Dkt. Medard Kalemani ndiye aliyeiweza Wizara ya Nishati

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,399
15,977
Toka kufukuzwa kwa waziri huyu mtata Wizara hiyo ya Nishati haijawai kutuliaa tokea hapo kila kitu kilifurugika na kuaribika vibaya sana.

Ikumbukwe kuwa Dkt. Medard Kalemani ndie waziri pekee aliweza kudumu muda mrefu katka wizara hyo ya Nishati na kuiweza vizuri sana akishirikiana na Hayati Magufuli na Dkt. Tito Mwinuka

Dkt. Medard Kalemani anayo password ya wizara hiyo anaijuwa vizuri, kila njia ya wahuni waliopo hapo tanesco na wizarani anajuwa, wahuni wanaofanya kazi kuhujumu upatikanaji wa umeme na kusumbua watanzania na kumgombanisha na mama Samia na watanzania Dr kalemani anawajuwwa

Naomba Dkt. Medard Kalemani arudishwe wizrani hapo aweze kupambana na majizi na washenzi wanao hujumua shirika Hilo kubwa hapa nchini, mama naomba weka chuki pembeni fanya kazi na watu wenye akili timamu na wazoefu achana na kina biteko hao hawajui lolote kazi kupiga biti tu na kujiona Bora San ,kwa mfano leo amemfukuza mkurugenzi mkuu wa tanesco ndugu maharage chande kwenye mkutano wa jukwaa la Nishati Sasa Ni nn hyo amefanya mimi kwa Kweli mh biteko is a big NO NO hafai hafai anafaha kuwa waziri wa mifugo

Mimi Niko Hapa Dodoma najuwa Dkt. Medard Kalemani anaishi chamwino karibu na ikulu Kuna wakat nilikutana nae Hapa Nyerere square ktk sheli ya puma akibadili taeri za gari yake ya IST Ni mbuge msomi, pia amewahi kuwa mwanasheria wa wizara hyo hyo ya Nishati Kisha badaae akawa waziri wa Nishati Sina mashaka nae kbsa ,kalemani ndio anaweza kutusaidia kwa Sasa ktka swala la umeme hapa nnchi kwa kifupi Ana password ya wizara hyo

Katk ziara za mama Samia mbuge wa CCM aliweza kueleza jjnsi kero ya umeme ilivyo alisema umeme unakatika Mara 22 kwa siku mbili . jmn hi Ni nchi au kichekesho alfu ajabu mama hajajibu kero ya mbuge huyo badala yake amebaki kujishaua shau Kisha kafunga mkutano akakimbilia mkurunga

Juzi nilikuwa arusha, mji mkubwa kwa utalii Ila nilishangaa sana kuona umeme kukatika kwa takriban masaa 12 had 13 kwa siku.

Of course kwa dodoma umeme upo muda wote haukatiki katiki Kama uko mikoani ila solution ya hyo wizra anayo Dr ,kalemani Ni mchapa kazi ndie aliyepeleka umeme vijiji vyote hapa nchini na kubakisha vijiji 2077 tu Ila ajabu Hadi leo hvyo vijiji hafijafikiwa na umeme na hawata kaha wafikiwe kamwe

Naomba kaleamni arudishwe kweny wizara aweze kutusadia kupambana na miyeyusho iliyoko pale ktk wizara

Mwisho

Dkt. Medard Kalemani ni jembe ana elementary za jiwe kabsa anafaha mno katika wizara yenye miyeyusho Kama hyo ya Nishati

Nasemaje bila Dkt. Medard Kalemani hiyo wizara haitaka itulie hata baada ya bwawa la Nyerere kuisha Bado tutaletewa ngonjeraa tu
 
Kalemani wakati anapigwa chini, akili fupi wakishangilia mama anafungua nchi kwa kusafisha Sukuma gang wote na kuwarudisha kina Makamba na Nape.

