Ukweli anaujua mwenyewe

Ukweli anaujua mwenyewe

Kama anakupenda saana mwambie aachane na Huyo asiyempenda abaki na weewe.
 
hakupendi kama unabisha lala nae uone anakukimbia anamponda girlfriend wake ili akupate vizuri. lala nae uone kama hujakuja kulia hapa"amerudi kwa girlfriend wake wa zamani"
lile tatizo la kulowa limekwisha dada yangu,??
 
hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na c kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa

Ushauri please, matusi sitaki
Kuwa makini huyo anakudanganya wewe uingie king afanye yake na inaelekea kabisa hana future na wewe, kumpondea mtu wake hicho ni kitu cha kawaida sana mtu akiwa mchepukoni na sio kwamba hampendi sema tamaa ndo imechukua nafasi yake kwa kukutamani wewe.
 
We ni kimchepuko tuu kipunguza stress tafuta wakoo
 
hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na c kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa

Ushauri please, matusi sitaki
Pole inaonekana bado mdogo hujawajua vizuri hawa wanaume,sasa wewe hujiulizi kama hampendi kwanini bado yuko nae na ni mume mtarajiwa,My dia mwenzio anataka mzigo huo afu ataenda kukuponda kwa mwingine.
 
Rangi ya maandishi ya bandiko lako inanionyesha tayari unampenda huyo kaka.

Naomba niishie hapo
 
Anamponda ili apate anachokihitaji baada ya hapo utapondwa kama anavyojidai kumponda mchumba shtuka dada
 
Shoo acha kabisa usifanye uo ujinga wanaume ni kama mmbwa tu [emoji126] [emoji108]
 
Shoo acha kabisa usifanye uo ujinga wanaume ni kama mmbwa tu [emoji126] [emoji108]
3322a5afa666dcff1a1610e8e3fc9e8f.gif
 
Soma hili shairi la Mpwa wangu Mentor

***VEROSSA***

Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile
There she lost her virginity, her dignity and her guile,

Inside a Verossa, she hopped in a lift home
There she was promised a job, cash and a lifestyle with its entire epitome,

Inside a Verossa he took off her clothes and wit them her dreams
There we lost an MD, a sister and a fine Mrs. Me,

Inside a Verossa an AIDS victim was added to the count
He seemed too good, healthy and well, he drives a Verossa…he just can’t be!

Inside a Verossa she gave in to his touch and caressing
His strokes, electric, sent shocks of pleasure through her vein,

Inside a Verossa he slowly took off her top and
As it came off her head, off also went all warnings from her mama,

Inside a Verossa he unbuttoned her trouser jeans
Letting go of it so easily like one changing from dirty clothes,

Inside a Verossa, does your mama know?
That you were in the front seat, now you are both at the back and the car ain’t go,

Inside a Verossa like it’s yours young girl
Legs you spread n let him take it off girl,

Inside a Verossa his ‘willy’ unprotected you let slip in
Fun wasn’t it…yeah...as it went out and in,

Inside a Verossa it took only three weeks to realize
That you really treasured the monthly breeze,

Inside a Verossa you missed them and what did you think
No I can't be...n the sticks you went to pick,

Inside a Verossa, there you had your first test
Wasn't it what you expected? Congrats, you passed the test,

Inside a Verossa, you thought of calling the special man
Alas! No contacts to let him know what he'd done,

Inside a Verossa…no! on foot you went to the clinic
You are infected, pregnant and 3 supplementary exams to take,

Inside a Verossa you'd think it’s some sleek automobile
There she lost her virginity, her dignity and her guile!!!

Inside a Verossa he took off her clothes and wit them her dreams
There we lost an MD, a sister and a fine Mrs. Me.

Wasalaam wapendwa,
Mentor!
 
Jaribu hilo litapima akili/ubora wako na wanawake wenzako.

Na huyo mwanaume mwambie ajitoe kwny kundi la wanaume.
 
hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na c kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa

Ushauri please, matusi sitaki
Nakushauri kabisa toka moyoni mwangu, namkuomba mpatie anachokuomba, hutajuta ila utaimarika kiimani juu ya wanaume, so that next time mtu akikwambia hio story at least utakua na mahali pa kufanyia reference. nenda kwake ila usimpe ukitegemea chochote from him, two, ina maana huna mwanaume hadi umri huu maana ungekua naye naamini usingeruhusu hata huu mjadala uwepo, kama huna basi wewe ni She-player na ndio maana kijana wangu kaomba mchezo. Tatu, ungekua na hofu ya MUNGU asingeweza hata kukusogelea, aaghh siku zote nyuki huenda kwenye ua ambalo anajua atapata maua, kwahio lazima ameona resource from you! Mpe nasisitiza mpe, muonekano wako na tabia zako za hovyo ndio hizo kwahio mpe dada usimnyime
 
acha kujishebedua bwnaa mpe papuchi hiyo agegede...maana wala hamna serious thing hapo. ni kugegedana tuu.
well said, jamaa anataka kumTIA adabu tuu, hana lolote, most time men marry what they love, akae apo amwamini kwamba et hampend his wife to be, akitoa papuchii ndyo atajua vizuri kama kwel anakutaka or no....
 
Hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na si kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa

Ushauri please, matusi sitaki
hizi meseji bhana zinatuzinguaga madem,, unataka ushauri wa nini ashakwambia fanya siri, anampenda huyo alietangaza nae NIA, wewe anataka kumalizia ubachela tuu, open ur eyes gal!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom