Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money iligeal ing wakati walitumia illegal source of funds ??

Wewe mwenyewe umesema inasemekana sasa kwa nini unataka watu wachukuliwe hatua kwa kusemekana?
 
Kwani eskrow imeishia wapi? Si watuunganishie mnimkulu aliepita na kenge wenzake pamoja na hawa
 
Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money iligeal ing wakati walitumia illegal source of funds ??

Seth na James walichukua pesa BOT baada ya kumaliza tofauti zao zilizosababisha Escrow Account kufunguliwa. Tanesco hata kama ilikuwa na madai ya Msingi haikuwahi kufungua kesi au shauri kuhusiana na Escrow Account hivyo ni third party japo wao ndio waliokuwa wanaweka pesa.
Akina Tibaijuka kosa lao ni kuto declare kuwa wamepokea pesa kama inavyotakiwa ikizid elf50.
Wangine hawakuwa na kosa la kijinai wala la kimaadili ndio sababu unasikia kelele za kwny Coriddor tu ambazo ni za kisiasa na haziwezi kuisha kwa kuwa ndio kawaida ya siasa hata Uingereza wameanzisha mjadala kwa Cameroon kwa kosa la babu yake kuficha hela Panama japo wanajua kisheria wala kimaadili Mjukuu hawezi kuwa liable kwa kosa la babu
 
Yote sawa ila mleta Uzi umeleta Uzi kimbea mbea sana.
 
Seth na James walichukua pesa BOT baada ya kumaliza tofauti zao zilizosababisha Escrow Account kufunguliwa. Tanesco hata kama ilikuwa na madai ya Msingi haikuwahi kufungua kesi au shauri kuhusiana na Escrow Account hivyo ni third party japo wao ndio waliofungua.
Akina Tibaijuka kosa lao ni kuto declare kuwa wamepokea pesa kama inavyotakiwa ikizid elf50.
Wangine hawakuwa na kosa la kijinai wala la kimaadili ndio sababu unasikia kelele za kwny Coriddor tu ambazo ni za kisiasa na haziwezi kuisha kwa kuwa ndio kawaida ya siasa hata Uingereza wameanzisha mjadala kwa Cameroon kwa kosa la babu yake kuficha hela Panama japo wanajua kisheria wala kimaadili Mjukuu hawezi kuwa liable kwa kosa la babu
Pohamba kama umefuatilia vizuri mgogoro haukua umekishwa baina ya hao waliofungua Account ya Escorow na ndio maana Beno Ndulu aliukataa kabisa ushauri wa kina Werema ,pesa ilitolewa na mgogoro ulikuwepo ,kwanini hiyo kesi isiwe ya Money Laundering ??
 
Rex ATTONEY ni kampuni yao wenyewe
akina MWANAIDI SINARE
EVE HAWA SINARE
watahonga hata kwa bilion tano ili tu watoke hii familia sio mchezo
,
Acha uongo hili likesi sio la Bongo
wenyewe UK walishalianzisha wanatuangalia tu
Beni yao ya STD Chartted imeshalimwa mifaini juu kwa majuu
eti Sinare wana vihela
Huyu Bint kwa nini aligeuza riba ya 1% akawa 2% na cha juu $6,000 wakavuta?
 
Pohamba kama umefuatilia vizuri mgogoro haukua umekishwa baina ya hao waliofungua Account ya Escorow na ndio maana Beno Ndulu aliukataa kabisa ushauri wa kina Werema ,pesa ilitolewa na mgogoro ulikuwepo ,kwanini hiyo kesi isiwe ya Money Laundering ??

Unataka tulijadili kitaalam na Kisheria au kisiasa?
 
Siasa ipo wapi kwenye hayo maswali yangu ??

Hatutaelewana sipendi kukuchosha. Nakushauri kama alivyoshauri Mzee Kikwete pitia Report ya CAG neno kwa neno wewe mwenyewe iliwekwa kwenye tovuti ya NAO, Nenda ka google Escrow Account ni nini,inafunguliwaje halafu rudi kwa case study yetu fuatilia ujue kama Tanesco waliwahi kuwa sehemu ya Mgogoro uliosababishwa Escrow Account kufunguliwa, kina nani ndio waliokuwa na Mgogoro wa Escrow, Majibu utakayopata mwenyewe bila ya siasa wala ushabiki ndio uhalisia wa Scandle ya Escrow!
 
