Mkoa wa Kigoma kukusanya 10 bilioni kwa mwaka ni aibu

Rafa kilenza

Member
Jan 23, 2017
32
30
Kikao maalumu cha RCC mkoa wa Kigoma kimefanyika jana tar 17/ 03/2017
Kupitia kikao hicho wameonesha kwamba kwa bajeti ya mwaka wa fedha July 2017 to June 2018( financial year 2017-2018)

Mkoa wa kigoma wenye jumla ya wilaya nane utakusanya mapato ya ndani( domestic revenue) kiasi cha Tsh 10,205, 222,000/=
Kwa maneno ni bilioni kumi, milioni mia mbili na tano na laki mbili ishirinii na mbili tu

Katika makusanyo hayo manispaa ya kigoma ujiji ndio itakayokusanya fedha nyingi kuliko halmashauri zote ikifuatiwa na halmashauri ya wilaya ya uvinza

Kigoma ujiji itakusanya bilion mbili na milion mia tatu Tsh 2,344,864,000/=
Wakati halmashauri ya Uvinza itakusanya bilion mbili na milion mia mbili sitini na mbili Tsh 2,262,299,00/=

Hii ina maana kwamba kwa mwezi mkoa wa kigoma unakusanya kiasi cha milion mia nane hamsini na laki nne Tsh 850
Na kwa siku mkoa mzima unakusanya Tsh 28m

Lazima sasa viongozi wa mkoa wa kigoma wakiwemo wabunge wote wajiulize sasa Kigoma inakwama wapi na sehemu gani na kwa sababu zipi?
Haiwezekani mkoa wenye wilaya nane ukusanye bilioni kumi kwa mwaka

Kigoma kuna ziwa Tanganyika, tuna mto malagarasi, kuna ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha michikichi, kahawa na mahindi
Kigoma tuna bandari kubwa kabisa ambayo inaonganisha Tanzania na Burundi , Congo na Zambia

Kwa kutumia ziwa Tanganyika tu mkoa unaweza kukusanya sio chini ya bilioni kumi kwa mwaka kama tutatumia hili ziwa kwa kilimo cha umwagiliaji na uvuvi
Ziwa Tanganyika likitumika ipasavyo linaweza kutusaidia sana hasa kwenye swala la kuongeza mapato ya mkoa

Mto malagarasi kuna bonge zuri sana la kilimo ambalo linaweza kutumia haswa kwenye kilimo cha umwagiliaji kwa vipindi vyote vya mwaka
Kupitia hili bonde mkoa wa kigoma unao uwezo wa kuuza chakula kwa mikoa mingine yenye upungufu wa chakula na mvua,

Lakini hili halifanyiki na wala hakuna viongozi wanaoliona hili
Tukiboresha sekta ya uvuvi katika ziwa Tanganyika itasaidia sana kuongezeka kwa mapato ya mkoa, Hakuna asiyejua hili

Ni lazima sasa bonde la mto ruiche litumike ili lisaidie kuongeza mapato ya mkoa. Bonde hili likitumika ipasavyo linaweza kuchangia sio chini ya 10bilion kwa Mwaka

Bonde hili litumike kwa ajili ya kilimo cha mpunga na bahadhi ya mazao yanayoitaji maji mengi. Hakuna haja ya kutafuta mchawi ni kuamua tu na kujipanga

Mkoa wa kigoma una pakana na nchi karibia tatu, Tunashindwa kutumia mipaka hii kibiashara kabisa. Leo hii Tunduma inakusanya sana mapato kwa sababu ya kutumia mpaka wa Tunduma kwa maslahi ya kibiashara tu

Kigoma ingeweza kuutumia mpaka wake na Burundi na Congo kwa kuzitumia hizo nchi kuwa sehemu za kuuzia mazoea yao ya chakula maana kule wao hawalimi ni vita tu. Lakini hilo halifanyiki
Tuna eneo zuri sana la kagera nkanda ni eneo lenye rutuba nzur sana ya kilimo

