GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,470
wale waliowadanganya watakuwa nao bega kwa bega (marekani na NATO) wamekaaa kando wameishia kwenye matamko tu wakati jamaa wanaendelea kuchezea vichapo..hapo busara itumike waongee wayamalize kama ndugu vinginevyo maafa yatakuwa makubwa zaidi na ukraine itapoteza zaidiebu cheki wanaume wanavyokufa hapa vitani, halafu wao wamejikausha kimya wakati wanakuwaga mstari wa mbele kudai haki ya 50/50
View attachment 2131541
"Kwa mara nyingine nawaomba majeshi ya Ukraine: msiruhusu wanazi kuwatumia watoto wenu, wake zenu na wazee wenu kama ngao ya mapambano" Putin alizungumza.Raia wote wapiganie nchi yao tena wanawake watangulizwe mbele katika vita
Kwakweli vita sio nzuri wala sio swala la kuombea litokee, ukiona hata kitu hata kuangalia kwa mwenzio hakifai basi vuta picha ikupate wewewale waliowadanganya watakuwa nao bega kwa bega (marekani na NATO) wamekaaa kando wameishia kwenye matamko tu wakati jamaa wanaendelea kuchezea vichapo..hapo busara itumike waongee wayamalize kama ndugu vinginevyo maafa yatakuwa makubwa zaidi na ukraine itapoteza zaidi
yaani hapa ni ile kitu wazungu wanaita "resistance is futile" jinsi wanavyozidi kupigana na warusi ndo jinsi nchi yao invyoharibiwa zaidi ndo jinsi watu wao wanavyokufa zaidi (of course kwa kiasi warusi nao watapoteza wanajeshi wao kadhaa)..waachane na upunguani wa NATO na marekani wakae mezani wayamalizeKwakweli vita sio nzuri wala sio swala la kuombea litokee, ukiona hata kitu hata kuangalia kwa mwenzio hakifai basi vuta picha ikupate wewe
Lakini sijui kwanini wengi humu wanawaona US kama loosers waliokwisha pigwa na Russia wakati hawajaingia kwenye mpambano wala hawajatoa shambulio na Russia haijawashambuliayaani hapa ni ile kitu wazungu wanaita "resistance is futile" jinsi wanavyozidi kupigana na warusi ndo jinsi nchi yao invyoharibiwa zaidi ndo jinsi watu wao wanavyokufa zaidi (of course kwa kiasi warusi nao watapoteza wanajeshi wao kadhaa)..waachane na upunguani wa NATO na marekani wakae mezani wayamalize
hapa hamna vita ya moja kwa moja kati ya urusi na marekani kwa kuwa ukraine sio mwanachama wa NATO. wanachofanya wamarekani ni kupenyeza silaha na vikosi maalum ukraine kutokea poland. Ila putin amebaini hilo na amesema popote atakapowakuta wanajeshi wa kigeni ndani ya ukraine anamalizaLakini sijui kwanini wengi humu wanawaona US kama loosers waliokwisha pigwa na Russia wakati hawajaingia kwenye mpambano wala hawajatoa shambulio na Russia haijawashambulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njia za nyasaInapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol [emoji379]
Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
Ndiyo 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njia za nyasa