Pilato 007
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 447
- 471
Najiuliza tu ni kifaa gan au njia gani itumike huko chini!?.....
.....GPS haiwezi kusoma huko kwenye mahandaki
Najiuliza tu ni kifaa gan au njia gani itumike huko chini!?.....
.....GPS haiwezi kusoma huko kwenye mahandaki
Nchi za wenzetu wanajeshi wao wako busy na technology innovations sie tuko busy tunajenga UKUTA na kutumiana manissan meupe.Mimi niliwahi kuchimba madini huko mererani, nilikuwa najaribu kujiuliza ukuta utasaidiaje? nikawa sipati picha. Labda kama huo ukuta unaweza kupunguza wizi. Sikushangaa sana kwani rais wetu anapenda kudhibiti au kulinda kwa mtazamo wake. Lakini anakosa mbinu sahihi au wanaomshauri wanamshauri anachowashauri wao.
Nilishangaa ili siku aliposema kesho jeshi likaingia na mkwara mkubwa utafakiri ni jambo lenye tija sana. Nimewahi kushauri mara nyingi humu, badala ya jeshi kukaa tu bila kuzalisha mali wakati huu wa amani, ni bora lipewe mashamba makubwa ya kulima kwa kupewa pembejeo kama tractors, combine harvestors, mbolea nk. wazalishe kwa wingi kisha wananchi tunaolima kwa nguvu zetu tuachwe tuuze tunapotaka. Hayo ya jeshi ndio yakajazwe kwenye maghala ya serekali kwa ajili ya njaa na kutunza bei elekezi. Lakini nimeona jeshi limeenda kama roketi kujenga ukuta wakati kama ni madini ndio yako ukingoni. Usishangae ndani ya mwaka huo ukuta ukaanza kuweka ufa kwani sidhani hata kama feasibility study imefanyika. Anyway ndio rais wetu huyo nia njema lakini hana mbinu.
HahahahaWapo wanaosema watarusha tanzanite na manati...mmoja anakaa ndani mwingine nje then inarushwa kwa manati...nimecheka...kumcontrol binadamu ni kazi
GPRS?? Unajua ulichokiandika?Kwa uelewa wangu eneo linawekewa mitambo ya gprs ukivuka eneo la uzio hata ukiwa kilometer tano chini ya ardhi inajulikana so kwa hili kuiba ni ngumu, japo huyu sizonje simpendi hata
Big point. Ukuta ni kupoteza maboya. Kodi na miundo mbinu ndilo majibuHabari wana jamvi,
Kama kichwa kisemavyo,
Huu ukuta wa mererani ulioagizwa na mh Magu umezua utata kwa namna ulivgopokelewa hasa na washikadau wa shughuli usika za madini,
Kwanza wameshangaa kutolewa maamuzi ya namna ile ambayo kwayo wamesikitika kwamba kwann nguvu hio na gharama hizo wasingejenga barabara sehemu zenye uhitaji.
Wakaenda mbali zaaidi juu ya washauri wa mh. Magu kana kwamba elimu yao ni yakinadharia tuu imewanyima ujuzi wa uhalisia kufikia maamuzi yasiyo na tija au wanaamua kumpotisha tuu mh. Magu.
Wanasema kama mh. Magu hawajui wachimba madini na wadau wake atakuja shtuka shimo linachimbwa mererani wanapolo wanatokea Arusha au hata chumbani kwa mtu na hapo ndo hasara ya kamera itakapo onekana, pia patakua na njia nyingi tuu za kufanikisha wizi kwa serikali kama serikali haitokuja na sera rafiki, shirikishi katika ukusanyaji kodi.
Mimi ni mzalando!!
Kama low mind wameelewa basi,ndio hicho kinachotafutwa. Kama kuna wimbi la watu wameshangilia inatosha...
Kilakitu tunapinga...inaonyesha ni kwa kiasi gani hatutaki kutumia vichwa kufikiria. Ni kucheza deal tuChezea apolo ww
Mi nilishawahi kusema VETA wapige practical za kujenga madawati?Mimi niliwahi kuchimba madini huko mererani, nilikuwa najaribu kujiuliza ukuta utasaidiaje? nikawa sipati picha. Labda kama huo ukuta unaweza kupunguza wizi. Sikushangaa sana kwani rais wetu anapenda kudhibiti au kulinda kwa mtazamo wake. Lakini anakosa mbinu sahihi au wanaomshauri wanamshauri anachowashauri wao.
Nilishangaa ili siku aliposema kesho jeshi likaingia na mkwara mkubwa utafakiri ni jambo lenye tija sana. Nimewahi kushauri mara nyingi humu, badala ya jeshi kukaa tu bila kuzalisha mali wakati huu wa amani, ni bora lipewe mashamba makubwa ya kulima kwa kupewa pembejeo kama tractors, combine harvestors, mbolea nk. wazalishe kwa wingi kisha wananchi tunaolima kwa nguvu zetu tuachwe tuuze tunapotaka. Hayo ya jeshi ndio yakajazwe kwenye maghala ya serekali kwa ajili ya njaa na kutunza bei elekezi. Lakini nimeona jeshi limeenda kama roketi kujenga ukuta wakati kama ni madini ndio yako ukingoni. Usishangae ndani ya mwaka huo ukuta ukaanza kuweka ufa kwani sidhani hata kama feasibility study imefanyika. Anyway ndio rais wetu huyo nia njema lakini hana mbinu.

Ni kichekesho! kwa mchimba madini yeyote ukimwambia ukuta atakucheka kwa kweli..umepata jiwe la 1bln na zaidi ushindwe kulitoa..akawaulize wamarekani wanavyohangaika na wamexico kuzuia madawa kuingizwa USA ndo atajua pesa ni nn!Ukuta utazuiaje uchumbaji na utorishaji wa madini?
Kikawaida, wanapolo safari zao ni chini kwa chini. Ndo maana wengi tulitaka more details kuhusiana na huo ukuta.
Kama ni kuzuia wauzaji wasitoroshe, ukuta peke yake hautasaidia.
Wewe ndiye ulikuwa umeandaliwa kuongea pale Arusha, ukaingia mitini dakika ya mwisho? Hadi ukasababisha mh rais akaweka KIBWAGIZO.Nyie keng..e msiwe Wapuu..zi kiasi hicho, msipinge kila kitu maana hata migodi ya wazungu ina fence
.....
.....GPS haishiki huko chini mkuu
Hao wana apollo tutawafungia gprs tracker, halafu watu wasiojulikana watawafatilia hukohuko chini,