Kigoma kuna hifadhi za taifa za mahale na gombe lakini mchango wake ni mdogo sana katika mapato ya mkoa. Tatizo ni moja tu mkoa umeshindwa kutangaza hivi vivutio vyake inaitajika matangazo ya kutosha sana kuhusu hivi vivutio vya watalii

Mkoa wa Arusha unategemea sana mbuga za wanyama katika kukuza mapato ya mkoa na pia wanatangaza sana vivutio vyao. Hapa Tanzania kuna watu hawajui kama kigoma kuna hifadhi za taifa maana hazitangazwi. Tukitangaza vyema hivi vivutio vina uwezo wa kuchangia si chini ya 5bilion kwa mwaka lakini tukiendelea kukaa kimya tutazidi kuwa mkoa masikini kila siku

Ni lazima sasa kuwe na chombo cha Regional Economic strategic plan na hiki chombo kiwe na kazi moja kubwa ya kutafuta vyanzo vya kudumu vya mapato ili mkoa uache kutegemea fedha za serikali kuu kila wakati

Ni lazima viongozi wa mkoa wawe wabunifu sasa kuliko kuanza kulia lia na kusubilia fedha kutoka serikali kuu. Lazima tujue serikali kuu ina mambo mengi sana sasa tukiwaachia wao watusaidia adi fedha za kujenga barabara za kilimita tano basi kamwe hatuwezi kupata maendeleo tutabaki kuwa masikini

Kigoma inapaswa kukusanya zaidi ya bilion 50 kwa mwaka na sio bilioni kumi kama sasa. Hapa Tanzania kuna wilaya zinakusanya zaidi ya milion mia nane kwa mwezi na hiyo ni wilaya moja tu lakini kigoma kama mkoa wenye wilaya nane unakusanya milion mia nane

Ni aibu kubwa sana kwa mkoa wenye kila kitu kuwa masikini
Kigoma ina kila kitu lakini bado ni mkoa masikini kabisa hapa Tanzania yaani tunazidiwa adi mkoa wa Singida? Singida haina kitu ni mkoa wenye jangwa lakini inakusanya zaidi ya kigoma

Hii ni aibu kubwa sana kwa mkoa wetu

RAPHAEL LUKINDO
0765499321
 
Kwakweli hata mimi huwa nashangaa,yani mkoa unazungukwa na kila kitu lakini maskini. Niliwahoji rafiki zangu waha,wakasema tatizo ni uchawi. Hata kagera nayo inashangaza kuwa maskini.
 
Kikao maalumu cha RCC mkoa wa Kigoma kimefanyika jana tar 17/ 03/2017

Kupitia kikao hicho wameonesha kwamba kwa bajeti ya mwaka wa fedha July 2017 to June 2018( financial year 2017-2018)
Mkoa wa kigoma wenye jumla ya wilaya nane utakusanya mapato ya ndani( domestic revenue) kiasi cha Tsh 10,205, 222,000/=
Kwa maneno ni bilioni kumi, milioni mia mbili na tano na laki mbili ishirinii na mbili tu

Katika makusanyo hayo manispaa ya kigoma ujiji ndio itakayokusanya fedha nyingi kuliko halmashauri zote ikifuatiwa na halmashauri ya wilaya ya uvinza

Kigoma ujiji itakusanya bilion mbili na milion mia tatu Tsh 2,344,864,000/=
Wakati halmashauri ya Uvinza itakusanya bilion mbili na milion mia mbili sitini na mbili Tsh 2,262,299,00/=

Hii ina maana kwamba kwa mwezi mkoa wa kigoma unakusanya kiasi cha milion mia nane hamsini na laki nne Tsh 850
Na kwa siku mkoa mzima unakusanya Tsh 28m

Lazima sasa viongozi wa mkoa wa kigoma wakiwemo wabunge wote wajiulize sasa Kigoma inakwama wapi na sehemu gani na kwa sababu zipi?
Haiwezekani mkoa wenye wilaya nane ukusanye bilioni kumi kwa mwaka