Hatutaelewana sipendi kukuchosha. Nakushauri kama alivyoshauri Mzee Kikwete pitia Report ya CAG neno kwa neno wewe mwenyewe! Nenda ka google Escrow Account ni nini,inafunguliwaje halafu rudi kwa case study yetu fuatilia ujue kama Tanesco waliwahi kuwa sehemu ya Mgogoro uliosababishwa Escrow Account kufunguliwa. Majibu utakayopata mwenyewe bila ya siasa wala ushabiki ndio uhalisia wa Scandle ya Escrow!
Hizi ndio siasa sasa unazotaka tuchoshane ,Ripoti ya CAG ,wenyewe waliishia kusema inawezekana hela ni za uma ama sio za uma ,hiyo ilikua team work ya interlectuals ,halafu unataka tuhitimishe kwa facts zipi hizo mimi na wewe ?? PAC ,walitoa hitimisho lipi ??
 
Ndio sababu nakushauri kasome badala ya kusomewa vipande vipande. Ili ziwe za umma kuna vitu walianisha lazima viwemo ili zisiwe za umma kuna vitu walianisha sasa kwa kuwa huna interest ya kuisoma siwezi kukulazimisha ni uamuzi wa hiyari.
 
Pohamba unataka kuniaminisha nini ? Mjadala ulio itingisha taifa pengine kuliko kashfa yeyote ile ,nikasome nini sasa ? Kwamba walichokua wanakijidali wabunge kwenye ile ripoti ya PAC iliyosomwa yote na Zito Kabwe na Mwenzie Marehemu Deo ulikua ni upuuzi ??

Neno lililotumika kwenye ripoti ya CAG ni pesa zinaweza kuwa za uma ama sio ,neno inaweza maana yake ni kutokua na uhakika wa moja kwa moja kwa tafsiri yangu ,kama ndivyo basi sababu zilizotolewa kwamba ni kwanini ni za uma au sio za uma bado halikuhitimisha swala lenyewe ,ndio maana mpaka leo swala la Escorow ni kama hadithi za abunuasi ,vyovyote vile ipo siku ukweli utajulikana ,asante kwa muda wako na mchango wako

Na kama ripoti ilitoa sababu zake kwamba hela inaweza kuwa za uma ama sio ,Jakaya yeye alitoa wapi ujasiri wa kusema zile pesa sio za uma ?? Wakati aliowapa hiyo kazi wao walishindwa kuja na hitimisho ?
 
Hata mimi ! Agrrr!
Anashangilia ufisadi na huku babu yake analala kwenye tembe na kuishi maisha duni anaona waliofanya akina Kitilya na wenzake ni mambo ya kawaida au wameonewa,Watanzania siku hizi sijui tumerogwa uzalendo tumeutupa choo cha shimo,huu ni uzao wa nyoka kwa kweli
 
Pohamba unataka kuniaminisha nini ? Mjadala ulio itingisha taifa pengine kuliko kashfa yeyote ile ,nikasome nini sasa ? Kwamba walichokua wanakijidali wabunge kwenye ile ripoti ya PAC iliyosomwa yote na Zito Kabwe na Mwenzie Marehemu Deo ulikua ni upuuzi ??

Neno lililotumika kwenye ripoti ya CAG ni pesa zinaweza kuwa za uma ama sio ,neno inaweza maana yake ni kutokua na uhakika wa moja kwa moja kwa tafsiri yangu ,kama ndivyo basi sababu zilizotolewa kwamba ni kwanini ni za uma au sio za uma bado halikuhitimisha swala lenyewe ,ndio maana mpaka leo swala la Escorow ni kama hadithi za abunuasi ,vyovyote vile ipo siku ukweli utajulikana ,asante kwa muda wako na mchango wako

Na kama ripoti ilitoa sababu zake kwamba hela inaweza kuwa za uma ama sio ,Jakaya yeye alitoa wapi ujasiri wa kusema zile pesa sio za uma ?? Wakati aliowapa hiyo kazi wao walishindwa kuja na hitimisho ?
mnahamishia mjadala kwenye escrow badala ya mada inataka nini??
 
Ndio maana mchina kafaulu kiswahili sababu aliamua kujifunza, kukariri ni kubaya sana, huo ukweli uko wapi hapa?!
 
Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money laundering wakati walitumia illegal source of funds ??
 
A
mama prof. Alisema ya mboga Tu labda ndio maana sio money laundering
 
Back
Top Bottom