Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

Kwa uelewa wangu eneo linawekewa mitambo ya gprs ukivuka eneo la uzio hata ukiwa kilometer tano chini ya ardhi inajulikana so kwa hili kuiba ni ngumu, japo huyu sizonje simpendi hata
 
Cha msingi serikali ingeanza kuwatoza kodi wachimbaji wote kutokana na eneo la vitalu vyao
Itawezekana kweli kama Rais anafundisha wakulima wadogo wadogo kukwepa kodi?! Pili, yeye hapo alipo ni free rider: halipi income tax hata theluthi!
Magufuli ni msanii kama Kikwete tu! Tofauti yao ni kwamba: Kikwete ni msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Magufuli ni msanii wa nyimbo za kienyeji.
 
Hao wana apollo tutawafungia gprs tracker, halafu watu wasiojulikana watawafatilia hukohuko chini,
 
Washikadau au wezi wakubwa hawakujui watamulikwa nao,,, amakweli kurunzi la Magu....
 
Msubiri ujengwe kwanza.. mengine baadae hayo ya kirafiki waandikieni barua mueleze yenu. Endelea kuandika mnafikiria kufanya nini ukuta ukisimama.. inapendeza sana sana na msifikiri nao hawajui maujanja.
Una kazi ngumu sana mkuu. Pole
 
Itawezekana kweli kama Rais anafundisha wakulima wadogo wadogo kukwepa kodi?! Pili, yeye hapo alipo ni free rider: halipi income tax hata theluthi!
Magufuli ni msanii kama Kikwete tu! Tofauti yao ni kwamba: Kikwete ni msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Magufuli ni msanii wa nyimbo za kienyeji.
Hahahahaha! Umenikumbusha zile nyimbo za kisukuma... Wasanii wamechoka, nyimbo zimechoka yaani vurugu tupu
 
ngoja tupime manyokaa/ wana apolo na wazee wa mabaka nani mkali
Manyokaa/ wanaapolo kumbuka wanambinu nyingi sana za kujihami ili kutekeleza azimio lao mkuu...kibinafsi ningeomba sana idara husika au hata Mkulu mwenyewe aweze tumbia
Je ni hii hii mbinu ya kujenga ukuta tu kama ulinzi au pia watatumia Teknolojia nyingine zaid kuzuia huu wizi!??
Ili kuzuia matumizi mabaya ya pesa za wadanganyika
 
Habari wana jamvi,

Kama kichwa kisemavyo,

Huu ukuta wa mererani ulioagizwa na mh Magu umezua utata kwa namna ulivgopokelewa hasa na washikadau wa shughuli usika za madini,

Kwanza wameshangaa kutolewa maamuzi ya namna ile ambayo kwayo wamesikitika kwamba kwann nguvu hio na gharama hizo wasingejenga barabara sehemu zenye uhitaji.

Wakaenda mbali zaaidi juu ya washauri wa mh. Magu kana kwamba elimu yao ni yakinadharia tuu imewanyima ujuzi wa uhalisia kufikia maamuzi yasiyo na tija au wanaamua kumpotisha tuu mh. Magu.

Wanasema kama mh. Magu hawajui wachimba madini na wadau wake atakuja shtuka shimo linachimbwa mererani wanapolo wanatokea Arusha au hata chumbani kwa mtu na hapo ndo hasara ya kamera itakapo onekana, pia patakua na njia nyingi tuu za kufanikisha wizi kwa serikali kama serikali haitokuja na sera rafiki, shirikishi katika ukusanyaji kodi.

Mimi ni mzalando!!
Sio hili tuu mipango mingi inayoanzishwa na mukulu inaenda kukwama hana vission anafuata midundo ya kina gambo
 
Kwa uelewa wangu eneo linawekewa mitambo ya gprs ukivuka eneo la uzio hata ukiwa kilometer tano chini ya ardhi inajulikana so kwa hili kuiba ni ngumu, japo huyu sizonje simpendi hata
Mkuu mimi sio mtaalamu sana wa mambo hayo ya GPRS hebu nitoe ka ushamba kidogo...
Una maana kila mwana apolo atakae ingia chini ya ardhi atafungwa tracking device ya kuonyesha yuko wapi!???? Au nimeelewa vibaya mkuu!??
 
.....
.....GPS haiwezi kusoma huko kwenye mahandaki
 
Habari wana jamvi,

Kama kichwa kisemavyo,

Huu ukuta wa mererani ulioagizwa na mh Magu umezua utata kwa namna ulivgopokelewa hasa na washikadau wa shughuli usika za madini,

Kwanza wameshangaa kutolewa maamuzi ya namna ile ambayo kwayo wamesikitika kwamba kwann nguvu hio na gharama hizo wasingejenga barabara sehemu zenye uhitaji.

