Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Kabla hujafikiria wengine jiulize wewe kwanza. Ukijianalyse kwa nini humiliki hivyo vyote then utapata jibu. Ila pia kumbuka hakuna anaezaliwa na hivyo vitu. Hivyo na wewe utavipata tu ukivitafuta.
 
Doppla. Ulisoma physics A level ? Kama ni kweli niruhusu nikupe mbinu
 
Matajiri wa hum!u wacha wa kubeze mkuu pole sana

Mimi huwa nawaza hapa duniani hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kusoma kutafuta pesa na kumiliki mali na mwisho kufa unazikwa kama ulivyozaliwa,kaburini buendi na chochote.
Usikubali kuonewa lakini usitazame mali za watu kwa jicho la husda.

Amini kila mtu anakusudi lake kuwepo hapa duniani
 
Hakuna anaemiliki hata nyumba 3

Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura

Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili

Hakuna hata anayemiliki kampuni

Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini

Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida

Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani

@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?

Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Kama huwezi kupata kwa halali, unaweza kuiba au hata ukazulumu cha msingi ufikie malengo yako.
 
Thanks for encouragement
But feeling trapped in the cycle

upo trapped because you want it mkuu. It's not all about the history, its about YOU..

angalia tu assocciations zako and make sure unakuza game yako ili upate watu ambao unatamani kuwa kama wao katika cycle yako. Mbona inawezekana, ukikaa na watu wenye background nzuri au mbovu kama yako lakini bado wanasaka life na wanafanikisha in real life lazma na wewe lazma utajua ABC's zao na utabadili mindset yako (which is your greatest problem). TRUST ME ukiwa willing kubadili cycle yako na ukakubali kuacha tabia zozote toxic ili ujifunze kutoka kwao. you will be different

You are not your past, you are your future mkuu so, use your present well mkuu its possible
 
Hongera kwa kuanza kuhoji na kuwa na mawazo ya aina hiyo. Kama wengine walivyoeleza, anza wewe kuvunja jedwari mliomo. Fanya yote chanya, kuwa mentor, somesha kila anaeibuka mwenye akili, bila kujali, wa nani wala nani, familia kama hizo vijicho Ving, lakini pia kufunikwa tu na Giza shetani kazini,mizimu nk. Hivyo, kuwa MTU wa sala sana, piga kazi, upendo kwa wote jizuie uchoyo na ubinafsi nakwambia ndani ya 10 years utaona nuru kuu! Ingawa si lazima uyaone yote kama unavyoyatamani ulaya nk, Wewe somesha tu MTT wa shangazi, mjomba, kaka, Dada, baba mdogo, just do it. Iwapo Mungu, kakupa enlightenment hiyo, na 'Ukakubali', hakuna atakaye kuzuru! IPO mada ya mshana, humu,kila familia uinuliwa mtu kuinasua japo atakutana na vikwazo, but vishinde na utashinda. We were in same cage, but almost the task is a half done! Thank you Jusus!
 
Njo maisha hayo mkuu! we vita vita tu humuno jukwaani kuchaamburia neno.
 
Kabla hujafikiria wengine jiulize wewe kwanza. Ukijianalyse kwa nini humiliki hivyo vyote then utapata jibu. Ila pia kumbuka hakuna anaezaliwa na hivyo vitu. Hivyo na wewe utavipata tu ukivitafuta.
Asante
 
Penye nia pana njia, fanya bidii katika shughuli zako huku ukimwomba Mola wako akubariki. Kukata tamaa hakutakusaidia chochote, idharau aibu ufanye kazi yoyote iliyohalali inayoweza kukuingizia kipato huku ukiwa na nidhamu ya matumizi yako.
Asante mkuu
 
Matajiri wa hum!u wacha wa kubeze mkuu pole sana

Mimi huwa nawaza hapa duniani hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kusoma kutafuta pesa na kumiliki mali na mwisho kufa unazikwa kama ulivyozaliwa,kaburini buendi na chochote.
Usikubali kuonewa lakini usitazame mali za watu kwa jicho la husda.

Amini kila mtu anakusudi lake kuwepo hapa duniani
Asante
Usijali wengi humu ndani tunafanana tu
Tanzania hii tunaijua
 
Hahaha wewe unataka kuwa potosha, Yesu hakuwa hata na baiskeli, mwenyewe alitumia punda. Sasa wakienda kwa Yesu, hata nyumba moja wanweza kuuza. Unafahamu siku hizi kule kuna michango mingi kujenga makanisa kuliko kumsaidia mgonjwa hospitali?
Mkuu unajua kutisha watu
 
Back
Top Bottom