Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Nyumba tatu zote za nini?Mtu anaweza kuwa na nyumba moja au asiwe nayo kabisa amepanga tuu na ana uhakika wa maisha mpaka kufa kwake, siyo wote wanafikiria kama wewe, kuna watu wanapanga apartment dola 2000 kwa mwezi na hawana nyumba
Nimeandika kwa lugha ya picha
But Mantic ni kuwa kutoboa bado sana
 
Wana faida gani sasa duniani? Hawa lazima wametopea kwenye uchawi ndio Maana hata ishu ya msosi wanakuangalia kwa jicho baya
Hujawaumba mkuu
Lazima dunia inapata faida na uwepo wao
 
Hakuna anaemiliki hata nyumba 3

Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura

Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili

Hakuna hata anayemiliki kampuni

Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini

Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida

Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani

@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?

Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
kwanini usianze wewe kuonyesha tofauti au kufungua njia.
 
Mkuu ni kawaida tu hiyo haswa Kama umezaliwa katika sehemu ambazo kwao elimu na biashara vilikuwa ni vitu extra.

Mimi moja ya wazazi, kwao walikuwa wanakaa nyumba ya tope na maezekeo ya kizamani. Mvua ikinyesha ni kisanga ila Ni mtu mmoja tu ndiye aliyevunja hiyo laana ya umaskini hadi kizazi chetu tuna unafuu. Kuliona Hilo suala Kama Ni laana bhasi jua ndio jukumu lako kulibadilisha.. Historia hubadilishwa tu
Thanks for encouragement
But feeling trapped in the cycle
 
Hakuna anaemiliki hata nyumba 3

Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura

Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili

Hakuna hata anayemiliki kampuni

Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini

Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida

Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani

@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?

Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Change ianzie kwako mkuu
 
Nendeni kwa Yesu
Amekosa fursa kuonana nae mpaka karudi kwa baba
Rip.jpg
 
Back
Top Bottom