Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote...
Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili.
Rais Volodymyr Zelensky alisema...
Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi
SSB chini ya Budanov ni habari...
Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel!!!🇮🇱
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu...
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu
Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa...
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin...
Jumatano ya 24th July 2024, ndege vita 4 zinazojulikana kama nuclear bombers za China na Russia ziliingia kufanya "strategic patrol" au "doria ya kimkakati" eneo la Alaska Air Defense Identification Zone (AADIZ) katika bahari ya Bering karibu na pwani ya Alaska Marekani.
Ndege 2 za China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.