Wakaenda mbali zaaidi juu ya washauri wa mh. Magu kana kwamba elimu yao ni yakinadharia tuu imewanyima ujuzi wa uhalisia kufikia maamuzi yasiyo na tija au wanaamua kumpotisha tuu mh. Magu.

Wanasema kama mh. Magu hawajui wachimba madini na wadau wake atakuja shtuka shimo linachimbwa mererani wanapolo wanatokea Arusha au hata chumbani kwa mtu na hapo ndo hasara ya kamera itakapo onekana, pia patakua na njia nyingi tuu za kufanikisha wizi kwa serikali kama serikali haitokuja na sera rafiki, shirikishi katika ukusanyaji kodi.

Mimi ni mzalando!!
Nilisemahapakwamba Mgufuli kakurupuka.

Ukuta huo utakwenda chini kiasi gani kuzuia watu ambaokazi yao ni kuchimba chini wasiweze kchimba chini zaidi yake?

Je, Magufuli kafanya research ganikujua Tanzanite imeanzia wapi na kuishia wapi ili ajue ukuta utaanzia wapi na kuishia wapi usiache Tanzanite nje?
 
Nani yupo tayari kujaribu kwenda kuiba baada ya ukuta kukamilika. Isije ikatokea kama yale ya Sinzaaaa. Me napita tu.....
 
Mimi niliwahi kuchimba madini huko mererani, nilikuwa najaribu kujiuliza ukuta utasaidiaje? nikawa sipati picha. Labda kama huo ukuta unaweza kupunguza wizi. Sikushangaa sana kwani rais wetu anapenda kudhibiti au kulinda kwa mtazamo wake. Lakini anakosa mbinu sahihi au wanaomshauri wanamshauri anachowashauri wao.

Nilishangaa ili siku aliposema kesho jeshi likaingia na mkwara mkubwa utafakiri ni jambo lenye tija sana. Nimewahi kushauri mara nyingi humu, badala ya jeshi kukaa tu bila kuzalisha mali wakati huu wa amani, ni bora lipewe mashamba makubwa ya kulima kwa kupewa pembejeo kama tractors, combine harvestors, mbolea nk. wazalishe kwa wingi kisha wananchi tunaolima kwa nguvu zetu tuachwe tuuze tunapotaka. Hayo ya jeshi ndio yakajazwe kwenye maghala ya serekali kwa ajili ya njaa na kutunza bei elekezi. Lakini nimeona jeshi limeenda kama roketi kujenga ukuta wakati kama ni madini ndio yako ukingoni. Usishangae ndani ya mwaka huo ukuta ukaanza kuweka ufa kwani sidhani hata kama feasibility study imefanyika. Anyway ndio rais wetu huyo nia njema lakini hana mbinu.
Kama low mind wameelewa basi,ndio hicho kinachotafutwa. Kama kuna wimbi la watu wameshangilia inatosha...
 
Habari wana jamvi,

Kama kichwa kisemavyo,

Huu ukuta wa mererani ulioagizwa na mh Magu umezua utata kwa namna ulivgopokelewa hasa na washikadau wa shughuli usika za madini,

Kwanza wameshangaa kutolewa maamuzi ya namna ile ambayo kwayo wamesikitika kwamba kwann nguvu hio na gharama hizo wasingejenga barabara sehemu zenye uhitaji.

Wakaenda mbali zaaidi juu ya washauri wa mh. Magu kana kwamba elimu yao ni yakinadharia tuu imewanyima ujuzi wa uhalisia kufikia maamuzi yasiyo na tija au wanaamua kumpotisha tuu mh. Magu.

Wanasema kama mh. Magu hawajui wachimba madini na wadau wake atakuja shtuka shimo linachimbwa mererani wanapolo wanatokea Arusha au hata chumbani kwa mtu na hapo ndo hasara ya kamera itakapo onekana, pia patakua na njia nyingi tuu za kufanikisha wizi kwa serikali kama serikali haitokuja na sera rafiki, shirikishi katika ukusanyaji kodi.

Mimi ni mzalando!!
Ahsante kwa kuwa mzalando
 
Wapo wanaosema watarusha tanzanite na manati...mmoja anakaa ndani mwingine nje then inarushwa kwa manati...nimecheka...kumcontrol binadamu ni kazi
 
Msubiri ujengwe kwanza.. mengine baadae hayo ya kirafiki waandikieni barua mueleze yenu. Endelea kuandika mnafikiria kufanya nini ukuta ukisimama.. inapendeza sana sana na msifikiri nao hawajui maujanja.
Wewe huelewagi achana na haya mambo!
 
Back
Top Bottom