Moyo wako ulisha sema haumpendi, unafikiri jamii forum kuna mtu atakufunga kamba umpende sasa.hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na c kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa
Ushauri please, matusi sitaki
asa una uhakika gani kama nina papuchi? utakutana na hermaphrodite halafu ubakwe. shauri yako 🙂Asante nini??? Mimi sijakupenda kama dada yangu, nataka papuchi yako buana!
teh!teh!!teh!!!asa una uhakika gani kama nina papuchi? utakutana na hermaphrodite halafu ubakwe. shauri yako 🙂
simpi ng'o, na kuhusu kumponda anamponda tukiwa watu wengi kabla hata hajanitokea na kuniambia ananipendajamaa anajifanya anamapenzi ya dhat na wew ukiona anamsagia mwenzako unaona kama unapendwa sana au wew ndio beauty sana jaribu kumpa papuchi uone kama hajakuachia nyoya
Si umeshaambiwa ufanye Siri[emoji126] [emoji126]
ahahahhahahahahahahaha haya buanahii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na c kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa
Ushauri please, matusi sitaki
hahaaaaaaaaa kwakwaaaaaa mpe chiu ndio utajua kama unapendwaSi umeshaambiwa ufanye Siri[emoji126] [emoji126]
simpi ng'o, na kuhusu kumponda anamponda tukiwa watu wengi kabla hata hajanitokea na kuniambia ananipenda