29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Amfanye nini?Putin is missing a point here. Inapaswa adeal na aliyeko nyuma ya ukraine. Be it usa england german or france
Naomba nione videos hizo au linkPutin is too kind
By the way mpaka sasa ni ndege 4 zimeonekana kwenye footages zikiwa zimeshambuliwa
Na atakua amechelewa aombee tu watoto wa Israel wasiombwe collabe hata kwa siriIpo siku putin atamkumbuka trump
Hapa ndipo na mimi naogopa pia.Kwa sasa Base ya Submarine inalipuka.
Ila kitachoikuta Ukraine baada ya hili, sijui
Putin is too kind
By the way mpaka sasa ni ndege 4 zimeonekana kwenye footages zikiwa zimeshambuliwa
Hizo ndege zilikuwa airport zimepaki?Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi
SSB chini ya Budanov ni habari nyingine
Israel bila marekan hachukui raundiNa atakua amechelewa aombee tu watoto wa Israel wasiombwe collabe hata kwa siri
Hujui kitu kaa ujifunze na kuelewa maana yakePutin ni mpumbavu mwenye uroho usio na maana
Badala ajenge nchi yake anapalamia nchi za watu bila hata kosa yaan
Kujiunga na umoja fulani wa mataifa, kwa nchi yeyote tangu lini imekuwa kero kwa jirani huyo?
Yaani mfano sis Tanzania kujiunga na NATO, Burundi atukasirikie?
Sawa mkuu, ila yule jamaa, hesabu zake ni batiliHujui kitu kaa ujifunze na kuelewa maana yake
Hii vita Trump alikuwa anaweza kuimaliza lakini vita inashikiliwa kwanza iendelee mdogo mdogo huku Putin akiangaliwa yeye na lengo lake huku Afrika kwasababu anataka kumwaga mboga za watu wengi kwa hiyo ili chanzo kisikosekane inabidi ya Ukraine yaendelee kuwepoHabari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi
SSB chini ya Budanov ni habari nyingine
Wewe unajua Toronto ilikuwa jimbo la canada? Marekani kanyanganya...na anataka Greenland ya denmarkPutin ni mpumbavu mwenye uroho usio na maana
Badala ajenge nchi yake anapalamia nchi za watu bila hata kosa yaan
Kujiunga na umoja fulani wa mataifa, kwa nchi yeyote tangu lini imekuwa kero kwa jirani huyo?
Yaani mfano sis Tanzania kujiunga na NATO, Burundi atukasirikie?
Acha uongo marekani kanyang'anya lini Toronto duuh Kuna mijitu miongo aisee🤣🤣🤣🤣Wewe unajua Toronto ilikuwa jimbo la canada? Marekani kanyanganya...na anataka Greenland ya denmark