Kalemani baba kataa usikubali kurudi Tanesco,body ya Tanesco itakufelisha na kuwatoa huwezi hao wamerudishwa kimkakati.
 
Ila Kweli ila jamaa aliiweza mno wizara hyo Sasa una mrudisha mramba tanesco unategemea nn kummmk

Kalemani tulia zako tu wahuni watakumaliza
 
Kalemani wakati anapigwa chini, akili fupi wakishangilia mama anafungua nchi kwa kusafisha Sukuma gang wote na kuwarudisha kina Makamba na Nape.

Kalemani baba kataa usikubali kurudi Tanesco,body ya Tanesco itakufelisha na kuwatoa huwezi hao wamerudishwa kimkakati.
Samia ni wa kukemea zaidi ya karipio la TEC.
anatuharibia nchi huku tukimchekea.

Anaendeleza siasa za hovyo hovyo, analipa chawa na wasanii badala ya kuhangaikia njia mbadala ya umeme.

Huyu mama ni wa kukemea hadharani labda atashtuka.

...nje ya mada...
Kikwete yupo UN kama nani?
 
Hivi Wizara ya Nishati ni umeme tu? Kwakifupi hata kipindi chake umeme ulikuwa wa mgao vizuri tu. Sema ile serikali ilikuwa no kutangaza.
 
Ninaye mwanasheria wa dharura usijsli.

Nchi inachezewa sana.. UN ndio marais hutengeneza ma connection yeye anaenda kusini na wasanii, safari isiyo na tija, blaablaa tu.

Au 2025 Msoga itakuja na kikaratasi tena?
 
Samia ni wa kukemea zaidi ya karipio la TEC.
anatuharibia nchi huku tukimchekea.

Anaendeleza siasa za hovyo hovyo, analipa chawa na wasanii badala ya kuhangaikia njia mbadala ya umeme.

Huyu mama ni wa kukemea hadharani labda atashtuka.

...nje ya mada...
Kikwete yupo UN kama nani?
Kama mkuda tu jitu zima halitaki kustaafu
 
Hpn acha uongo hakukuwa na tatizo la umeme kipindi Cha jiwe ,jiwe anakufatua Kama unaleta ujinga
Mgao ulikuwepo sana tu ndugu. Sema ulikuwa hautangazwi hata kidogo. Na maeneo ya Dar es Salaam ndio ulikuwa hauzimwi kwakuwa ukiituliza Dar es Salaam na Pwani kwa Ujumla umeituliza nchi.
Najua unabisha kwakuwa ni mahaba ya Mzee yanakusumbua.
Mlimlaumu Makamba mbona bado unakatika na Makamba hayupo?
 
Hivi Wizara ya Nishati ni umeme tu? Kwakifupi hata kipindi chake umeme ulikuwa wa mgao vizuri tu. Sema ile serikali ilikuwa no kutangaza.

Unataka kutuambiwa madhara ya mgaonwa umeme ni hadi utangaziwe au uambiwe kwamba umeme haupo?

Kipindi kile matatizo ya umeme yalipungua sana. Migao ya hovyohovyo haikuwepo. Sasa mkurugenzi anakwambia hakuna mgaonila Kuna upungufu wa umeme wakati maeneo mengi hayana umeme Kwa masaa 12.
 
Mgao ulikuwepo sana tu ndugu. Sema ulikuwa hautangazwi hata kidogo. Na maeneo ya Dar es Salaam ndio ulikuwa hauzimwi kwakuwa ukiituliza Dar es Salaam na Pwani kwa Ujumla umeituliza nchi.
Najua unabisha kwakuwa ni mahaba ya Mzee yanakusumbua.
Mlimlaumu Makamba mbona bado unakatika na Makamba hayupo?
Nimemlaumu makamba wapi nasemaje Bora hata huyo makamba kuliko huyu wa Sasa HV wa miemko
 
Back
Top Bottom