Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika

Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi

SSB chini ya Budanov ni habari nyingine
Halafu habari isiwepo BBC!?
 
Putin is missing a point here. Inapaswa adeal na aliyeko nyuma ya ukraine. Be it usa england german or france
Kachelewa train la trump angemsikiliza babu msema hovyo yasingetokea haya halafu nimesoma mahali musk aliuza info za base zinazotumia starlink kwa sbu
 
Back
Top Bottom