Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

Chadema yako kimya tu nilishajaribu tundulissu angefungua kesi ICC did it ya nayo endelea ukraine
 
Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi

Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi.
Wanahatarisha maisha ya raia (wanawake).

Halafu raia/wanawake hao wakiuwawa na majeshi ya Russia, serikali ya Ukraine inalialia kuwa majeshi ya Russia yaua hadi wanawake (raia)!
 
Japo sura yake imejaa uoga, ila kuipigania nchi mpaka tone la mwisho la damu ndio uzalendo, I wish I could join them to fight this madman.
 
Inapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol [emoji379]

Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaa mbali wewee [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana.

Above all, kuna mambo yanaudhi sana lakini I will be ready to die for my nation where necessary.
 
Wanahatarisha maisha ya raia (wanawake).

Halafu raia/wanawake hao wakiuwawa na majeshi ya Russia, serikali ya Ukraine inalialia kuwa majeshi ya Russia yaua hadi wanawake (raia)!
Kuhatarisha vipi maisha ya wanawake?
Kwani wanaopaswa Kuhatarisha maisha yao ni wanaume tu?
Hao wanawake hawana haki ya kupigania nchi yao kama raia wengine wanaume?
Hapo ni mwendo wa 50/50 kila mmoja ashike gobole wapambane
 
Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaa mbali wewee [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana.

Above all, kuna mambo yanaudhi sana lakini I will be ready to die for my nation where necessary.
Yoo yoo micharazo yeah
Kaa mbali wewe wanaume Tunacharaza yeah
Muda wetu wewe yeah (huku narusha bomu)
 
Kuhatarisha vipi maisha ya wanawake?
Kwani wanaopaswa Kuhatarisha maisha yao ni wanaume tu?
Hao wanawake hawana haki ya kupigania nchi yao kama raia wengine wanaume?
Hapo ni mwendo wa 50/50 kila mmoja ashike gobole wapambane
Sawa,

Sasa mbona rais huyo (anayewaingiza raia/wanawake kwenye mapambano) analialia akitafuta huruma pale raia hao wanapobutuliwa kama wanajeshi wa Ukraine wanavyobutuliwa

SmartSelect_20220226-100552_Chrome.jpg
 
Inapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol 🔫

Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
🤣🤣🤣 Kazi ya kuilinda nchi ni ya jeshi na wanalipwa vizuri kabisa kwa kazi hiyo sasa habari ya wanaume wote kwenda vitani hata Mimi siiafiki kabisa. Kila mmoja afanye kazi yake bwana
 
Wanaume wengi wa Dar wasingeweza....kina mwijaku, babalevo,kumbuka..nk....wangepiga magoti, uyo mama jasiri kweli japo napinga vita hii
 
🤣🤣🤣 Kazi ya kuilinda nchi ni ya jeshi na wanalipwa vizuri kabisa kwa kazi hiyo sasa habari ya wanaume wote kwenda vitani hata Mimi siiafiki kabisa. Kila mmoja afanye kazi yake bwana
Muulize hata babu yako, wakati wa vita ya Kagera ilikuaje? Alafu urudi usome message yako
 
Back
Top Bottom