Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Kuna koo zenye baraka na koo za nuksi ....unapozaliwa unarithi laana au baraka za mababu... sasa inategemea hawa mababu zako waliishije wakati wa uhai wao...Je walimtumikia nani Shetani ama Mungu.

Laana hutambaa hadi kizazi cha nne yaani takribani miaka 400 hivi.

Kuvunja laana za uko ni kazi ngumu sana; kwa kukusaidia tu jaribu kutafuta chimbuko la ukoo wenu ili ufanye misa ya mizimu ya kwenu yaani Tambiko.

Njia nyingine unahitaji roho mtakatifu kwa kutumia damu ya Yesu!! Hapa napo si kazi rahisi maana mizimu nayo inapenda kuabudiwa kwa hiyo itakuwekea vikwazo... sasa kuishia kwenda kanisani bila IMANI thabiti ndani yako ni kupoteza muda..

Kifupi mna kazi kubwa mno mbele yenu ya kujitakasa nyie wana ukoo.
Yesu ameletwa juzi tu Afrika,kabla ya hapo watu hawakuwa matajiri?Acheni kupotosha.Wachina,Warusi hawana yesu wala Muhammad lakini wanaishi konki konk fire,wanatukopa mpaka Afrika.Umasikini wa familia unatokana na unamasikn wa nchi.Watanzania 90% hali ni tete na waliopo maofisini ni kuiba na kufoji na wafanyabiashara ni wezi,wadhurumati,kafara nk.Na ndio maana mmilki wa biashara akifa na biashara zinakufa.
In Tanzania kama huna silka ya wizi njia yako ni ngumu.
Kuna watu magu alipoziba mianya ya wizi wamerudi 0 kwa kuwa walitegemea wizi.
JF limekua jukwaa la hovyo,watu wanadhihak watu badala ya kuwasaidia watu mawazo na ushauri.Ukienda jukwaa kama QUORA huwezi kuta dhihaka kama za JF na hili pengine ni sababu ya wtz kuendelea kuwa masikini kwa kuwa wanakosa sehemu za ushauri mzuri.JF haikuanzishwa kudhihaki watu na kuwatukana watu bali kutuunganisha wtz kuondokana na sintofahamu nyingi,tubadirike.
 
Katika MAZINGIRA yaleyale kwa nini ukoo A unafakiwa na ukoo B una struggle? hii ndiyo point ya mtoa hoja.
 
Hakuna anaemiliki hata nyumba 3
Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura
Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili
Hakuna hata anayemiliki kampuni
Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini
Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida
Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani
@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?
Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
****************************
NILIYOJIFUNZA SO FAR:
Asanteni wakuu kwa michango mbalimbali mliyoitoa kuhusu uzi wangu huu
Asante kwa wote walioshauri nijitoe muanga kuthubutu kubadiri hali hii ili kuvunja this poverty cycle.
Asante pia kwa wale ambao wametoa hatua za kufanya ili kupata suruhisho ya changamoto hii ya ukoo wangu ikiwemo kumrudia Mungu , kufanya kazi kwa ubunifu na bidii .
Wengine wameenda mbali wakinitaka nirudi kwa mizimu kuombo rehema na kusafishwa nyota kwa ajili ya ukoo, na wengine wameenda mbali zaidi kunitaka niwe jasiri nitafute mtu wa kumtoa kafala au kupiga deal za kuuza unga ama ujambazi . msingi wa hoja zao nikuwa maisha ni vita hakuna sababu ya kuchagua strategy.
Ukiachana na wale waliokuwa wana sympathyse about my situation group la wale wanaoamini mafanikio hayaji kiurahisi na kizembe ndio wanaonyesha kuwa bold na msimamo wao ikionyesha ndiyo maisha waliyoyapitia au wameyashuudia kwa jamaa zao.
My personal experience kwa Miaka yote nimefunzwa kuwa haki itaniinua na kunifanikisha. Kwamba bidii na njia halali za utafutaji ndo nguzo ya mafanikio.
Je mtazamo huu nimedanganywa?
Am I living a life full of lie?
Wakuu!! ebu tupeni ushaidi hivi maisha ya utafutaji bila rough Kuna kutoboa kweli ili tupate experience ya life Kama uzi wangu ulivyobainisha?
Karibuni kwa michango Zaidi
duu mkuu anza kwanz we

Kila la kher
 
Mkuu ulisahau kitu hivi kwenye ukoo wenu kuna hata mtu mmoja aliyewahi kufanya press conference?
 
Back
Top Bottom