Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

Kanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato. Ni taasisi ya kale yenye sheria zake (Canon Law), nidhamu ya juu, na muundo wa ki-hierarchical unaoheshimika duniani kote.

Maamuzi, mawasiliano na mahusiano yake hufuata taratibu zilizoainishwa wazi na zinazotambulika kimataifa.
 
Hiyo ilikua katoliki ya zamani ya sasa ni ya kibepari, wako after pesa, papa anafanya biashara ya kimataifa anamiliki hisa kwenye kampuni ya Tobbaco ana support maraisi fisadi na dictetor kwa masirahi ya kanisa sio kwa haki ya binaadamu.
 
Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
Masheikh gani wakubwa hao wanaripiti kwa papa ? Isiwe hata masheikh wakubwa hamuwajui, bali mnawajua masheikh maarufu.

Tuwekee ushahidi kama wewe ni mkweli.
 
Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
Bodaboda una jambajamba hapo baada kushiba kiporo cha kande

1769949614735.png
 
Kanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato. Ni taasisi ya kale yenye sheria zake (Canon Law), nidhamu ya juu, na muundo wa ki-hierarchical unaoheshimika duniani kote.

Maamuzi, mawasiliano na mahusiano yake hufuata taratibu zilizoainishwa wazi na zinazotambulika kimataifa.

AMEN
 
Back
Top Bottom