Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Kipind nipo shule, niliona watu wavivu kutafta maisha.
Mim fursa kubwa niliziona zeny pesa ndeefu.
Nikataman nimalze shule mapema nipge mishe ndan ya miaka mitatu ntakua millionare.

Ukwel mchungu nilipokuja kuingia kwa vitendo, nikapata jibu la kuwaona watu wavivu.

PILI
nilijua naweza pata mwanamke wang tukaish kama adam na eva ama sharku khan na priyanka chopra
 
Back
Top Bottom