza Sabato ya siku ya saba. Mitume wale hawakulitaja badiliko lolote la Sabato kutoka siku ya saba kwenda ile ya
kwanza ya juma.
View attachment 927881
Kwani wewe ni mkristo?Wewe mjamaa una shida kwelikweli.
Mimi nimeuliza nyinyi mnaojiita
Seventh Day Adventist mmetokea wapi ?
Maana siwaoni kwenye biblia yote hii, kuwa kuna watu waliitwa SDA.
Au basi kama mmetabiriwa popote pale unioneshe.
Mimi kwenye Biblia nawaona wana wa Mungu kama, Waisraeli, Warumi, Wakorintho, Waefeso, nk.
Pia nawaona Wayahudi wakitajwa kwenye Biblia pamoja na Wakristo.
Wewe naomba unioneshe kwenye Biblia ni wapi wametajwa watu kwa jina la.
" Seventh Day Adventist "
Sitaki maelezo mengine nioneshe Aya gani ya kwenye Biblia imewataja au kuwatabiri SDA.
Kama hakuna wewe unijulishe hao SDA wametokea wapi ?
Naomba aya
Seveth Day Adventist ni nini ?
Hivi ulidhani kudandia mada ,ulijua Rahis tu,
Mimi lazima nikupige maswali kutoka kwenye biblia ,mstari kwa mstari
Mwenzako akakurupuka kukusaidia kujibu, akaenda kakopi Mada yangu kwenye blog ikamuumbua ,
Wewe umebak kulalamika tu
Wewe jiandae kupokea ALAMA YA MNYAMA
View attachment 927954
Kwamba kiswahil huwez kuelewa au? Yaani unataka english , wakati maswali umeshindwa kujibuNaomba urudie ulichokiandika hapa; but in English.
Hapana hujajibu swali langu nililo kuuliza.Kwani wewe ni mkristo?
Hao wakristo ndio wasabato fullstop
Kwamba kiswahil huwez kuelewa au? Yaani unataka english , wakati maswali umeshindwa kujibu
Hahahahaaaaaaaaaaaa
HIVI UNAELEWA LAKINI, ? NGOJA NIKUJIBU TENA , USIPOELEWA HAPA ,BAS PAPA NDIO ATAKUSAIDIAHapana hujajibu swali langu nililo kuuliza.
Naomba aya inayo watambulisha
Seventh Day Adventist kwenye biblia.