Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

Mawakili waliweka application ya kureject the money laundering charge..so mawakili wasomi wameweka nondo zao..hakimu atayafanyia kazi yote yaliyosemwa na kutoa maamuzi tar 22..so wataendelea kuwa rumande mpaka uamuzi utakapotolewa.
mimi nafikiri kuwa wanatakiwa kunyongwa haraka maana walizidi wizi hawa
 
Lakini huyu jamaa hizo story kapata wapi. Mawakili wa utetezi mbona wamekubali kama kosa la ML halina dhamana. Lakini wanachofanya sasa ni kujitahidi walifute hilo kosa la ML ili wateja wao wapate dhamana. Ila kwenye kufuta hilo kosa ni ngumu sana. Kwa sababu kila dalili inaonesha Utakatishaji fedha ulifanyika. SFO wamebainisha na hata nina uhakika wachunguzi wa ndani wamebaini tatizo. Mzee Kitilya hapa mmmmmm kazi anayo
 
Ufisadi wao usingefanyika kama haukuidhinishwa na watumishi wa serikali. Je hao walioidhinisha wako wapi?
Hawa inaonekana kimsingi wamefanya udalali kwa sababu tu ya uzembe au uovu upande wa serikali, wahalifu au wazembe waliokuwa upande wa serikali lazima waunganishwe kwenye kesi, vinginevyo kutakuwa na hisia kwamba, pamoja tuhuma walizo nazo, kuna msukumo wa nia ovu dhidi yao.
Sheria isitumike kwa ubaguzi.
 
Acha uongo hili likesi sio la Bongo
wenyewe UK walishalianzisha wanatuangalia tu
Beni yao ya STD Chartted imeshalimwa mifaini juu kwa majuu
eti Sinare wana vihela
Huyu Bint kwa nini aligeuza riba ya 1% akawa 2% na cha juu $6,000 wakavuta?

Hivi wakati serikali imepewa terms and condition ya kupata mkopo walipewa ipi? 1% au 2.4%? Kwa uelewa Wangu mdogo serikali ilitakiwa kukubali terms and conditions ili ipate huo mkopo. Ikiwa kwa hiari ilikubali ada hiyo je imeibiwa? Wale waliopitisha hiyo ada ya 2.4% si wazembe? Wako wapi?
pili je Fedha hiyo walizopata kampuni ya kitilya si halali? Ikiwa stanbic waliwapa mkataba, serikali kwa nini asimdai stanbic ambaye ndo aliyekuwa anamtafutia huo mkopo? Kwamba kwa nini uliingiza mtu? Kwa nini inawadai kampuni ya kitilya ambao wao wamepewa kazi na stanbic na sio serikali
 
Anashangilia ufisadi na huku babu yake analala kwenye tembe na kuishi maisha duni anaona waliofanya akina Kitilya na wenzake ni mambo ya kawaida au wameonewa,Watanzania siku hizi sijui tumerogwa uzalendo tumeutupa choo cha shimo,huu ni uzao wa nyoka kwa kweli
Umeona eeh! Yaani hii nchi ilifika pabaya!
 
Mpaka tare 22, loohhh!!! Former miss Tz namuonea huruma. Kama vipi case yake niibebe mimi.
Halafu una huruma na wapiga dili...as if wangekukumbuka na wizi wao....acha ujinga.
 
Back
Top Bottom