Na nyie mmejipangaje?Mm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
You have nailed it. Hii ndio huwa inanisababisha naona kama Vijana wa huu mji ni wavuvi mno!!!Kijana anapambana na wamama watu wazima na wazee ili akakae kwenye mwendo kasi wakati haizidi dakika 35!! Hapa ndio pananipaga wasiwasi kila siku!!! Labda ni hivi visupu vya pweza, vichipsy mayai na haya mahindi choma wanayokula na pilipili ndi yameharibu akili na nguvu.WANAUME WA DAR WANAJUA KUGOMBANIA PAMOJA NA WAJAWAZITO, WAZEE NA WANAWAKE KTK MABASI YA MWENDO KASI, NI AIBU SANA UKIWAONA WANAVYOWASUKUMA WAMAMA, WANAWAKE, WAZEE NA WATOTO KISA KUWAHI TU SITI ETI HAWAWEZI SIMAMA KWA DK 35 TU, HUWA NAKAA PEMBENI NA KUWAANGALIA.
MIMI WA DAR ILA NIKO BADO NA UJASIRI WANGU WA KWA BABU.
Very trueSikuhizi hao mademu wa nanjilinji ndio wakuwadanganya na visuprise kama hivyo.
Kama umeshindwa kupigana nakushauri lala darini.Mpaka umeme wametukatia huku.nasikia wanataka kuingia nyumba hadi nyumba .kweli tuna kazi wiki hii sisi wakazi wa mombasa/gongolamboto itabidi tupambane tu na hali yetu maana Sirro ametukataa
Mbona upo Tegeta nakuona.Wanaume wa Dar wanajua kula chipsi tu kupambana hawawezi
Sasa utamlinda vipi mkeo kama mwanaume unakuwa legelege
Jifunzeni sanaa za mapambano karate ngumi judo
Wanaume wa Dar bana kama mademu tu
Si wanaishi majumbani,kwani wanaishi barabaraniMaeneo ya ukonga kina Mura ni wengi sana. Inakuwaje wanashindwa kupambana?
Jichukie wewe kwanza kwa uoga wako wa kutumia jina bandia,unaogopa nini?weka jina lako halisi kama wewe mwanaume kweliBinafsi nawachukia sana watu waoga waoga!
Viepe mkuu to much[emoji23]Hahahaaaa!! Eti wanaume wa Dar ni nyoronyoro
Ndio sifa mliyo nayo wanaume wa Darao ao wanaume wa dar mnao wasema ndo uwa wanawagongea madem zenu wakja uku dar
Wacha mpigwe tu kudadadekiMm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
Nipo Arusha mkuu tegeta napasikia tuAsilima 90 ya wanao-comment "wanaume wa Dat hovyo".....wao wenyewe wanaishi Dar
Kama umeshindwa kupigana nakushauri lala darini.
Mbona upo Tegeta nakuona.
Wanaishi majumbani milele hawatoki nje?Si wanaishi majumbani,kwani wanaishi barabarani