CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
kilimo cha shairi inataka umakini,tyming ya mda,vifaa bm tractor zako mwenyewe ikiwezekana na mashne yakuvunia ngano yakwako mwenyewe hapo unaweza ukafanikisha kilimo chake.kilimo hiki kinalipa ukilima km large scale ndyo inalipa.wapo wabongo wanaolima maelfu ya ekari ya shairi,ila wanavifaa vyao wenyewe km combine harvestar na matrekta na wanamudu kilimo bila tatizo
Shayiri nijamii flan iv ya ngano ambayo hutumika sana kutengenezea Pombe, zao hili lina uhitaji mkubwa sana apa nchini kwetu hasa kwa viwanda vya bia kama vile TBL and SBL, naomba mwenye uzoefu katika hili atupe taarifa kutokana na maswali yafuatayo
1.Jins linavyo limwa
2.Gharama zake za kulimia,na kuuza pia
3.Na upatikanaji wa ardhi ya kulimia hasa katika mikoa niliyo itaja
Naomba kuwasilisha mada
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Unaweza tafuta aridhi mikoa mingine mkuu kwa sababu hata Iringa inalimwa, na Sumbawanga kama sikosei, inapenda sana sehemu za Baridi so jaribu maeneo yenye baridi kari hapo unaweza pata shamba ila kwa mikoa ya Arusha, kilimanjaro na Manyara ni vigumu sana labda ya kukodisha ila ya kutosha kabisa kilimo kikubwa hayapo. ni kweli huwa haitoshelezoi na wanaagiza kutoka South Africa au hata huko URUSI ambako ndo ipo ya nyingi
garama yakulima kukodi 100,000 kulima 40000 mbegu unapewa na kampuni,kupiga harow 30,000 dawa yakutu lita7000 dawa ya majani 5000,kuvuna 40000 total 222000.pato lako nigunia 15 eka.nakila gunia 90000 shambani.unatakiwa ulime eneo kubwa ili upate faida kubwa.HYO NI BASUTU MANYARA
Na kwa basutu si kweli kwamba gunia ni 90,000 shambani, inategemea na ubora wa shairi yako, unaweza ambiwa hata gunia ni 60,000
Isitoshe wanaonunulia shamban ni madalali, na hii inatokea pale mkulima analima lakin hana mkataba na hawa jamaa wa bia, kama unamkataba nao mara nyingi unapeleka Arusha NMC ndo magodown yao yalipo na bei huwa zinapangwa hapo.
kama moischa ni mbaya pluz umevuniwa vibaya pluz mambo mengine aiza mbegu ndogo hazina ubora inakula kwako
nimesema mbegu unapewa na kampuni kwa maana ya kurudisha mfano wakikukupa mbegu gunia 5 unarudisha gunia kumi.afu kingne suala la kupata pato ndogo ni ww na huduma zako.nitakupa mfano huu kuna mama amelima ekari 600 katika hzo ekari 80 alichelewa kupanda kwa hyo hzo 80 amekula hasara japo amehudumia ipasavyo.mara nyng kilimo ndyo utakavyohudumia na tyming ya mda wake ndyo chakuzingatia.Samahan mkuu ukisema mbegu unapewa na kampuni, watu watajua ni bure hapana. Unapewa mbegu kama mkopo utakapovuna wanak gunia zao za mbegu.
Na usiwadanganye watu Basutu ili upate gunia 15 umeenyeka kweli kweli, katika 100 wawili ndo wanaweza pata hizo gnia na si shamba lote linatoa uiano huo,
kuna viraka vingine hata mbili hupati.
Na kwa basutu si kweli kwamba gunia ni 90,000 shambani, inategemea na ubora wa shairi yako, unaweza ambiwa hata gunia ni 60,000
Isitoshe wanaonunulia shamban ni madalali, na hii inatokea pale mkulima analima lakin hana mkataba na hawa jamaa wa bia, kama unamkataba nao mara nyingi unapeleka Arusha NMC ndo magodown yao yalipo na bei huwa zinapangwa hapo.
kama moischa ni mbaya pluz umevuniwa vibaya pluz mambo mengine aiza mbegu ndogo hazina ubora inakula kwako
na kuna taarifa nimeisoma apa kenye magazine ya tbl wana sema wakulima wa shairi ktk mikoa ya arusha na kilimanjaro wana nufaika na zao hilo kwa kuweza kujenga nyumba za kisasa na zenye umeme wa solar pamoja na tanesco.
Sasa sijui ni kweli

Ni mtama mweupe au mwekundu? Ninavyo jua ni mtama mweupe na si mweipe bali kuna aina ya mbegu.
Mussa kule Monduli inalimwa haswaIvi NGANO kwa apa Tanzania inalimwa wapi?