wilaya ya ilemela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa

    Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Maji hayatoki, hali inayotulazimu kununua ndoo moja kwa Shilingi 500 au kutafuta maji kwenye visima. Kinachotuumiza zaidi ni kwamba tunaiona Ziwa Victoria...
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKOSEFU WA MAJI WILAYA YA ILEMELA

    Wilaya ya ILEMELA kuna shida ya maji karibiawiki mbili sasa
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Ilemela hatuna maji kwa wiki 2 sasa na tuko karibu na ziwa Viktoria

    Wilaya ya Ilemela inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani wiki mbili sasa. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buswelu, Meko, National, Nyasaka, Nyamadoke, Bujingwa na Buzuruga. Cha kushangaza ni kwamba Wilaya ya Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria, lakini wananchi wamekuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC na Serikali za Mtaa, Wilaya ya Ilemela mmeshindwa kudhibiti kelele?

    Mimi ni mkazi wa Nyasaka, kata ya kawekamo, wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza. Kero yangu kubwa ni wimbi la kelele zilizopitiliza kwenye makazi ya watu zinatoka kwenye nyumba za ibada, sehemu za starehe na wafanya promotion za biashara na makazi ya watu wanapofanya sherehe za harusi. Imekuwa...
Back
Top Bottom