Kigoma kuna ziwa Tanganyika, tuna mto malagarasi, kuna ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha michikichi, kahawa na mahindi
Kigoma tuna bandari kubwa kabisa ambayo inaonganisha Tanzania na Burundi , Congo na Zambia
Kwa kutumia ziwa Tanganyika tu mkoa unaweza kukusanya sio chini ya bilioni kumi kwa mwaka kama tutatumia hili ziwa kwa kilimo cha umwagiliaji na uvuvi
Ziwa Tanganyika likitumika ipasavyo linaweza kutusaidia sana hasa kwenye swala la kuongeza mapato ya mkoa

Mto malagarasi kuna bonge zuri sana la kilimo ambalo linaweza kutumia haswa kwenye kilimo cha umwagiliaji kwa vipindi vyote vya mwaka
Kupitia hili bonde mkoa wa kigoma unao uwezo wa kuuza chakula kwa mikoa mingine yenye upungufu wa chakula na mvua, Lakini hili halifanyiki na wala hakuna viongozi wanaoliona hili
Tukiboresha sekta ya uvuvi katika ziwa Tanganyika itasaidia sana kuongezeka kwa mapato ya mkoa, Hakuna asiyejua hili

Ni lazima sasa bonde la mto ruiche litumike ili lisaidie kuongeza mapato ya mkoa
Bonde hili likitumika ipasavyo linaweza kuchangia sio chini ya 10bilion kwa Mwaka
Bonde hili litumike kwa ajili ya kilimo cha mpunga na bahadhi ya mazao yanayoitaji maji mengi
Hakuna haja ya kutafuta mchawi ni kuamua tu na kujipanga

Mkoa wa kigoma una pakana na nchi karibia tatu, Tunashindwa kutumia mipaka hii kibiashara kabisa
Leo hii Tunduma inakusanya sana mapato kwa sababu ya kutumia mpaka wa Tunduma kwa maslahi ya kibiashara tu
Kigoma ingeweza kuutumia mpaka wake na Burundi na Congo kwa kuzitumia hizo nchi kuwa sehemu za kuuzia mazoa yao ya chakula maana kule wao hawalimi ni vita tu
Lakini hilo halifanyiki
Tuna eneo zuri sana la kagera nkanda ni eneo lenye rutuba nzur sana ya kilimo

Kigoma kuna hifadhi za taifa za mahale na gombe lakini mchango wake ni mdogo sana katika mapato ya mkoa
Tatizo ni moja tu mkoa umeshindwa kutangaza hivi vivutio vyake inaitajika matangazo ya kutosha sana kuhusu hivi vivutio vya watalii
Mkoa wa Arusha unategemea sana mbuga za wanyama katika kukuza mapato ya mkoa na pia wanatangaza sana vivutio vyao
Hapa Tanzania kuna watu hawajui kama kigoma kuna hifadhi za taifa maana hazitangazwi
Tukitangaza vyema hivi vivutio vina uwezo wa kuchangia si chini ya 5bilion kwa mwaka lakini tukiendelea kukaa kimya tutazidi kuwa mkoa masikini kila siku

Ni lazima sasa kuwe na chombo cha Regional Economic strategic plan na hiki chombo kiwe na kazi moja kubwa ya kutafuta vyanzo vya kudumu vya mapato ili mkoa uache kutegemea fedha za serikali kuu kila wakati
Ni lazima viongozi wa mkoa wawe wabunifu sasa kuliko kuanza kulia lia na kusubilia fedha kutoka serikali kuu
Lazima tujue serikali kuu ina mambo mengi sana sasa tukiwaachia wao watusaidia adi fedha za kujenga barabara za kilimita tano basi kamwe hatuwezi kupata maendeleo tutabaki kuwa masikini

Kigoma inapaswa kukusanya zaidi ya bilion 50 kwa mwaka na sio bilioni kumi kama sasa

Hapa Tanzania kuna wilaya zinakusanya zaidi ya milion mia nane kwa mwezi na hiyo ni wilaya moja tu lakini kigoma kama mkoa wenye wilaya nane unakusanya milion mia nane

Hakuna haja ya kukusanya mapato coz mkoa wenyewe maskini 50%,tunaelekea wapi na kizazi kijacho sijui watajivunia lipi juu yetu .I regret for Kigoma to be part of Tanzania
 
Back
Top Bottom