Ukweli anaujua mwenyewe

Ukweli anaujua mwenyewe

Nakushauri kabisa toka moyoni mwangu, namkuomba mpatie anachokuomba, hutajuta ila utaimarika kiimani juu ya wanaume, so that next time mtu akikwambia hio story at least utakua na mahali pa kufanyia reference. nenda kwake ila usimpe ukitegemea chochote from him, two, ina maana huna mwanaume hadi umri huu maana ungekua naye naamini usingeruhusu hata huu mjadala uwepo, kama huna basi wewe ni She-player na ndio maana kijana wangu kaomba mchezo. Tatu, ungekua na hofu ya MUNGU asingeweza hata kukusogelea, aaghh siku zote nyuki huenda kwenye ua ambalo anajua atapata maua, kwahio lazima ameona resource from you! Mpe nasisitiza mpe, muonekano wako na tabia zako za hovyo ndio hizo kwahio mpe dada usimnyime
hahahha uuuwi this is painful jmn, but we all learn frm our mistakes, kwel labda atajifunza...akishapewa tango na kukimbiwa
 
Hii imenitokea wiki mbili zilizopita, niko mkoani Arusha kuna kaka mmoja katokea kunipenda na huyu kaka ni mume mtarajiwa ana huyo mchumba wake jina kapuni ki alisia huyu kaka ajampenda huyu mdada yani anavyomponda hadi huruma huyu kaka akiomba pesa anatumiwa kwa kifupi huyu kaka yuko kimaslai na si kwa upendo wa dhati yani akipigiwa simu na demu wake atalalamika wewee hadi huruma,yani kwa ufupi atamponda akimanaanisha anajuta kuwa nae na huyu kaka ananipenda sana, tatizo sijamuweka kabisa akilini na bado sija fanya nae tendo na sina mpango huo.. nikimchunia tu siku kadhaa bila kumtumia sms lazima aibuke na kunihoji ''what wrong'' na isitoshe tuko nae ofisi moja halafu kaniambia tufanye siri , nasisitiza sijampenda kabisa

Ushauri please, matusi sitaki
we chuna tuuuu halafu siku akipata akili anayempenda hayupo ,,,,,,,,,, akijinyonga itakuwa poa tu si hajielew
 
Mfoadie huu uzi. Hapo utakuwa umemtendea haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom