Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Ni kuwa na malengo kwanza na kufanya utafiti kwa kitu unachotaka kukifanya.

Daima sikiliza na kujifunza
Always ask
Focus
Kama ni biashara ikuze taratibu
Mafanikio hayaji kwa siku moja bali inataka subra na kujituma
motivation speakers na utajiri wa kwenye makaratasi
 
Kwamba tatizo la ukoo wenu maji makavu. Kwanini usinitahidi wewe ili upate kuwasaidia wenzako?
 
Kuwa na nyumba ni uoga wa maisha,kodi nyumba akili ichanganye.
Nalog off
 
motivation speakers na utajiri wa kwenye makaratasi
Yaani hawa jamaa wanajiota " motivational speakers " wanafiksi hatari yaani inabdi uwe smart kuchangunua hoja zao la sivyo watakupoteza.
 
Hongera kwa kuanza kuhoji na kuwa na mawazo ya aina hiyo. Kama wengine walivyoeleza, anza wewe kuvunja jedwari mliomo. Fanya yote chanya, kuwa mentor, somesha kila anaeibuka mwenye akili, bila kujali, wa nani wala nani, familia kama hizo vijicho Ving, lakini pia kufunikwa tu na Giza shetani kazini,mizimu nk. Hivyo, kuwa MTU wa sala sana, piga kazi, upendo kwa wote jizuie uchoyo na ubinafsi nakwambia ndani ya 10 years utaona nuru kuu! Ingawa si lazima uyaone yote kama unavyoyatamani ulaya nk, Wewe somesha tu MTT wa shangazi, mjomba, kaka, Dada, baba mdogo, just do it. Iwapo Mungu, kakupa enlightenment hiyo, na 'Ukakubali', hakuna atakaye kuzuru! IPO mada ya mshana, humu,kila familia uinuliwa mtu kuinasua japo atakutana na vikwazo, but vishinde na utashinda. We were in same cage, but almost the task is a half done! Thank you Jusus!
Poor advise, sasa anasomesha vipi wakati hata yeye kula kulala.. your idiot
 
Tafuta aliyezubaa zubaa kwenye familia mtoe kafara ajiri ya kuikomboa familia acha ubwege familia mzima shida shauri yako watakuwahi wewe changamkia fursa hiyo

Chagua zambi moja kubwa ambayo hata siku ukifa unajua kabisa kama mungu yupo hii ni zambi ambayo majibu yake ninayo natamjibu mungu acha kuishi kizembe yani upo unaogopa zambi usizizijua tafuta zambi kubwa usaidie familia

Ushauri huu unatolewa kwa pesa wewe nmekupa bure utafakari

Mungu hakuna anayemjua acha uzembe

Mungu nisamehe sikukufuru namtoa tongo tongo uyu kijana
 
Hahahahaha!!! Kwamba atawahiwa yeye
 
Hahahahaha!!! Kwamba atawahiwa yeye
Ndio atakuwa kijana mwingine kwenye familia ataliona gape atamua kuitumia fursa anapita naye mwana JF mwenzetu tunamkosa hapa 😀😀😀 kwaiyo aiwahi fursa asione familia x zinakula maisha kuna watu washafanya zambi ajiri ya kuisaidia familia sasa yeye anazubaa zubaa tu

Kumiliki pesa si mchezo
Kumiliki cheo si mchezo
Unaitaji umuuzi mtu anayeitwa mungu
Huo ndio ukweli tusipindishe pibdishe maneno bila kumuuzi mungu pesa utapata utakula kesho njas ipo pale pale ukiona wewe unazari unapata pesa tu tulia wapo watu uko nyuma waliokusafishia njia ila wewe ujui, walitoa kafara walifanya mambo ya ajabu ajiri ya kizazi chake

Sasa ukiona familia yako mpaka dakika 90 matokeo ni tatu bila tambua hakuna mtu aliyefanya harakati za kuwakomboa so tumia fursa hiyo
 
Ndo ile falsa
"Woga wako ndiyo umasikini wako"
Hahaha bhita ni bhita, huwezi kupigana na umasikini ukiwa unahold technique zingine, ingia mzima mzima outcome baadaye. Iba, dhulumu fikia malengo yako kwanza. Kisha tulia.
Matajiri kibao walianza na mitaji feki, yani ama drugs, wizi, dhuluma kisha wakaenda legit.
Uzuri ni kwamba in the end Mungu anasamehe ukitubu, and i like that about him, hana kinyongo.
 
Mkuu unajua kutisha watu
Hahaha nawaambia ukweli, Yesu hakuwahi kumiliki mali, jamaa anataka mali, utamwambiaje aende kwa Yesu?! Mpe mifano inayompeleka kufikia malengo yake, sio otherwise.
Mimingemshsuri, akiona hafikii malengo kwa kazi yake au biashara ya kawaida,size, unga, adhulumu, hata akuweza aibe afikie malengo yake. Usiwaze outcome vitani, kule kuna miwili tu, ni ama kill or get killed.
Hahaha sitishi bali natoa solution to the problem.
 
Tafuta aliyezubaa zubaa kwenye familia mtoe kafara ajiri ya kuikomboa familia acha ubwege familia mzima shida shauri yako watakuwahi wewe changamkia fursa hiyo

Chagua zambi moja kubwa ambayo hata siku ukifa unajua kabisa kama mungu yupo hii ni zambi ambayo majibu yake ninayo natamjibu mungu acha kuishi kizembe yani upo unaogopa zambi usizizijua tafuta zambi kubwa usaidie familia

Ushauri huu unatolewa kwa pesa wewe nmekupa bure utafakari

Mungu hakuna anayemjua acha uzembe

Mungu nisamehe sikukufuru namtoa tongo tongo uyu kijana
Mmmh
Watu mna roho ngumu!!
 
Hahaha nawaambia ukweli, Yesu hakuwahi kumiliki mali, jamaa anataka mali, utamwambiaje aende kwa Yesu?! Mpe mifano inayompeleka kufikia malengo yake, sio otherwise.
Mimingemshsuri, akiona hafikii malengo kwa kazi yake au biashara ya kawaida,size, unga, adhulumu, hata akuweza aibe afikie malengo yake. Usiwaze outcome vitani, kule kuna miwili tu, ni ama kill or get killed.
Hahaha sitishi bali natoa solution to the problem.
Mbona hata hao wauza unga wengi pia wamechoka tu?
 
Ndio atakuwa kijana mwingine kwenye familia ataliona gape atamua kuitumia fursa anapita naye mwana JF mwenzetu tunamkosa hapa 😀😀😀 kwaiyo aiwahi fursa asione familia x zinakula maisha kuna watu washafanya zambi ajiri ya kuisaidia familia sasa yeye anazubaa zubaa tu

Kumiliki pesa si mchezo
Kumiliki cheo si mchezo
Unaitaji umuuzi mtu anayeitwa mungu
Huo ndio ukweli tusipindishe pibdishe maneno bila kumuuzi mungu pesa utapata utakula kesho njas ipo pale pale ukiona wewe unazari unapata pesa tu tulia wapo watu uko nyuma waliokusafishia njia ila wewe ujui, walitoa kafara walifanya mambo ya ajabu ajiri ya kizazi chake

Sasa ukiona familia yako mpaka dakika 90 matokeo ni tatu bila tambua hakuna mtu aliyefanya harakati za kuwakomboa so tumia fursa hiyo
Pumba
 
Je ni kwamba man angalau lodge au gari moja moja? Naona unalalamika kuwa hamna tatu.
 
Back
Top Bottom