Ukweli kuhuru ray na johari

Ukweli kuhuru ray na johari

Complicator EM

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
155
Reaction score
39
Jamani kuna mtu kaniambie eti waigizaji Vicent Kigosi( Ray) na Blandina Chagula ( Johari) ni wapenzi au kwa lugha nyingine ni mke na mme vipi wakuu kuna mwenye data kamili atumwagie hapa.
 
Hivi wakusoma. majibu si yameshatoka??!!!

Who cares watu wanatumia vifaa vyao halali
 
Jamani kuna mtu kaniambie eti waigizaji Vicent Kigosi( Ray) na Blandina Chagula ( Johari) ni wapenzi au kwa lugha nyingine ni mke na mme vipi wakuu kuna mwenye data kamili atumwagie hapa.

et eeh!
 
ukishajua itakusaidia nn?
MAPROSOO.
 
Jamani kuna mtu kaniambie eti waigizaji Vicent Kigosi( Ray) na Blandina Chagula ( Johari) ni wapenzi au kwa lugha nyingine ni mke na mme vipi wakuu kuna mwenye data kamili atumwagie hapa.

Mmmmmmmh_Jf home of great thinker.
 
Kumbe nao ni wanachit chat?
Mi sikuwa najua hilo
 
MAMBO YA 2012 MWAYALETA HUKU KWANINI? TUNGENI MAPYA YAKHEE.. Arushaone 2013.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka hiyo ni movie!

Back
Top Bottom