nishati ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa forodha kwa magari yanayotumia nishati ya umeme kushuka kutoka asilimia 25 hadi 10

    Serikali kupitia Hotuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 inapendekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa magari yanayotumia nishati ya umeme nchini. Ushuru huo unashushwa kutoka asilimia 25 ya sasa hadi asilimia 10 kwa magari yote yanayoingizwa nchini yaliyo chini ya makundi ya HS Codes...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali kupunguza ushuru wa forodha kutoka 25% hadi 10% kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vitakavyotumika katika vituo vya kuchaji magari yanayotumia umeme vinavyoingizwa nchini na kutambulika kwa HS Code 8504.00 Ambapo Katika...
  4. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shilingi bilioni 200 kuondoa kero ya nishati ya umeme Songwe

    Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme mkoani humo.
  6. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  7. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA yaendelea na uhamasishaji matumizi bora ya nishati ya umeme na uunganishaji wateja mkoa wa Kilimanjaro

    REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA KILIMANJARO 📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati safi 📌Wahimizwa kuhifadhi na kutunza mazingira 📌REA yahamasisha wananchi uunganishaji umeme Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea...
  8. Super Bowl

    JamiiForums Tanzania Nitumie aina gani ya umeme utakaonisaidia kuishi vizuri na familia bila bugdha

    Wajuvi wa mambo Mradi gani wa umeme utanisaidi kuishi vizuri na familia bila bugha.... Umeme wa Tanesco/REA Au Ninunue Generetor
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuunganisha umeme Afrika

    Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania yaahidi kuunganisha bara la Afrika kwa nishati ya umeme kupitia mradi mkubwa wa usafirishaji umeme unaohusisha ujenzi wa njia za usafirishajiumeme wa msongo wenye kilovoti 400 kutoka iringa hadi Sumbawanga na kuunganisha Tanzania na Zambia {TAZA}...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Nishati ya Umeme Wilaya ya Bariadi kwenye baadhi ya Taasisi za Serikali ni mbaya

    Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti. Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  12. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nishati ya umeme

    Tuliaminishwa kuwa ukosefu wa umeme unatokana na ukame wa muda mrefu hivyo mgao wa umeme utaendelea kuwepo. Wiki chache zilizopita mvua zimeanza kunyesha mito, mabwawa yamejaa maji lakini cha kushangaza bado tatizo liko palepale. Tumemchagua Mhe. Biteko (mchapa kazi) kusimamia Wizara ya...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae, lipo tatizo kubwa sana katika sekta ya nishati ya umeme hapa nchini kwetu Tanzania

    Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake ni kama aliona tatizo lilipokuwa, akachukua hatua na kulidhibiti na kukawa na hali ya utulivu ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  16. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa nishati ya umeme; Swali kwa TANESCO kuhusiana na mgao

    Nawasalimu na kazi iendelee.. Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo. Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  19. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni lini utaanza kufanya ziara kukagua usambazwaji wa umeme?

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo. Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
Back
Top Bottom