Ukweli daima utajitenga na Uongo: Angalia busara za John Pambalu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,290
Reaction score
96,517
Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga.

Kumbe sio ndoto ni kweli:

Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.

Then next page kuna hii:

Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.

Tume ya Uchaguzi Rais (mgombea), anateua ma Kamishna na mwenyekiti wa tume. Huu ujinga haukubaliki

1750751304999.png
 
View attachment 3381167
Dawa imeshawaingia.
 
Dah ila uchawa ni kazi ngumu sana inayomtaka mhusika kujivua utu na kujivika ukenge
 
Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga.

Kumbe sio ndoto ni kweli:

Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.

Then next page kuna hii:

Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.

Tume ya Uchaguzi Rais (mgombea), anateua ma Kamishna na mwenyekiti wa tume. Huu ujinga haukubaliki

View attachment 3381167
Hoja fikirishi sana
 
Back
Top Bottom